Tanzania imebarikiwa kwa kuwa na hifadhi nyingi za taifa, hifadhi hizi zikiwa chini ya mgawanyiko wa: Hifadhi za taifa, hifadhi teule,hifadhi za mawindo na mapori ya akiba.
Ramani ya hifadhi za...
Heart and kidney diseases are major health concerns in Tanzania, contributing significantly to the national burden of non-communicable diseases (NCDs). According to the World Health Organization...
Poverty among youth's in Tanzania is very serious issues thereby inorder to ensure every youth in Tanzania become financially secure the following are 8 Secrets to concentrate as explaned by six...
Kodi ni Nini?
Kodi ni malipo ya lazima ya kifedha yanayowekwa na serikali kwa watu binafsi na biashara ili kufadhili matumizi ya umma na shughuli za serikali. Kodi hukusanywa kwa njia mbalimbali...
Teknolojia nini?
Teknolojia ni hatua ya mabadiliko kutoka katika matumizi magumu ya kazi kuja katika njia rahisi ya utendaji kazi kwa urahisi na haraka.
Au Teknolojia ni sayansi ya hali ya juu...
Ningependa kuwashauri wahusika yafuatayo. Wapanue wigo wa kuwafikia walipakodi kwa kuwa na mipango ya muda mfupi na muda mrefu kwa kufungua ofisi za mamlaka ya mapato kwenye kata na tarafa hata...
Utangulizi: Kuna udumavu wa maendeleo na ongezeko wa deni la taifa linaloletwa na mikopo ya nje sababu ya uchache wa kodi zinazokusanywa.
Mamlaka ya ukusanyaji mapato inapaswa kutumia njia chanja...
KURASA 1: UTANGULIZI
Maono ya Serikali hivi karibuni yameonyesha ni jinsi gani imepania kufanya mapinduzi ya sekta ya nishati hapa nchini, rejea maagizo ya viongozi wetu wa juu hasa Mheshimiwa...
Introduction
Embracing Artificial Intelligence (AI) in the education sector presents Tanzania with a myriad of opportunities to revolutionize teaching and learning methods, enhance quality...
Tanzania tuitakayo ni ipi?, kwa maoni yangu Tanzania tuitakayo ni Tanzania yenye uchumi jumuishi. Yaani aina ya Tanzania yenye uchumi utakaomjumuisha kila mtu bila kujali umri, jinsia...
Ni Miaka Zaidi Ya 60 Sasa Tangu Kipindi kile Upepo Mkali Ukivuma Kwenye Fukwe za Bahari, katikati Ya njia ndogo Idadi ya Vijana Majasiri, Shupavu wakiwa na Minyonyoro Mizito Shingoni Na Miguuni...
It is important to know that the equation is no longer linear and things have changed ,we should break the belief that we had before , the idea that we should go to school ,get good grades,get...
Awali ya yote nipende kutoa shukurani za kipekee kwa uongozi wa JF na wahisani wengine kuwezesha jukwaa hili kuwa kitovu cha mawazo mapana ya kuijenga nchi yetu ya Tanzania.
Nikienda kwenye mada...
Kwanza nitumie fursa hii kuipongeza serikali kupitia wizara ya ujenzi, TANROADS na TARURA kwa miradi yote ya ujenzi wa barabara iliyokwisha kamilika, inayoendelea kukamilishwa na itakayokamilishwa...
Tatizo la ajira kwetu sisi vijana apa Tanzania limekuwa changamoto kubwa ambayo inahitaji suluhisho la haraka na endelevu. Kwa kuzingatia umuhimu wa kuweka mikakati madhubuti, serikali, sekta...
TEKNOLOJIA- SILAHA KALI YA ULIMWENGU MAMBOLEO.
Ni ukweli usio fichika kwamba karne ya ishirini na moja imeshuhudia mabadiliko makubwa sana katika ukuaji wa teknlojia duniani. Sekta kama...
UTANGULIZI
-Hifadhi ya mifuko ya jamii nchini Tanzania inajumuisha mifuko kadhaa ambayo inatoa huduma za kijamii na ya kifedha kwa wanachama wake. Mifuko hii inatoa huduma kama vile pensheni, bima...
TUWEZESHE VIJANA KIUJASIRIAMALI KWA UZOEFU NA UJUZI
Tunaeza kufikia Tanzania tuitakayo kwa kumuezesha kijana tangu akiwa mtoto kiujasiriamali kwa uzoefu na ujuzi.
Nchi yetu ni miongoni mwa nchi...
UTANGULIZI.
👉Kuboresha Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania kunahitaji mabadiliko na maboresho kadhaa ili kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa haki, huru, na uwazi.
👉NEC inaweza kuongeza...
Historia ya Mapinduzi ya Viwanda
Tangu karne ya 18 hadi sasa, dunia imepitia vipindi vinne muhimu vya mapinduzi ya viwanda. Kila kipindi kimekuja na teknolojia mpya na bunifu katika kila sekta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.