Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya
Uongozi katika nchi ya vyama vingi hufuata misingi ya kidemokrasia yenye kuheshimu utu na kulinda haki za binadamu
Vyama vingi huleta ushindani wa kisiasa na maendeleo ya nchi.
Mfumo wa vyama...
Naomba kujenga hoja kwamba ili tuweze kujenga uhalali wa kudai demokrasia ni muhimu sisi wenyewe tuoneshe mfano wa kuwa wanademokrasia kweli. Ninatumia dhana kwamba, mara zote, utawala wa nchi ni...
Sababu ambazo Twitter wamezitoa Kwanini wameamua kuanza na Ghana na sio sehemu nyingine yoyote barani Afrika ni:-
Ghana ukomavu wa Demokrasia ikiwemo uwepo wa Uhuru wa Kujieleza, Uhuru wa...
Kanuni ya 168 (1)(a) ya Kanuni za Manunuzi wa Umma za Mwaka 2013 inataka ushiriki wa jamii katika kubuni miradi kwa nia ya uendelevu au kufikia malengo husika ya kijamii ya miradi.
Ripoti ya CAG...
Epuka nguo nyeupe, viatu virefu, kaptula, mapambao mengi kama hereni au mkufu, vilevile usivae sketi au gauni zinazomwaga.
Ni vizuri ukawa na kawaida ya kubeba mwamvuli mdogo unaoweza kuweka...
Vaa sweta na snika. Snika ni viatu aina vyenye muonekano kama raba. Unaweza kuvaa sweta ndefu na suruali kwa mwanamke, kama utavaa sketi au gauni ni vizuri ukavaa sweta fupi ili uwe na muonekano...
Njia hizi Mzazi anaweza kuzifuata ili kumuwekea mazingira salama mwanae akiwa mtandaoni
1. Muwekee muda wa matumizi ya mtandao. Ni muda gani anaruhusiwa kutumia na muda gani haruhusiwi
2...
Ripoti ya CAG ya Mwaka 2019/20 imejibu kilio cha wanufaika wengi wa Mikopo ya Elimu ya Juu kupitia (HESLB)
Ripoti imebaini makato hayo ni makubwa sana na yanavunja Sheria ya Marejesho
Moja kati ya misingi ya nafasi ya kiraia ni uwezo wa kila mtu kupata taarifa zilizo kwenye wavuti bila kizuizi chochote kitokanacho na matakwa ya mtoa huduma ya intaneti
Uhuru wa kupata huduma...
Michezo ya video 'video game' ina faida kimwili, kisaikolojia, na kijamii. Kutokana na namna michezo hiyo huhusisha akili, ambayo inaweza kumsaidia mtu kukuza uwezo wake wa kuchanganua mambo...
Kuvimbiwa ni ile hali ya mtu kupata haja chini ya tatu kwa wiki au haja kuwa ngumu.
Hali hii hutokea wakati utumbo mpana unaponyonya sana maji kutoka kwenye kinyesi na kukifanya kuwa kikavu na...
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatoa haki kwa kila Raia kupata taarifa muhimu
Kupata taarifa kuhusu mambo na mipango ya maendelo inayofanyika kwenye Halmashauri yake ni haki ya kila...
Nini maana ya nafasi ya kiraia?
Nafasi ya kiraia imeundwa na seti ya sheria zinazokubalika ulimwenguni, ambazo huruhusu watu kujipanga, kushiriki na kuwasiliana kwa uhuru na bila kizuizi mawazo...
Kama waandishi wa habari wakijiunga na chama cha siasa, ambayo ni haki yao kama raia, lazima waepuke kutumia nafasi yao kukinufaisha chama chao hasa kupigia debe misimamo inayochukuliwa na vyama...
Waandishi wa habari huwa hawatetei maslahi ya moja kwa moja, kisekta, binafsi au yanayowagawa watu
Kama wataenda kinyume basi wataishia kuvuka mipaka, kuweka rehani uhuru wao na kuwafanya...
Waandishi wa Habari ni wahudumu wa jamii lakini si Wanasiasa kwa tafsiri ya kawaida ya neno hilo, ingawa jukumu lao la kijamii lina uzito wa kisiasa
Maadili ya msingi wa kazi yao ya kiweledi ni...
Muongozo uliotolewa na Baraza la Habari Tanzania (MCT) kuhusu kanuni za maadili kwa wanataaluma wa habari zinaeleza kanuni za maadili kwa Mpiga picha za magazeti kama ifuatavyo:-
Wapiga picha wa...
Nini maana ya uhakiki wa taarifa?
Uhakiki wa taarifa ni hatua zinazochukuliwa kwa lengo la kubaini taarifa ya uongo. Njia hii hutumiwa ili kupunguza ueneaji wa taarifa za uongo.
Kwanini uhakiki...
Kuhariri ni kazi muhimu sana kwenye tasnia ya kupasha habari. Nakala ambayo haijahairiwa si vyema kutumwa kwa umma kwa kuwa mara nyingi huwa na makosa kutokana na waandishi kufanya kazi kwa haraka...
Uandishi wa kiuchunguzi ni aina ya uandishi inayohusisha utafiti wa kina na makini, ukweli, na na mahojiano ili kupata takwimu za kutosha. Pia inahusisha matumizi ya zana na teknolojia za kuvumbua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.