Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya
Je, umewahi kusafiri safari ya umbali mrefu mfano kutoka Dar es salaam hadi Mwanza? Safari iliyokulazimu upite sehemu zinazotoa huduma ya chakula na vinywaji kwa wasafiri ili uweze kupata chochote...
Africa, ni moja ya bara lenye rasilimali nyingi, licha ya kuwa na rasilimali nyingi Africa bado inatambulika kama bara lenye uchumi wa tatu. Moja ya sababu kubwa inayoifanya Africa ishindwe kukuwa...
Kwa mujibu wa “Wikipedia ya Wamachinga”, Wamachinga ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika mkoa wa Lindi, wilaya za Kilwa na Lindi; lugha yao ni Kimachinga.
Kwa mujibu wa “Wikipedia” hii...
TUWAFAHAMU WABANTU NA LUGHA ZAO(LUGHA ZA KIBANTU).
MFANO WA LUGHA ZA KIBANTU.
Kiswahili na lahaja zake: Tanzania, Kenya, Uganda, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Rwanda, Burundi, Komori...
Kabla hata sijamaliza kusoma shahada yangu ya kilimo (general agriculture) pale chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine, swali ambalo nilikuwa najiuliza mara kwa mara je hivi nikimaliza kusoma hapa...
SAYANSI NA TEKNOLOJIA KATIKA MATOKEO HASI KATIKA VYOMBO VYA USAFIRI NA MATUMIZI YA SIMU KWA VIJANA WA KARNE HII PAMOJA NA LUGHA YETU.
Sayansi na teknojia imekuwa msaada mkubwa katika karne hii ya...
CHANGAMOTO NA NJIA ZA KUPATA ELIMU BORA VIJIJINI
Ikisiri.
Lengo la makala haya ni kudhihirisha kwa uwazi changamoto mbalimbali ambazo hukabiliana nazo wanafunzi hususani wa maeneo ya vijijini...
Mwaka ni 2012, kijana Hope amemaliza kidato cha nne akisubiria matokeo ya kwenda A level. Kwenye kichwa chake unacheza mkanda wa namna Maisha yake yote yaliyobaki jinsi yatakavyokuwa. Ameshafika...
HADITHI YA TEKE TEKE.
Bwana Athumani. Kila ifikapo jioni, yeye na jiko lake, anawasha moto, kiupepo cha jioni kikikoleza mkaa huku cheche zikiruka huku na kule. La haula, moto umekolea vyema huku...
Utawala bora ni matumizi ya mamlaka ambayo yanakuwa na uwazi, uwajibikaji, ushirikishaji wa watu, ufanisi, tija, uadilifu, usawa na unafuata utawala wa sheria. Tanzania ikiwa moja kati ya miongoni...
VIJANA TUJITUME KULALAMIKA HAKUNA FAIDA
Vijana wengi wa Wakitanzania wanaonekana kulalamka zaidi kuliko kujituma. Kama utafuatilia kwa umakini vijana wanalalamika kuwa serekali haitowi ajira, au...
Uhuru wa kifedha ni jambo la kufikirika kwa watanzania wengi na takwimu pia zinaonyesha ni asilimia ndogo sana yawatanzania walio na uhuru wa kifedha basi bila ata kufika mbali ata usalama wa...
Chama cha Walimu Tanzania (CWT) ni chama cha wafanyakazi chenye sifa pekee zifuatazo kulinganisha na vyama vingine vya wafanyakazi nchini Tanzania:
Ndiyo chama chenye wanachama wengi kuliko...
PESA INAYOTAFUTWA KWA JASHO NA WAZAZI INAVYOGEUKA KILIO
Imeandaliwa na Tulibumi Richard Kasebele
”Sitaki wanangu wateseke kama mimi nilivyoteseka” ni kawaida wazazi kusema maneno haya kama...
Kuoza kwa meno ni moja kati ya magonjwa yasio ya kuambukiza Kama kisukuri na shinikizo la damu . Tofauti na magonjwa mengine yasio ya kuambukizwa kuoza kwa meno ni moja ya shida kubwa Sana inayo...
Ilikua sku ya asubuhi sauti ya Babu mwenye umri wa kukadilia Kama miaka 68 aliyekuwa amelala kwenye kitanda wodini na kuwaambia ndugu zake "Mpira nliowekewa pembeni ya kifua changu na unapitisha...
KONDOMU ni kifaa/ zana iliyotengenezwa mahususi kuvalisha uume au kuwekwa ukeni wakati wa kujamiiana.Nazo hubana kutokana na umbile la uume au uke kwa lengo lakuzuia mimba na maambukizi ya...
Elimu ni mfumo wa mafunzo yanayopatikana shuleni , vyuoni , na maishani .(nukuu kutoka kamusi ya kiswahili sanifu). Elimu huwasilishwa kwa njia mbili; nazo ni elimu rami na elimu isiyo rasmi ...
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE NA MWENYE MACHO NA AONE, NYOTA NJEMA HUONEKANA ASUBUHI.
Njia sahihi ya kukifahamu kipaji cha mtoto,kukiendeleza na kukikuza pamoja na kujua wakati sahihi wa kukitumia...
Viuatilifu ni kemikali za asili au za kisasa zinazotumiwa na wakulima ili kupambana zidi ya wadudu waharibifu na magonjwa mbali mbali yanaoshambulia mazao yao yawapo shambani au yakiwa ghalani...