Stories of Change 2022

Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya

JF Prefixes:

4 Votes
UMUHIMU WA KUCHANGIA DAMU. Damu ni zawadi ya thamani ambayo mtu anaweza toa. Damu inayotolewa hutumika kwa wagonjwa waliojeruhiwa na majanga mbali mbali ,wagonjwa wa saratani ambao wanahitaji...
4 Reactions
1 Replies
1K Views
Upvote 4
3 Votes
Utangulizi; Jambo linalo mtofautisha kwa kiasi kikubwa binadamu na viumbe wengine ulimwenguni ni akili (sina maana ya ufaulu darasani maana mfumo wetu wa elimu umeshindwa kubainisha utofauti wa...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Upvote 3
7 Votes
Mimi ni kijana wa Kitanzani nilietokea katika familia ambayo mimi pekee ndio niliesoma mpaka elimu ya chuo kikuu. Nilipomaliza chuo Kikuu cha Muhimbili(MUHAS) mwaka 2019 Course ya ENVIRONMENTAL...
6 Reactions
1 Replies
1K Views
Upvote 7
2 Votes
“Hempu ni hitaji la kwanza la ulazima kwa utajiri na ulinzi wa nchi…huduma kubwa/ nzuri ambayo inaweza kupewa taifa lolote ni kuongeza mmea wenye manufaa kwenye utamaduni wake.” –Thomas Jefferson...
2 Reactions
5 Replies
848 Views
Upvote 2
5 Votes
“Fikiria watu wanalima hempu na wanazalisha kila kitu kuanzia chakula mpaka nishati bila petroli”- Josh Tickell Wakazi wa Afrika hawakati miti na kutumia vinyesi vya wanyama kupika kwa sababu...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Upvote 5
3 Votes
KUPAMBANA NA TATIZO LA AJIRA KWA VIJANA Kumekuwa na ongezeko kubwa la ongezeko la vijana kukosa ajira nchini hiyo imepelekea kundi la utegemezi kuwa kubwa nchi, ongezeko la uharifu na kupungua...
2 Reactions
3 Replies
902 Views
Upvote 3
1 Vote
SEKTA YA KILiMO TANZANI KATIKA KUKUZA UCHUMI. Kabla ya ujio wa wakoloni Tanzania, kilimo ndio ilikuwa shughuli kuu ya kiuchumi, pia biashara ambayo ilihusisha mabadilishano ya bidhaa kwa bidhaa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Upvote 1
1 Vote
Kilimo ni sayansi inayohusisha kulima mimea na mifugo. Kilimo ni moja kati ya shughuli za kwanza kabisa kufanywa na binadamu katika harakati za kujitafutia chakula. Mazao ya kilimo yanaweza...
0 Reactions
1 Replies
665 Views
Upvote 1
3 Votes
Habari ndugu mwana Jamii Forums,Umewahi kusikia kuhusu Ugonjwa wa Afya ya Akili?,pengine labda ukahisi ni kitu kidogo au Cha kawaida,hapana kina madhara makubwa hasa kwa utendaji kazi...
3 Reactions
2 Replies
505 Views
Upvote 3
16 Votes
Kilio changu katika sekta ya Afya. Ndugu zangu watanzania, leo hii ninawaandikia uzi huu nikiwa na lengo la kuonesha kilio changu katika sekta yetu muhimu ya Afya kuhusuiana na baadhi ya mambo...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Upvote 16
4 Votes
Baada ya kumaliza elimu yangu ya ufundi stadi kutoka chuo kikubwa nchini cha serikali (VETA) na kuwa na matarajio makubwa ya kupata ajira hapo baadae au kujiajiri mwenyewe lakini hali ilikuwa...
2 Reactions
6 Replies
552 Views
Upvote 4
5 Votes
Tanzania ni miongoni mwa taifa linaloyoshiriki katika mchakato wa kupata idadi ya raia wake kwa mfumo wa sensa. Sensa ya watu na makazi ni zoezi la kitaifa linalofanyika kila baada ya miaka 10...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Upvote 5
2 Votes
Utangulizi: Yapo maeneo mengi ya wazi ambayo kwa namna moja ama nyingine naona bado hayajapata bahati ya kuendelezwa ili kuweza kuwanufaisha wananchi wa maeneo hayo kutokana na faida zake. Kama...
2 Reactions
1 Replies
935 Views
Upvote 2
14 Votes
Jina lake anaitwa Jonathan, mtu mashuhuru ambaye kila jina lake likitajwa vichwani mwa kijiji cha Umoja kilichopo katika nchi ya Kusadikika hubaki na fikra zilizotukuka juu ya mtu huyu...
10 Reactions
10 Replies
1K Views
Upvote 14
3 Votes
MWANDISHI : JOSEPH ELIEWAHA MSUYA BARUAPEPE : josepheliewaha@gmail.com ANWANI : P.O.BOX 104855, DAR ES SALAAM SIMU: 0655 047 344 AU 0768 227 510 VITA INAYOPIGANWA NDANI YAKO: Vita ni mgongano au...
3 Reactions
1 Replies
596 Views
Upvote 3
8 Votes
Amani iwe nanyi. Kwa maana yake, Elimu ni mchakato mzima wa kuhamisha ama kufundisha ujuzi, maarifa, taarifa za msingi na utamaduni kutoka kizazi kimoja kwenda kizazi kingine. Tangu kuanza kwa...
6 Reactions
2 Replies
495 Views
Upvote 8
6 Votes
Tanzania, Tanzania nchi nzuri na inayovutia kila upande ikiwa na watu wenye upendo, furaha na amani. Asubui ndege uimba kwa sauti mubashara, kaskazini wanyama na milima ya vutia, vilima na bahari...
4 Reactions
3 Replies
626 Views
Upvote 6
17 Votes
Mwanangu hakuna kingine ambacho unaweza jivunia au kukupa heshima kwa mumeo zaidi ya kumtumzia usichana wako (ubikira) maana kama ni elimu huna ya kutosha na hali duni ya maisha ya sisi wazazi...
14 Reactions
12 Replies
2K Views
Upvote 17
49 Votes
UTANGULIZI Nikiwa wodini nauguza mgonjwa wangu katika moja ya hospitali kubwa ya Rufaa nchini, Nilimsikia daktari mmoja akitumia lugha ya kiingereza kuwaambia wanafunzi wanao somea udaktari ambao...
34 Reactions
174 Replies
8K Views
Upvote 49
13 Votes
UTANGULIZI. Nafungua kamusi yangu ya kiswahili na Kutambua kuwa Neno "DINI" ni neno la kiarabu lenye maana ya jumla ya imani ya binadamu pamoja na mafundisho wanayotoa kuhusu yale ambayo...
7 Reactions
58 Replies
2K Views
Upvote 13
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…