Wanafunzi wengi wanapojiunga na Elimu ya Juu wamekuwa wakinufaika na ada, ela ya kujikimu, utafiti n.k. inayotolewa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu ili kuweza kuwawezesha kukamilisha masomo yao...
Kwa mkono wa Mikael Mtanzania
Tanzania ni moja ya nchi yenye gharama ndogo sana ya vifurushi vya internet kwani Gb 1 ambayo ni MB 1000 ya internet unaipata kwa elfu tatu ukweli ni jambo zuri na...
Tanzania tuitakayo katika miaka mitano ijayo na kuendelea Vyombo vya habari kama vile vituo vya redio, magazeti, na vituo vya runinga, vinapaswa kutoa fursa kwa vijana ambao wana ubunifu& maarifa...
Mmoja ya suala ambalo limekuwa tatizo kubwa ni UMASIKINI ambao umekithiri Kwa kiasi kikubwa Kwa WATANZANIA walio wengi na limekuwa ni tatizo sugu lisiloisha toka enzi hizo. Ili kuweza kupunguza au...
USALAMA KATIKA UJENZI WA MIRADI YA SEKTA YA UCHUKUZI
Sekta hii inausisha ujenzi wa miundombinu kama barabara, reli, madaraja, kingo za barabara, mitaro, kalavati na barabara ndogo ndogo za...
Serikali Na wadau wa elim wanajitahidi katika kuweka miundombinu wezeshi ili kuiboresha elim ya Tanzania kuweza kuendana Na Soko la Ajira Ambalo Kwa Kiasi Kikubwa bado Tanzania ipo Nyuma...
Vitengo vya huduma kwa wateja katika mashirika, taasisi za umaa na kwenye serekali za mitaa vinapaswa kuboreshwa katika miaka mitano ijayo nakuendelea kwa sababu ndivyo vinabeba dhima ya utaoji wa...
Uchumi wa vyombo vya habari katika wakati huu wa maendeleo ya Teknologia ya habari na mawasiliano. Vyombo vya habari, kama vile vituo vya redio, magazeti, vituo vya runinga, vimekuwa vikipitia...
Taasisi ya kuzuia na kumbana na rushwa (TAKUKURU) inapaswa kushirikia na wizara ya ujenzi kupitia wakala wa barabara (Tanroads) ili kudhibiti vitendo vya rushwa kati ya madereva na mafisa wa vituo...
Wanafunzi wakike nchini Tanzania wanapitia changamoto nyingi Sana katika masomo yao hasa shule za kijijini, changamoto hizi zinahusisha aidha familia(walezi), jamii inayomzunguka na walimu wake...
Kwa nini kumekuwa na wimbi kubwa la ukosefu wa ajira kwa vijana hasa wahitimu wa vyuo vikuu nchini Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla? Migogoro bungeni, wazazi kwa vijana, vijana na jamii kwa...
Kujiajiri ni uwezo wa kuwa na chanzo cha kipato na kukiinua kutoka chini na kukiendeleza.
Kujiajiri ni kuzuri sana kama mtu mwenyewe amependa.
Sasa hapa hatutazami vijana wasomi tu, tunatazama...
Kumekuwa na changamoto ya kukosekana kwa ufanisi katika uendeshaji wa mashirika mbalimbali ya uma na makampuni binafsi hapa nchini Tanzania kwa muda mrefu sasa.
Ndio maana kuna mashirika kadhaa...
Mifumo ya Kikodi katika Mpaka wa Tunduma ni tatizo, inasababisha foleni kubwa. Kwanini Tanzania haitumii mfumo sawa na Zambia?
Mpaka wa Tunduma ni shida na kero kubwa kwa Wasafiri na...
I. Introduction: The Human Capital Imperative
Tanzania's ambitious journey toward economic prosperity is hampered by a widening skills gap. A staggering 65% of Tanzanian youth aged 18-35 actively...
Wakati ambao dunia inabadirika kwa kasi katika siasa, uchumi, afya, elimu na technolojia, jamii yetu inahangaika kupambana ili kuhakikisha kila mtu anaishi maisha bora na maendeleo yanapatikana...
Tanzania ni nchi nzuri sana, Amani, Uhuru na Utulivu ni wa kutosha, Ila ni nchi iliojawa na viongozi wazembe sana japo ni wasomi sana
Tumekua tukiamini sana katika Uwekezaji hasa kwa Raia na...
Na. Jofreyson1
TANZANIA TUITAKAYO: picha na azam news
Kuwekeza KATIKA KILIMO NA VIWANDA KWA MUSTAKABALI WA TAIFA
Tanzania ni nchi yenye rasilimali nyingi za kilimo zinazoweza kuimarisha uchumi...
The community of the Kivukoni fish market and many other fish markets in Tanzania use traditional ways of purchasing fish, this method requires physical presence of the customer thus resulting to...
Habrini za muda huu wadai wa JamiiForums?
Leo nina jambo moja nataka kuzungumzia kuhusu kero ya kufuatilia mafao yako NSSF ya kukosa kazi/ajira au kufukuzwa kazini.
Hatua ya kwanza unakwenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.