Tanzania kama nchi inayoendelea kiuchumi, sekta ya uvuvi ni miongoni mwa sekta muhimu inayochangia ustawi na ukuaji wa pato la Taifa, ikiwa ni sekta inayotoa ajira nyingi rasmi na zisizo rasmi kwa...
Kwenye miti hakuna wajenzi nadhani umesikia huu msemo mara kadhaa,Kwa tafsiri ya kimsingi ni kuwa, kuna namna saa zingine kunakuwa na nyenzo pasi uwezo.
Msemo huu hudhaniwa pia kuwa ni kitu...
Mara baada ya kupata uhuru baba wa taifa hayati Mwl. JK Nyerere aliainisha na kutangaza maadui wakubwa wa taifa letu. Mwl. JK Nyerere alitangaza maadui wa taifa kuwa ni maradhi, umaskini na...
Kilimo ni shughuli ya uzalishaji wa mazao kwenye mashamba ambayo inajumuisha uzalishaji wa mimea, ufugaji wa wanyama, na uvuvi wa samaki. Kilimo hulenga kuzalisha chakula, malighafi za nguo, na...
Utangulizi
Katika kuiona Tanzania ya baadae yenye wananchi wenye nguvu na afya ni lazima tuweke kipaumbele cha upatikanaji wa huduma za afya kwa wananchi wote. Wazo moja la kiubunifu ambalo...
Tanzania Tuitakayo, Tanzania Tunayostahili
Elimu
Katika kuunda Tanzania tunayoitaka, elimu inapaswa kuwa msingi wa maendeleo yetu. Serikali lazima ijikite katika kuboresha shule zilizopo na...
Utangulizi
Kumekuwa na harakati nyingi za kutetea haki za mtoto wa kike ambazo chimbuko lake ni kuwepo kwa mfumo ambao ulimpa kipaumbele mtoto wa kiume (Mfumo dume). Mfumo huu ulijengeka na kuwa...
'MASINGO MAZA NA MASINGO FATHER', MAYATIMA WAPYA WANAOHITAJI KITUO CHA MALEZI CHA TAIFA.
Ndugu zangu, Idadi ya MASINGO MAZA, inatishia uhai wa KIZAZI KIJACHO. Hivi sasa tunaanda KIZAZI ambacho...
BARAZA LA MAADILI LA TAIFA KULINDA KIZAZI KIJACHO.
Suala la maadili, ni hoja mtambuka, ni suala nyeti katika jamii lenye kubeba taswira ya aina ya jamii tuliyonayo. Maadili sio kama wengi...
Title: Strategies to Curb Global Warming in Tanzania.
Introduction:
The United Nations (UN) 17 sustainable development goals (SDGs) which in September 2015 were agreed by world leaders aim at...
KUWEKEZA KWA WALIMU WA MASOMO YA SAYANSI NA HISABATI ILI KUFANYA MAPINDUZI YA SAYANSI.
Kufanya mapinduzi ya Sayansi na teknolojia serikali inapaswa kuwekeza kwa Walimu wa masomo ya Sayansi na...
Karibia sekta nyingi za umma hazitumii mifumo thabiti katika kukabiliana na upotevu wa fedha na rushwa kwa namna tofauti licha ya maendeleo makubwa ya tehama kwa kiasi kikubwa nchini na hata...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imejidhatiti kikamilifu katika kupigania usawa wa kijinsia kati ya watoto wa kike na wale wakiume. Lakini kwa siku za hivi karibuni serikali imejenga...
Sekta ya habari na mawasiliano ni sekta muhimu sana katika taifa lolote linalohitaji maendeleo. Kwa kuwa sekta hii inahusisha kukusanya taarifa mbalimbali,kuzichakata na kuzihariri na baadaye...
Mashindano ya UMISSETA na UMITASHUMTA hufanyika kwenye ngazi ya shule ya msingi pamoja na sekondari ikijumuisha michezo mbalimbali kama vile soka, netiboli, mpira wa mikono, nk, ambapo mashindano...
Binadamu wanamahitaji makuu matatu - chakula/kinywaji, mavazi na makazi. Nyumba sio anasa, bali ni moja ya mahitaji muhimu yanayochochea amani na utulivu, ukuaji wa kiuchumi pamoja na heshima...
Ni mwaka 2034. Tanzania imebadilika kabisa, ikiwa na miundombinu ya kisasa ya mawasiliano na uchukuzi inayotumia teknolojia za hali ya juu. Haya yote yalianza na maono thabiti na mipango kabambe...
Utangulizi
Kumekua na kero Kadhaa kwenye matumizi ya simu kufanya miamala ambayo huwa inajitokeza na kuchukuliwa kama changamoto ya kawaida bila mamlaka husika kuchukua hatua kutatua kero .Kwa...
Utangulizi
Ukuaji wa tenolojia ya mawasiliano na tehama nchini pamoja na ongezeko kubwa la watumiaji wake unazidi kuleta hofu kubwa kwa jamii juu ya maudhui yasiyofaa yanayopatikana hasa kwenye...
Sekta ya Elimu nchini Tanzania ni miongoni mwa sekta muhimu ambapo watu wanapata maarifa na ujuzi unaowasaidia kuondoa ujinga, kuwa wasomi na watu wanaoleta mabadiliko Chanya nchini. Sekta hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.