Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya
Nchi ya Kenya ilipitisha Sheria ya #UlinziWaData tangu Novemba 12, 2019 huku Uganda pia wakipitisha Sheria hiyo mwaka huo huo wa 2019
Nchi hizi ziliandaa na kupitisha Sheria hii ikiwa ni hatua ya...
JE, DATA GANI ZINAPASWA KULINDWA CHINI YA SHERIA YA ULINZI WA DATA?
Sheria ya #UlinziWaData ambayo bado haipo nchini Tanzania inaumuhimu mkubwa kwasababu itasaidia kulinda #Data kama zifuatazo...
Simu yako inapofanya kazi taratibu kupita kawaida ni dalili moja wapo ya simu yako kuwa imeathiriwa na virusi. Kila Mtu anatarajia simu yake nifanye kazi sawa sawa na kwa haraka
Simu yako...
Maendeleo ya Teknolojia yameleta mabadiliko ya runinga. Kwasasa kuna wimbi kubwa la watu kutoka katika TV za Analogia na kuhamia kwenye runinga ambazo ni za Kidigitali.
Jamii Forums inakukumbusha...
All web browsers remember a list of the web pages you’ve visited. You can delete this list at any time, clearing your browsing history and erasing the tracks stored on your computer, smartphone...
Cerberus Program: Hii ni Programu Tumishi (Application) itakayokusaidia pale simu yako inapoibwa. Kupitia Cerberus utaweza kufunga simu yako na kufuta taarifa zako endapo simu yako itakuwa...
Fuata njia zofuatazo ili kujua kama kuna mtu anafuatilia mazungumzo kwenye Simu yako. Njia hii inatumika kwenye Simu janja (Smart Phone na zile za kawaida)
Anza kwa kupiga *#61# kisha bonyeza...
Je, wajua kuwa ukipiga picha kwa kutumia Kamera ya simu yako hurekodi na mahali ulipo?
Kwa lugha ya teknolojia hii huitwa 'Geo-tagging' ambapo camera yako huambatanisha sehemu uliyopiga picha...
Browser kwa lugha ya Kiswahili huitwa Kivinjari. Hii ni programu ya Kompyuta au Simu ambayo hufanya kazi ya kupangilia, kuleta na kuonesha maudhui kutoka kwenye tovuti
Ifahamike kuwa 'Browser' ni...
Angalia kama Tovuti uliyoifungua au kuitembelea ina alama ya kufuli kwenye 'URL' yake. Alama hii hutokea kabla ya 'link' iliyofungua ukurasa huo
Kufuli hili humaanisha kuwa kuna usalama katika...
Ulinzi wa Kidigitali ni nini?
Ni Ulinzi na Usalama wa Vifaa na Mifumo ya Kidigitali. Somo hili ji kutokana uwepo wa matukio ya kila siku yanayohusisha mashambulizi na kuingiliwa kwa Vifaa vya...
Leo ni siku ya kilele cha maadhimisho ya kupinga ukatili wa kijinsia duniani, ambayo inakwenda sambamba na maadhimisho ya haki za binadamu duniani kote.
Ukatili wa kijinsia ulikuwepo na...
Mnamo tarehe 19 Oktoba 2018, JamiiForums ilifanya mafunzo mahususi kwa ajili ya bloggers wa Tanzania. Mafunzo hayo yalijikita katika kuwapa uwezo bloggers wa kufanya kazi zao za kuhabarisha...
Mdahalo huu ulifanyika Jijini Dar es Salaam Hoteli ya New Africa Tarehe 20 Oktoba na ulihusisha wanafunzi vijana na wahitimu wakisimamiwa na wabobezi na wadau wa Mtandao nchini.
Fuatilia hapa...