Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya
Ugonjwa wa Corona unaambukiza kwa kupitia hewa, majimaji yanayokaa kwenye mate na ute wa kohozi. Tangu kutokea kwa mlipuko wa Ugonjwa wa Corona mnamo mwaka jana (2019) mataifa mbalimbalimbali...
Japokuwa ni muhimu kunywa maji kwa wingi wakati unaugua ugonjwa wowote unaosababishwa na Virusi, maji hayo hayazuii wewe kupata virusi hivyo. Madai kuwa maji hayo yatazuia virusi kutoka kwenye koo...
Dkt. Furaha Kyesi ambaye ni Afisa Mpango wa Taifa wa Chanjo ametoa rai kwa wazazi kuendelea kuwapeleka watoto wao kupata chanjo huku akiwakumbusha kuchukua tahadhari dhidi ya COVID19
> Huduma za...
Hadi sasa hakuna utafiti uliopata hitimisho kuhusu mama mjamzito kumwambukiza mtoto aliye tumboni endapo ameathirika na #COVID19
Kwa mujibu wa WHO, kuna tafiti mbalimbali zinazoashiria kuwa...
Viongozi wa Dini wana nafasi kubwa ya kuikinga jamii dhidi ya maambukizi ya #CoronaVirus
Wizara ya Afya imetoa muongozo ambao Viongozi wa Dini wanapaswa kuuzingatia ili kudhibiti maambukizi ya...
#CoronaVirus huchukua muda kujilea ndani ya mwili wa Mwanadamu, hivyo muda hupita kabla ya dalili kuanza kuonekana
Imeelezwa kuwa Mtu akipata maambukizi ya #COVID19 inaweza kuchukua siku 5 hadi...
Tukianza na EPIDEMIC hii ni hali ya ugonjwa ambao huathiri idadi kubwa ya watu ndani ya jamii flani, nchi au eneo. Mfano: Kipindupindu, Chikungunya na Ebola
PANDEMIC ni pale ugonjwa unapotoka...
Baadhi ya Watanzania bado wamekuwa wakienda kwenye saluni kwa ajili ya huduma za kunyoa, kusuka, kusafisha kucha, huduma za kusafisha ngozi na masaji. Jamani tunaweza kuishi bila hivi vitu kwa...
Kwa mujibu wa taasisi ya FOPH ya nchini Uswisi imeeleza kuwa uwezekano wa vitu hivyo kubeba maambukizi ni mkubwa endapo mtu aliyeathirika atisha kitasa cha mlamgo au simu huku akiwa na majimaji...
Watu wenye Ulemavu wanasema hali inakuwa ngumu sana kwao kwa sababu wengi walikuwa wakitegemea biashara za Ujasiriamali ambazo kwa sasa ama zimefungwa au hazifanyi vizuri.
Umoja wa Furaha ya...
Virusi vya #Corona ni familia kubwa ya virusi ambayo ni vya kawaida kwa wanyama. Wakati mwingine, watu huambukizwa virusi hivi ambavyo baadaye vinaweza kuenea kwa watu wengine
Kwa mfano, Ugonjwa...
Wakati dunia nzima ikiendelea kupambana na ugonjwa huu, maduka ya bidhaa mbalimbali yameendelea kuwa wazi ili wananchi wapate mahitaji ya muhimu
Zingatia kanuni zifuatazo ili kuhakikisha usalama...
Hudhaifa ambaye ni Mtanzania anayeishi katika Jiji la Guangzhou amesema kuwa yeye alifika nchini humo takribani wiki 2 zilizopita
Akihojiwa na Redio ya Kimataifa ya China(CRI) amesema yeye amekaa...
Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani(WHO), Virusi vya Corona havisambai kwa njia ya mawimbi ya mtandao
Dhana hii imejengwa na kusambazwa kupitia Mitandao ya Kijamii na kuendelea kujenga hofu na...
Inawezekana mtu aliyepata maambukizi ya #CoronaVirus kutoonesha kabisa dalili yoyote kati ya zinazotajwa kama mafua, kifua na homa au akapata dalili siku kadhaa baada ya kuambukizwa
Kwa imani...
Watu wanashauriwa kukaa Karantini kwa siku zusizopungua 14 huku muda wa zuio la watu kutotoka ndani likitegemeana na uamuzi wa Serikali katika nchi husika
Kwa kuzingatia uwezekano kwamba watu...
Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa(WHO) linaeleza hatari hiyo inachochewa na upungufu wa vifaa vya kujilinda kwasababu baadhi ya Wahudumu katika Sekta ya Afya hupata maambukizi ya #COVID19 wakiwa...
Kutokana na Ugonjwa wa #COVID19 familia nyingi zimejikuta katika wakati mgumu ambapo zinatakiwa kukaa ndani ili kuzuia kuenea kwa maambukizi. Hii ni baadhi ya namna ya kukufanya ule chakula chenye...
WhatsApp ni mtandao maarufu zaidi wa mawasiliano ya papo hapo Duniani. Inakadiriwa kuwa Watu bilioni 1.6 wanatumia WhatsApp katika Mataifa 190 sawa na asilimia 55.6 ya Watu wote Duniani
Katika...
1. Watu wenye ulemavu wako kwenye hatari ya kupata maambukizi kama ilivyo kwa watu wengine. Hata hivyo utaratibu wa kuwahudumia lazima utofautiane na watu wengine kutokana na mahitaji yao kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.