Ndugu zangu naamini nanyi mnakerwa sana na jinsi fedha za walipa kodi zinavyotumika vibaya kupitia ujenzi wa miundombinu ya barabara, madaraja, majengo ya shule, soko, hospitali na mengineyo...
NAITAMANI TANZANIA MPYA
Ni zaidi ya miaka 60 sasa tangu Tanzania ipate uhuru kutoka kwa mkoloni mwingereza. Hali zote za kiuchumi, kisiasa, kiutamaduni na maisha ya kijamii zimebadilika kwa kiasi...
Tanzania lacks professional development in the entertainment sector especially in Art. Firstly lets look at the past and then come to the present, from independence we are cultured in a way that...
Kuwe na 50 kwa 50 kati ya miradi ya maendeleo ya watu na miradi ya maendeleo ya vitu ili kupunguza umaskini wa vipato.
Tanzania ni moja ya nchi zinazo kuja juu sana kwa swala zima la ukuaji wa...
Mpaka 2022 nilienda kutalii nikiwa na rafiki yangu katika hifadhi za tarangire national park, like manyara national park, mikumi national kisha saadan national park tukamalizia pugu kazimzumbwe...
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imekabiliwa na changamoto kubwa katika sekta ya afya, ikiwa ni pamoja na upatikanaji duni wa huduma za matibabu na usimamizi mdogo wa taarifa za afya za...
Nishati ni ule uwezo au nguvu ya kufanya kazi inayoleta matokeo Fulani ambayo yanaweza kuwa chanya au hasi, nishati imegawanyika katika makundi makuu mawili ambayo ni nishati safi na nishati...
Tanzania imepiga hatua kubwa katika sekta ya afya, hususan katika huduma za matibabu ya kibingwa na ubingwa bobezi. Huduma hizi zinahusisha upasuaji wa moyo, upandikizaji figo, upandikizaji uroto...
Ajali nyingi zikitokea huwa tunasema ni uzembe wa dereva mm sikatai Kuna muda ni kweli ila Kuna muda nakata sio uzembe wa dereva Bali ni uzembe wa mmiliki wa hicho chombo.nitatoa vitu vinavyo weza...
Akili bandia (Artificial Intelligence.)
Habari!
Kila zama kuna bunifu kubwa zinafanyika duniani ili kurahisisha maisha ya mwanadamu na mazingira yake kama siyo kutatua changamoto zinazomkabili...
Stories of change.
Maoni yangu kuhusu Tanzania tuitakayo, napenda kuyaelekeza kwa kiasi kikubwa katika Wizara ya Elimu, maendeleo ya Sayansi na teknolojia. Katika kuiboresha Wizara hii naishauri...
1.0 UTANGULIZI
KIONGOZI Ni mtu mwenye dhamana ya kusimamia kundi fulani la watu yeye akiwa mstari wa mbele kama muwakilishi wa kundi hilo katika jambo fulani. Kiongozi hupatikana kwa namna...
Utangulizi
Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizo na utajiri wa madini, tanzanite, dhahabu, rubi, fedha (silver), chuma, almasi, na nikeli. Hoja hii inagonga vichwa tuishie kuorodhesha utajiri...
Sayansi na teknolojia kwa mwanamke zina umuhimu mkubwa hasa kumpa fursa ya kujitegemea, kuwa na ushawishi katika jamii na kujenga mustakabadhi bora. Pia sayansi na teknolojia inaweza kuondoa...
Hapa kuna maelezo kuhusu mbinu nne za kisayansi za kukuza sekta ya uvuvi pamoja na mifano ya kila moja:
1. Utafiti wa Mabadiliko ya Mazingira ya Bahari: Utafiti wa kisayansi unaweza kusaidia...
The Tanzania We Aspire To: A Vision for the Next 5-25 Years
Introduction
As Tanzania stands at the cusp of its potential, there lies a pressing need to envisage and articulate a future that...
Tanzania, is a vibrant nation on the East African coast, is known for its rich cultural heritage, stunning landscapes, and diverse wildlife. However, when it comes to its political landscape, the...
SAVE A WOMAN SAVE ALL GENERATIONS
Among 100,000 women in Tanzania 11 women have experienced gender based violence at some point in their life, According to Global 2013,35% of women worldwide have...
Mwaka 2014, Benki ya Maendeleo ya Afrika iliandaa kongamano lililofanyika nchini Rwanda ambalo nilipata abra ya kusikiliza. Kongamano hilo, lilikuwa linafanya kumbukizi ya kila mwaka ya Benki ya...
## UChawa na Ulevi wa Madaraka Unavyochangia Kutokuwa na Uongozi Bora kwa Taifa la Tanzania
Uchawa na ulevi wa madaraka ni miongoni mwa changamoto kubwa zinazoathiri uongozi bora katika mataifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.