SAFARI YA MABADILIKO ENDELEVU.
Tanzania kama zilivyo nchi nyingine inakabiliwa na changamoto lukuki za kimaendeleo, mfano Kwenye sekta ya elimu, miundo mbinu, uchumi na afya hivyo...
Utangulizi
Ili mtu uweze kufanya mambo yako vizuri na kushiriki kikamilifu katika ujenzi wa taifa unatakiwa kuwa na afya njema ya mwili na akili. Tanzania bado masuala ya afya ya akili...
Utangulizi
Serikali hufanya maamuzi mbalimbali kwa niaba ya wananchi, baadhi ya mambo huhitaji maoni ya wananchi na wakati mwingine wadau katika sekta husika (ambao huwakilisha wananchi) ili...
Utangulizi
Tanzania ni nchi yenye ndoto kubwa za kufikia maendeleo kupitia teknolojia. Ndoto hizi zinaweza kutimia endapo tutawekeza kikamilifu katika sayansi na teknolojia. Watanzania wengi...
Utangulizi
Kila teknolojia huanzia na ndoto, fikra bunifu za kubadilisha dunia. Kwa Tanzania, ndoto hiyo ina umuhimu wa kipekee katika kujenga taifa imara, linalowezeshwa na teknolojia ya kisasa...
Tanzania ni nchi iliyojaliwa kudumisha amani ya muungano wa nchi ya Tanganyika na Zanzibar tangu tarehe 26 Aprili, 1964 barani Afrika na kubarikiwa rasilimali za kipekee kutoka kwa mwenyezi Mungu...
Kufanikisha lengo la Tanzania kuwa nchi ya kipato cha kati cha juu ifikapo mwaka 2040, mageuzi makubwa katika sekta ya kilimo ni muhimu sana. Kilimo ni uti wa mgongo wa uchumi wa Tanzania...
In Tanzania, the journey towards reducing mortality rates and disabilities hinges on a crucial, yet often overlooked factor: First Aid provision during accidents and illnesses. The significance of...
Akili bandia ni nini? Huu ni mchoro wa ujasusi au roboti ambayo inajaribu kuiga kazi za binadamu zenye ubongo kwa kutumia aligorithms data iliyojifunza, kutokana na ukuaji wa technolojia akili...
Ukitoa ubovu wa miundombinu iliyopo katika sekta ya usafirishaji na mapungufu yaliyopo kwenye makampuni ya usafirishaji tatizo kubwa lipo kwa mamlaka ya usafiri aridhini LATRA na serikali maana...
Shajara ni kitabu maalumu ambacho hutumika kuandika kumbukumbu za matukio ya kila siku. Watu wengi huitambua kama “diary” kwa lugha ya kingereza na kuandika historia kuhusu maisha yao, vitu...
Umoja wa Mataifa unaiweka Tanzania katika kundi la Nchi maskini Zaidi (LDC). Hata hivyo, ikizingatiwa rasilimali nyingi na uwezo mkubwa wa nchi yetu, hadhi hii inaonekana kutofaa. Miaka ya 1950...
Katika makala hii tutajadili jinsi ya kukufanya kiswahili kuwa bidhaa, jinsi ya kukufanya kuwa na mashiko kiuchumi, mbinu mpya ya kukiendeleza na kuwavutia zaidi wazungumzaji na jinsi tunavyoweza...
Tanzanaia tuitakayo Miaka kumi ijayo
Udumavu, au utapiamlo, ni hali inayojitokeza pale ambapo mtoto hupata lishe duni, ambayo inaweza kusababisha kuchelewa kwa ukuaji wa mwili na akili. Chanzo...
Utangulizi,
Katika ulimwengu wa sasa, vijana wana nafasi muhimu katika kuleta mabadiliko na maendeleo katika jamii. Nchini Tanzania, vijana wanakabiliwa na changamoto nyingi, ikiwa ni pamoja na...
Afya ya akili ni ule uwezo wa mtu kuweza kuendana na Hali ya maisha ya Kila siku kuanzia kufiri Hadi utendaji wake wa kazi.
Inapokuwa ni tatizo la afya ya akili,hapo akili inakua imeathiriwa...
TANZANIA tuitakayo ni Ile iliyokamilika katika nyanja zote iwe Bora katika afya ya kijamii Ili iweze kufanya shughuli za kimaendeleo.
Ninapenda kuunganisha maneno haya maudhui haya mawili...
Nchi ya Tanzania ni nchi iliyobarikiwa Sana kwa rasilimali nyingi na yenye watu wenye wenye moyo na kuwajibika. Nchi yetu iliweza kupambana na kuondoa ukoloni na pia kuingiza sera ya ujamaa na...
Tanzania ni nchi yenye rasilimali nyingi, ikiwemo ardhi nzuri kwa ajili ya kilimo, ufugaji na uwekezaji. Hata hivyo, migogoro ya umiliki wa ardhi imekuwa kikwazo kikubwa cha maendeleo endelevu...
Maono ya mtu siyo lazima yatimizwe na mubeba maono na hakuna anaye weza kuyabeba maono ya mtu.
Uharisia wa ndoa yako ni maisha ya ujana,naamu Tanzania ya leo ni marudio ya kesho kwa kizazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.