Wakati Rwanda inajikita katika kuboresha Matumizi ya Tehama kila eneo ambalo limekuwa na changamoto ya Tehama, usambazaji wa Dawa( kwa ndege isiyo na Rubani, Usambazaji wa Damu maeneo yasiyofikika...
MAKOSA YETU NDIO MARADHI YETU
UTANGULIZI
Wasomaji
Nawasalimu kwa jina la JMT,Kazi iendelee.
Kwanini nasema makosa yetu ndio maradhi yetu?Kwasababu makosa mengi tuyafanyayo kwa kujua au...
Utangulizi.
Habari wanajamvi.Katika karne hii ya Teknolojia na Utandawazi,asilimia kubwa ya watu hutamani kujitupa kwenye Uandishi wa habari.Uwepo wa mitandao ya kijamii ndio umezidi kurahisisha...
ConstantineJ. Samali Mauki
Utangulizi
Kila mara huwa nawaza, ikiwa serikali itatekeleza sheria zake kuhusu malipo ya kodi za ardhi na majengo kikamilifu, ikiwa ni pamoja na kupiga mnada...
Utangulizi
Elimu ni msingi muhimu katika kuleta maendeleo endelevu na ustawi wa jamii na taifa kwa ujumla. Kupitia elimu watu hupata maarifa, ujuzi, na mafunzo yanayowawezesha kujenga uwezo wao wa...
Bila shaka unawafahamu marafiki zako wengi wenye mawazo makubwa ambayo hawajafanikiwa kuyafanyia kazi kutokana na sababu mbalimbali. Hebu fikiri tena jinsi mawazo yao yalivyo mazuri na muhimu...
Sera ya mazingira ya taifa ya mwaka 2021 imehusianisha Moja Kwa Moja Utawala Bora na Usimamizi wa mazingira. Katika Sura ya Kwanza, kipengele Cha pili, kifungu Cha tisa inasema kwamba, Utawala...
Katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la watoto wa kike hususan wanafunzi wa shule za msingi na sekondari kunyanyaswa kingoni ikiwa ni pamoja na Kuingiliwa kimwili (KUBAKWA) hadi...
UTANGULIZI
Ndugu msomaji wa MAKALA hii Utakubaliana nami kwamba neno "KUJIAJIRI" sio geni masikioni mwako, hususa ni pale linapo kugusa moja Kwa moja. Huenda Kwa nyakati fulani umelisikia neno...
Ripoti ya Mwaka ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) Kwa mwaka wa fedha 2021/22 inaonyesha kwamba Katika halmashauri 23 pekee zilizofanyiwa tathmini Katika uwiano wa mwalimu Kwa...
Siku zote wahenga husema kamba ya mbali haiwezi kufunga mzigo na fimbo ya mbali haiwezI kuua nyoka, Vijana wengi hasa wa wakulima na vijana wa maskini hupata shida sana katika utafutaji wa ajira...
Utangulizi
Uwajibikaji katika taasisi za kiserikali ni muhimu sana katika kuleta maendeleo endelevu katika jamii. Makala hii inalenga kuchunguza umuhimu wa kuwezesha uwajibikaji katika taasisi za...
Shikamoo Babu. Babu nimesoma katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 ibara ya 2A inasema "Zanzibar ni miongoni mwa nchi mbili zinazounda jamhuri ya muungano wa Tanzania". Kweli naiona Zanzibar ipo kama...
Chakula bora ni muhimu kwa afya ya akili ya mtoto. Lishe inayofaa ina jukumu kubwa katika maendeleo ya ubongo wa mtoto, ambao unaweza kuathiri kumbukumbu, umakini, na uwezo wa kufikiri. Chakula...
Kikawaida elimu yetu iko katika mtazamo ambao unawanufaisha wachache, mtazamo wangu unagusia maeneo manne (4) ambayo yakiangaliwa na kuboreshwa basi manufaa makubwa yatakua matokeo yake. kama...
"Tazama ramani utaona nchi nzuri
Yenye mito na mabonde mengi ya nafaka
Nasema kwa kinywa halafu kwa kufikiri,
Nchi hiyo mashuhuri huitwa Tanzania..."
Ningetamani kuimba hata mwisho lakini...
Mfumo Mbovu wa Elimu Tanzania:
Elimu ni msingi muhimu wa maendeleo ya jamii na ustawi wa taifa. Hata hivyo, katika karne hii ya teknolojia na maendeleo ya haraka, ni muhimu kutathmini na...
Siku hizi ulimwengu wa leo umekuwa ukitumia njia za mkato katika tiba za dalili ya ugonjwa wanaoupitia. Bila kujali kumwona Daktari kwa vipimo ili kugundua Magonjwa yanayo wakabili, Mfano Mtu...
Habari zenu wanajamii wenzangu wa JamiiForums , katika makala hii fupi ninayoandika ni kwa lengo la kuelimisha na kufundisha wazazi na walezi juu ya umuhimu wa lishe bora hasa kwa watoto wadogo...
DPWORLD ni kampuni kubwa ya biashara yenye makao makuu yake Dubai ambayo inajishughulisha na uwekezaji katika maeneo ya bandarini. Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizopata bahati ya kuingia...