Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya
Tangu kutokea kwa ugojwa wa #COVID19 unaosababishwa na Virusi vya Corona watu na taasisi nyingi zimehamasika kuweka Vitakasa Mikono katika malango ya kuingia katika nyumba au ofisi za taasisi...
JE, NIKIPONA #COVID19 NAENDELEA KUWA NA #CORONAVIRUS?
Wataalam wanasema huenda ni kwa kiasi fulani, lakini utafiti wa kundi la kwanza haujakamilika ili kuhitimisha ni kwa muda gani virusi hivyo...
Hadi hivi sasa maambukizi ya Virusi vya Corona yaneendelea kuitesa dunia na Tanzania inaonekana kujitahidi kudhibiti ongezeko la idadi ya wagonjwa.
Wakati haya yakiendelea, bado kuna haja ya...
Kufuatia maagizo ya kukaa ndani na kutokusanyika au kusogeleana, ili kuzia kusambaa kwa virusi vya #Corona shughuli za kila siku zinabadilika sana ikiwe namna ya kununua bidhaa
Yafuatayo ni...
Pichani ni nakala ya fomu ya maombi ya kurudisha namba ya simu iliyopitea. Hata hivyo nyaraka hiyo iliyosheheni taarifa nyeti za mteja wa Kampuni hiyo ya mawasiliano ilitumika kutengenezea bahasha...
Ni rahisi kuhisi kuzidiwa na kila kitu unachosikia kuhusu #COVID_19. Inaeleweka pia ikiwa watoto wako wanahisi wasiwasi. Watoto wanaweza kupata shida kuelewa kile wanachokiona mtandaoni au kwenye...
Ufafanuzi uliotolewa na Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa (WHO) umeeleza kuwa "Hand Dryers" au vikausha mikono sio njia sahihi na iliyothibitishwa kuwa inaweza kuua Virusi visababishavyo Ugonjwa...
Vaa glovu wakati wa kusafisha na kuua vijidudu kwenye vitu. Glovu zinatakiwa kutupwa baada ya kutumika katika kila awamu ya usafi. Kama glovu zinaweza kuvaliwa tena basi ziwe ni kwa ajili ya...
JE, UNAJUA DHUMUNI LA KARANTINI?
Karantini ni utaratibu unaotumika kipindi cha magonjwa ya mlipuko ili kuzuia au kupunguza kiwango cha kusambaa kwa magonjwa
Katika kipindi hiki ambapo dunia...
Kuna imani imejengwa na kuenezwa kuwa Ugonjwa wa #CoronaVirus hauathiri vijana. Dhana hii haijazingatia uhalisia kwamba Virusi vya Corona huambukiza bila ya kujali umri, rangi au hali ya hewa ya...
Kwa mujibu wa ripoti iliyochapishwa na Shirika la Afya Duniani(WHO) inaeleza kuwa tafiti zilizofanywa katika Mataifa yenye Wagonjwa wa #CoronaVirus watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi, Kisukari na...
Wakati tukiendelea kujikinga na maambukizi ya virusi vya #Corona tumekuwa tukielezwa umuhimu wa kuosha mikono kwa maji tiririka na Sabuni au kwa kutumia vitakasa mikono “sanitizer”.
Mbali na...
Taarifa ya UN inaeleza namna Wazazi wanavyoweza kutumia muda huu ambao Shule zimefungwa na mkusanyiko kuzuiwa kutoa elimu ya usafi wa mazingira kwa Watoto
UN imesema kuwa utoaji wa elimu...
Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Na.11/2007 imeharamisha vitendo vya rushwa na sasa ni makosa ya jinai. Makosa hayo yameorodheshwa katika sehemu ya III ya sheria hii, hasa katika vifungu...
Wananchi wa Nyamisati wilayani Rufiji wamelalamika kukosa usafiri kwa takribani siku 3 wa kuwapeleka kisiwani Mafia hivyo kusababisha mlundikano ambao wanahofia unaweza pelekea maambukizi ya...
Muhtasari
Hivi sasa mlipuko wa rushwa unaendelea kuidhoofisha Tanzania. Kwa mujibu wa Faharasa ya Utambuzi wa Rushwa ya mwaka 2008 (CPI) ya shirika la kimataifa linalopambana na rushwa...
Tarehe ya 8(kesho) mwezi wa Tatu kila mwaka ni siku ya kumuadhimisha Mwanamke Duniani. Siku hii inatambulika katika Kalenda ya Mwaka ya Umoja wa Mataifa(UN)
Ujumbe wa mwaka huu 2020 ni; "Mimi ni...
Benki kuu ya Tanzania (BoT) imepitisha kanuni mpya za kulinda wateja wa mabenki na taasisi za kifedha. Kanuni hizo zijulikanazo kama the Bank of Tanzania (Financial Consumer Protection)...
Watu wengi hutumia mtandao na miundombinu ya internet inayoendeshwa na Kampuni ya Google bila ya kusoma na kuelewa Sera ya Faragha, pitia sehemu ya sera hii kwa kusoma maelezo yafuatayo...
Ingawa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 kupitia Ibara ya 16 imeweka bayana umuhimu na Haki ya Faragha, mpaka sasa Tanzania haina Sheria inayosimamia haki hiyo. Hoja...