Katika miaka ya hivi karibuni, kuongezeka kwa matumizi ya simu za mkononi kumeleta mabadiliko makubwa katika mawasiliano nchini Tanzania.
Simu za mkononi zimekuwa sehemu muhimu ya maisha ya kila...
ELIMU: MSINGI, KING'AMUZI NA KICHOCHEZI CHA MAENDELEO KATIKA NYANJA ZOTE AMBAZO TUNAHITAJI ZIJENGEKE.
Chanzo: Google Help
Nchini Tanzania, suala sio kutoa elimu juu ya umuhimu wa elimu, Wala...
Mabadiliko Yote muhimu lazima yaanzie katika fikra na mtazamo.
Watanzania wengi tumekuwa na changamoto ya kuwa na fikra na mtazamo wa utegemezi kutoka mahali fulani.
Watoto wanakuzwa...
Muda mrefu sasa mfumo wetu wa elimu umekuwa hauendani na mahitaji ya soko la ajira, lakini pia hauendi sambamba na mabadiliko ya dunia katika nyanja ya teknolojia yaliyopo kwa ujumla kwani kama...
VITA DHIDI YA ULAWITI NA UBAKAJI KWA WATOTO KUNUSURU VIZAZI VYETU
UTANGULIZI Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazokumbwa na ongezeko la matukio ya ulawiti na ubakaji kwa watoto wa dogo tatizo...
Utangulizi
Ili tuifikie Tanzania tuitakayo ni muhimu kushughurikia suala la Watoto wa mtaani. Watoto wa mtaani ni Kundi la watoto wanaoishi na kufanya kazi mtaani, mara nyingi bila usimamizi wa...
Kilimo kimekuwa uti wa mgongo wa taifa la Tanzania kwani kwa asilimia kubwa nchi yetu inategemea kilimo ili kuzalisha malghafi mbalimbali kwa ajili ya uzalishaji wa bidhaa pamoja na kulisha taifa...
Tanzania ni nchi yenye uwezo mkubwa wa utalii kutokana na aina mbalimbali za wanyamapori, mandhari nzuri na urithi wa kitamaduni. hata hivyo, pamoja na faida hizo, nchi inakabiliwa na changamoto...
💡It has been a great moment getting opportunity to brag a little bit on my views commeting on Tanzania which lives in my imaginations.
It is not wisdom to blame for what has already happened, but...
TANZANIA KUA KITOVU CHA BIASHARA AFRIKA NDANI YA MIAKA 25 KWA LENGO LA KUKUZA UCHUMI.
UTANGULIZI
Tanzania ni nchi ambayo imepakana na Bahari ya Hindi upande wa mashariki mwa Afrika na kuzungukwa...
Baada ya miongo kadhaa kupitia nchi ya KIMANILWE NTEMI, ilipitia misukosuko mingi, ikiwemo rushwa, uchu wa madaraka. Hali hiyo ilisababisha nchi kukosa mwelekeo kwasababu Kila mtawala aliyekuwa...
Deforestation and forest land degradation are critical environmental challenges with far-reaching consequences. Deforestation refers to the permanent removal of trees to make way for other land...
KILIMO CHA KIDIJITALI:
Tanzania, kama nchi nyingine za Kiafrika, inakabiliwa na changamoto za kuleta maendeleo endelevu katika miaka ijayo. Mojawapo ya njia za kufanikisha hili ni kwa kuwekeza...
Chanzo: onlymyhealth.com
Hedhi huanza kutokea kwa wanawake pindi wanapopevuka. Katika kipindi cha hedhi wanawake wanahitaji kujisitiri vizuri ili kuhakikisha wanakua safi na salama wakati wote...
Uzalishaji wa umeme unapokidhi mahitaji nchini unachangia kwenye ukuaji wa uchumi kutokana na shughuli nyingi za viwanda vikubwa na vidogo kuendeshwa kwa utegemezi wa umeme Umeme unapokua wa...
Utangulizi.
Maendeleo endelevu ya taifa hayategemei juhudi za serikali na viongozi pekee, bali pia yanahitaji ushiriki hai wa wananchi wote. Wananchi wana wajibu wa kuchukua hatua katika nyanja...
1. Kwanza kabisa Mbinu au maono ambayo yatatumia zaidi ya miaka mitatu na kuendelea Ni Kuhakikisha SERIKALI inawarahisishia wanainchi Kwenye Upatikanaji wa maji na Ulipaji wake kupitia njia ya...
Serikali ijenge Mabweni shule za sekondari Kata kusaidia kupunguza ongezeko la vitendo vya ubakaji kwa wanafunzi wa kike na kuwalinda dhidi ya mazingira hatarishi wanayopitia.
Kutokana na umbali...
Kujenga Tanzania ya kesho kunahitaji kujizatiti katika kuimarisha uongozi thabiti na mifumo imara ya utawala.
Kwanza, viongozi lazima wawe na maadili ya juu na wawajibike kikamilifu kwa...
Ni kitendo cha aibu sana kama nchi tunajisifu kwa usalama wa mtandao lakini bado watumiaji wengi wa huduma za kifedha kidijitali wanapoteza mabilioni ya fedha eeti kwa sababu mpokeaji aliyepokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.