Stories of Change 2024

Awamu ya Nne. Tanzania Tuitakayo: Maudhui yanayolenga kuibua fikra tunduizi au mawazo mbadala kuelekea miaka 5 hadi 25

JF Prefixes:

3 Votes
MAONI JUU YA SERA YA "KATA MTI PANDA MTI" Serikali ya Tanzania ilianzisha sera yenye kauli mbiu ya KATA MTI PANDA MTI kwa lengo la kuzuia ukataji wa miti hovyo ili kuweza kupambana na mabadiliko...
1 Reactions
3 Replies
377 Views
Upvote 3
6 Votes
Usawa wa Kijinsia ni hali ya uapatikanaji sawa wa rasilimali na fursa bila kujali jinsia. Suala la usawa wa kijinsia limewekewa nguvu kubwa hapa nchini, ikiwa ni pamoja kuwekwa sera, utoaji...
3 Reactions
7 Replies
298 Views
Upvote 6
27 Votes
Utangulizi Elimu ni msingi wa maendeleo ya taifa lolote. Tanzania imepiga hatua kubwa katika kuhakikisha kwamba watoto wengi wanapata fursa ya kusoma, hasa katika ngazi za msingi na sekondari...
16 Reactions
52 Replies
1K Views
Upvote 27
5 Votes
Serikali ya Tanzania kupitia mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali (CAG) wamekuwa wakitoa ripoti kunako mahesabu ya mwaka katika nyanja mbali mbali na kufanikiwa kubaini makamilifu katika sekta mbali...
2 Reactions
2 Replies
162 Views
Upvote 5
3 Votes
Ili Tanzania ipige hatua kubwa katika sekta ya elimu na teknolojia ndani ya miaka kumi ijayo kuanzia sasa 2024 mpaka 2034, yafuatayo yanapaswa kufanyika: 1. Kuwekeza katika Miundombinu ya...
2 Reactions
3 Replies
379 Views
Upvote 3
4 Votes
Maono ya Kibunifu kwa Huduma za Afya za Kidigitali kwa Tanzania: Miaka 5 hadi 25 Ijayo Utangulizi Katika dunia ya sasa inayozidi kuwa ya kidigitali, Tanzania ina fursa kubwa ya kuboresha huduma...
1 Reactions
4 Replies
286 Views
Upvote 4
3 Votes
Ujuzi ni kufahamu na kuelewa hali, habari na maelezo yanayohusu mazingira tunapoishi. Kijana ni mtu kuanzia miaka 18-35 yaani baada ya balehe na mabadiliko ya maumbile toka utoto kuelekea kubwa...
2 Reactions
2 Replies
257 Views
Upvote 3
2 Votes
Kuna magonjwa mengi sugu ambayo kwa kweli yamekuwa tishio lakini binafsi nimeona ni vyema kugusia kwanza upande wa figo, hasa upatikanaji wa matibabu yake na huduma zake. Iko wazi kuwa mpaka sasa...
1 Reactions
1 Replies
293 Views
Upvote 2
7 Votes
Na Constantine J. S. Mauki June, 2024 Utangulizi Miaka ya nyuma, kipindi cha serikali ya awamu ya kwanza, aliyekuwa rais, Mwalimu Julius Nyerere, aliwahi kusema watanzani...
2 Reactions
12 Replies
394 Views
Upvote 7
2 Votes
Utangulizi Kwa miaka ya hivi karibuni, yaani mwaka 2021 hadi sasa, kumekuwa na mijadala mingi kuhusu ongezeko la deni la Taifa. Miongoni mwa makundi yanayohusika na mijadala hii na hata...
1 Reactions
7 Replies
383 Views
Upvote 2
4 Votes
TANZANIA YENYE NEEMA Introduction: Tanzania is beautiful country in world wide that contain beautiful and wonderful national Parks such Mount Kilimanjaro, Mikumi park, Ngorongoro, Serengeti...
2 Reactions
4 Replies
222 Views
Upvote 4
2 Votes
Utangulizi Binadamu mwenye afya bora ya mwili na ya akili huzaliwa kutoka kwa watu (mwanamme na mwanamke) wenye afya bora. Miezi mitatu hadi sita kabla na kipindi chote cha ujauzito, ni muhimu...
2 Reactions
10 Replies
327 Views
Upvote 2
8 Votes
Utangulizi Kwa mujibu wa Powercomputers Telecommunication Ltd, ''Electronic Fiscal Device (EFD)'', ni mashine iliyoundwa kwa ajili ya matumizi ya biashara ili kudhibiti ubora wa usimamizi katika...
2 Reactions
15 Replies
686 Views
Upvote 8
14 Votes
Miaka ya nyuma, yaani 1995 na kurudi nyuma, elimu ya vyuo vya kati na vyuo vikuu vya serikali, iligharamiwa na serikali kwa asilimia 100. Miaka ya 1990, kufuatia utekelezaji wa mageuzi ya kiuchumi...
8 Reactions
17 Replies
1K Views
Upvote 14
9 Votes
Utangulizi Ni ukweli kuwa swala la nishati safi ya kupikia limekuwa linapigiwa chapuo kwa miaka mingi na serikali pamoja na wadau wengine mbalimbali, yaani watu binafsi na asasi za kiraia. Tangu...
6 Reactions
16 Replies
439 Views
Upvote 9
1 Vote
Tafiti kadhaa zinaonyesha umri inawezekana ikawa kitu cha kwanza kuwapa msongo wanawake wakihsi kupoteza mvuto na soko lakini pia hata wanaume umri huwapa msongo hasa wanapokuwa wanamaliza ujana...
1 Reactions
1 Replies
157 Views
Upvote 1
5 Votes
“…Katika kijiji cha Bumilayinga kilichopo Mji wa Mafinga, Iringa, Amina (Jina sio halisi) binti wa miaka 16 anjikuta akikabiliana na ukweli mgumu, Amina ni mjamzito – matokeo ya kosa alilolifanya...
1 Reactions
1 Replies
257 Views
Upvote 5
7 Votes
1. Ukweli Mchungu Katika shindano la Stories of Change 2024, mawazo mengi ya kibunifu kuhusu Tanzania tuitakayo yatatolewa. Mengine yatakuwa ya kinadharia; na mengine yatakuwa ya kiutendaji...
2 Reactions
4 Replies
282 Views
Upvote 7
190 Votes
MWANZO Tanzania ina fursa ya kujenga jamii iliyo wazi zaidi, yenye demokrasia imara na uchumi endelevu katika miaka 5 hadi 25 ijayo. Uhuru wa vyombo vya habari na mtandao ni nguzo muhimu katika...
95 Reactions
73 Replies
4K Views
Upvote 190
3 Votes
I. A Harvest of Opportunity: Tanzania's Untapped Potential In the heart of Tanzania, where the sun-drenched fields of the southern highlands meet the bustling Kariakoo Market of Dar es Salaam, a...
0 Reactions
2 Replies
298 Views
Upvote 3
Back
Top Bottom