Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya
Talaka ni Amri ya Mahakama ya kuvunja Ndoa. Chombo pekee chenye mamlaka ya kuvunja Ndoa ni Mahakama. Ni lazima talaka itolewe Mahakamani ili kila Mwanandoa haki yake itamkwe bayana.
Talaka za...
Kutokuwa na Katiba madhubuti (Katiba ya Wananchi)
Kutoheshimu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977
Sheria mbaya, zenye mapungufu au zilizopitwa na wakati
Uelewa mdogo wa Sheria...
LinkedIn imethibitisha kuwa taarifa zilizofutwa kutoka kwa watumiaji milioni 500 wa mtandao huo ni sehemu ya hifadhidata ‘database’ zilizochapishwa na wadukuzi.
Taarifa za kudukuliwa na kuuzwa...
Inategemea umekamatwa kwa kosa gani, kwa mfano ukikamatwa kwa makosa ya mauaji, Uhaini, makosa ya kutakatisha pesa, kunajisi, wizi wa kutumia silaha kufanya biashara ya madawa ya kulevya au ugaidi...
ZINGATIA: Zima 'Wi-Fi' na 'Bluetooth' wakati unapokuwa hutumii.
Kufanya hivyo itakusaidia kutounganishwa na mitandao isiyo salama pamoja na kutunza chaji kwenye kifaa chako cha elektroniki
Uwajibikaji ni hali ya kiongozi na mtendaji kuwa tayari kujibu, kubeba dhamana na kutoa maelezo kwa wananchi juu ya maamuzi au matendo aliyoyafanya katika kutekeleza dhamana aliyopewa.
JE, KATIBA...
Kukua kwa demokrasia katika nchi yenye mfumo wa vyama vingi kunategemea utendaji bora wa Jeshi la Polisi.
Kanuni za Kudumu za Jeshi la Polisi zimeweka bayana kuwa shughuli za kisiasa ni miongoni...
Jibu la swali lililopo kwenye kichwa cha uzi huu ni HAPANA.
Melezo kwa uchache ni kama ifuatavyo;
Askari Polisi anayo haki na wajibu wa kukuhoji baada ya kukutajia haki zako na kukupa maelezo ya...
Dhana ya Utawala Bora ikitekelezwa huleta faida zifuatazo;-
Matumizi mazuri ya rasilimali za nchi;
Maendeleo endelevu;
Kupungua kwa umasikini, ujinga na maradhi;
Kutokomea kwa rushwa;
Huduma bora...
Katika mazingira ya kawaida askari polisi haruhusiwi kutumia nguvu dhidi ya mtuhumiwa yeyote isipokuwa tu kama mtu huyo anakataa kukamatwa au anajaribu kutoroka
Ijapokuwa askari polisi anaweza...
1. Demokrasia ya moja kwa moja
Ni aina ya demokrasia inayotamaniwa na inayotamaniwa katika nchi zilizo na watu wengi tangu demokrasia ya moja kwa moja kawaida hutekelezwa katika nafasi na wenyeji...
MISINGI MIKUU YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA
i) Kufanya kazi kwa uadilifu, uaminifu na kujali;
ii) Kujizuia na tamaa na kujiheshimu;
iii) Kujituma na kutekeleza majukumu kwa umahiri kufuatana na...
Ni misingi, kanuni na taratibu zinazoainisha tabia na mienendo inayokubalika na isiyokubalika kwa Viongozi wa Umma na jamii nzima kutekeleza majukumu yao kwa uadilifu, weledi, uwajibikaji na uwazi...
Kwa mujibu wa ripoti ya CAG, utaratibu uliopo, mfanyakazi anayekopa kwa makubaliano ya kukatwa mshahara wake ni lazima abakiwe na kiasi kinachomtosha kujikimu mahitaji yake
Sheria ya Kurejesha...
Kampuni moja changa Ephemeral ya jijini New York nchini marekani, imetengeneza aina mpya ya wino wa tattoo ambayo inauwezo wa kufutika baada ya mwaka mmoja katika kutengeneza masoko ya wateja...
Gharama za usajili ni kiasi cha Tsh. 75,000/- ambapo fomu hupatikana kwa Tsh. 5, 000/-, Usajili 30,000/- na kibali cha kila mwaka 40,000/-
Kwa upande wa Studio na wakuzaji wa Sanaa (Mapromota)...
Msanii anaweza kupata fomu ya usajili mtandaoni kwa kuingia www.basata.go.tz au kwa maafisa Utamaduni wa Wilaya na baadaye kujaza fomu na kuziwasilisha BASATA zikiwa zimeambatanishwa na wasifu...
Vaa aina ya mavazi yanayokuonesha kuwa ni nadhifu na uko makini 'professional' .
Kwa mwanaume unaweza vaa suti, au shati na suruali ya kitambaa, pamoja na kiatu cha kufunika cha kiofisi...
Nguo zenye rangi ya kung'aa na urembo mwingi
Mapambo mengi kama, hereni, bangili, pete n.k
Nywele zenye rangi rangi
Manukato yenye harufu kali
'Makeup' nzito
Usivae mavazi yanayokuonesha upo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.