Stories of Change 2024

Awamu ya Nne. Tanzania Tuitakayo: Maudhui yanayolenga kuibua fikra tunduizi au mawazo mbadala kuelekea miaka 5 hadi 25

JF Prefixes:

2 Votes
Somo la kilimo (Agricultural sciences) ni miongoni mwa masomo yanafofundishwa katika elimu ya sekondari pekee kama somo ambalo mwanafunzi anachagua kusoma. Kutokana na umuhimu wa somo hili na tija...
0 Reactions
0 Replies
374 Views
Upvote 2
2 Votes
Utangulizi Vyeti vya kuzaliwa ni nyaraka muhimu zinazothibitisha hali ya kisheria ya kuzaliwa kwa mtu na zina umuhimu mkubwa katika maisha ya kila siku.Katika Tanzania mchakato wa kupata vyeti vya...
1 Reactions
0 Replies
281 Views
Upvote 2
1 Vote
KIKOSI MAALUMU CHA UFUATILIAJI NA UTEKELEZAJI. Serikali iunde kikosi maalum cha kufuatilia utekelezaji na uwajibikaji wa watumishi serikalini na sekta binafsi. Kutokana na watanzania wengi kuwa...
0 Reactions
0 Replies
144 Views
Upvote 1
1 Vote
Baraza la sanaa la Tanzania linahusika kwenye ukaguzi wa maudhui ya sanaa pamoja na utoaji wa hakimiliki ya kazi za sanaa za wasanii wa Tanzania. Baraza hili limekua likijitahidi kuhakikisha...
0 Reactions
0 Replies
219 Views
Upvote 1
3 Votes
MUAROBAINI WA MAENDELEO YETU NI NISHATI. Tanzania tume pata uhuru wetu mwaka 1961 na katika kipindi hicho ni mikoa miwili tu ilio kuwa na umeme wa uhakika mbayo ni Tanga na Dar Es Salaam. Tanga...
1 Reactions
0 Replies
190 Views
Upvote 3
2 Votes
Ufanisi na ufikiaji wa huduma za serikali ni muhimu kwa maendeleo ya kitaifa. Tanzania ni taifa lenye uwezo mkubwa wa kufanya huduma za kidijitali ili kuimarisha ufanisi, uwazi na ufikiwaji wa...
0 Reactions
0 Replies
131 Views
Upvote 2
1 Vote
Kwa sasa, Tanzania inakabiliwa na changamoto za miundombinu ya barabara ambazo zinaweza kusababisha foleni na ajali, hivyo kuna umuhimu wa kuboresha miundombinu hiyo ili kukuza uchumi wa nchi...
0 Reactions
0 Replies
165 Views
Upvote 1
2 Votes
MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA NA UTAWALA BORA Rushwa ni kitendo cha kutoa, kupokea kitu, fedha kwa jambo ambalo haukuwajibika nalo kinyume cha sheria. Kama ilivyotajwa katika kanuni za maadili...
0 Reactions
0 Replies
221 Views
Upvote 2
2 Votes
Tanzania ,Kama nchi yenye historia ya utajili na uridhi wa utamaduni inakabiliwa na changamoto na fursa nyingi Katika miaka 25 ijayo. Ili kuijenga Tanzania tuitakayo serikali Kwa...
0 Reactions
0 Replies
124 Views
Upvote 2
2 Votes
Kuna vitu kadhaa ya serikali ambayo yanaweza kusababisha kurudisha maendeleo nyuma au kusababisha athari mbaya kwa uchumi na ustawi wa wananchi. Baadhi ya matumizi hayo ni pamoja na: 1. Rushwa...
0 Reactions
0 Replies
149 Views
Upvote 2
4 Votes
Matumizi ya barabara yamekuwa kwa kiasi kikubwa kwa dunia hii ya sasa ambapo makampuni tofauti yamekuwa yakijihusisha na utengenezaji wa barabara na mengine katika kuviunda vyombo vya usafiri na...
0 Reactions
0 Replies
147 Views
Upvote 4
2 Votes
Jamii za kiafrika Zina matarajio mengi kutoka kwa mtoto wa kiume. Mtoto wa kiume anategemewa kwa asilimia kubwa kulea familia, mke, watoto, wazazi na hata wajomba n k. Huyu huyu mtoto wa kiume...
0 Reactions
0 Replies
194 Views
Upvote 2
2 Votes
wito wangu kwa serikali ni kuongeza nyanja za ajira kwa vijana kama vile kuja na programs za kibunifu . programs hizo zitakuwa na uwanja wa kutoa fursa kwa vijana wa kila rika kushiriki . mfano...
0 Reactions
0 Replies
191 Views
Upvote 2
2 Votes
TANZANIA TUITAKAYO. Mazuri yajayo yataboresha maisha yetu na kutufanya tujivunie Kwa ukuaji wa uchumi na mabadiriko ya miundombinu .Tujiandae Kwa haya yafuatayo. SEKTA YA AFYA. Jitihada zake...
0 Reactions
0 Replies
125 Views
Upvote 2
2 Votes
Vijana wanaangamia na kupotea kupitia mitindo ymaisha ya kuiga, kujihusisha na utumiaji wa madawa ya kulevya, na wengine huingia kwenye janga kubwa kwa sasa la mapenzi ya jinsia moja, ushoga...
1 Reactions
2 Replies
113 Views
Upvote 2
2 Votes
The future of Tanzania's education system holds immense promise as it aligns itself with global trends and local aspirations. To suit the evolving needs of the nation over the next five years, it...
0 Reactions
0 Replies
265 Views
Upvote 2
2 Votes
Imekuwa ni desturi ya jamii ya watanzania kuinyooshea kidole na kuilaumu serikali katika kila changamoto inayotukumba, iwe matatizo ya kiuchumi, kisiasa, kijamii, na mazingira. Tunapotazamia...
0 Reactions
0 Replies
190 Views
Upvote 2
1 Vote
Utangulizi Mashirika na Taasisi za Umma zinatoa huduma mbalimbali kwa wananchi ikiwemo huduma ya maji, afya, umeme na ndege. Taasisi hizi zina kanuni zinazoeleza kwa kina kuhusu huduma...
0 Reactions
1 Replies
281 Views
Upvote 1
2 Votes
KWA NJIA YA NAMBA MAALUMU YA HUDUMA ZA UTALII. Hii ni njia ya kisasa zaidi katika kuleta mapinduzi na upekee katika kutangaza utalii nchini, bila shaka kumekuwa na changamoto nyingi katika kukuza...
0 Reactions
0 Replies
255 Views
Upvote 2
2 Votes
TANZANIA TUITAKAYO Ni miaka zaidi ya 60 Tangu uhuru na Muungano wetu wa Tanganyika na visiwa vya Zanzibar, katika kipindi chote hiki Serikali imekuwa na mipango Madhubuti ya kuhakikisha kwamba...
1 Reactions
0 Replies
173 Views
Upvote 2
Back
Top Bottom