Kwa nini tunahitaji malengo ya Mkoa?
[ Picha: Pinterest]
1.Kutokuwa na usawa wa kimaendeleo, ukitazama tuna miaka sitini na ya uhuru wa taifa letu Tanzania lakini kuna maeneo bado huduma za maji...
Tanzania Mpya ndani ya Miaka Mitano hadi Ishirini na tano ijayo: Kupunguza migogoro ya Ndoa na Kesi za Mirathi.
(Picha kutoka Mtandaoni)
Miaka ya hivi Karibuni katika Mitandao ya kijamii...
Muhtasari:
Pendekezo hili linazingatia kubuni mkakati wa kitaifa wa kupunguza matumizi yasiyo na ulazima na kuelekeza rasilimali hizo katika miradi muhimu kama ujenzi wa miundombinu ya barabara...
Suala la ajira limekuwa ni janga katika nchi nyingi ikiwemo Tanzania.
Tanzania kila mwaka wanahitimu wasomi wengi wa fani tofauti tofauti lakini wanaopata ajira serikalini na sekta binafsi ni...
I had been waiting for so long since morning, I was very eager to meet him for the first time since I knew him on the social networks a couple of months ago. He then appeared with a bright smile...
Kuimarisha Mifumo ya Kisheria. Awali, serikali ya Tanzania iimarishe na kupanua mifumo yake ya kisheria ili kukuza usawa wa kijinsia katika ushiriki wa kisiasa. Ingawa asilimia 30 ya sasa ya...
Naandika maneno haya nikiwa kwenye maumivu makali Sana. Nimempoteza mtu wa muhimu sababu ya PF3.
PF3 Ni kiungo gani kwenye afya ya binadamu!!??
Natamani makala yangu isomwe na nchi nzima Kisha...
Elimu na teknolojia ni misingi muhimu katika kuleta maendeleo endelevu katika taifa lolote. Katika muktadha wa Tanzania, uwekezaji katika elimu kwa kutumia teknolojia unaweza kuwa kichocheo...
KUJITEGEMEA KWA NAFASI ZA AJIRA ZINAZOPATIKANA KUTOKEA KWA WATUMISHI WALIOSTAAFUU NA WALIOFARIKI.
Kupata kazi au ajira baada ya kumaliza masomo imekuwa ni ndoto ya kila msomi, lakini katika karne...
Huu ni mradi bunifu wa kuitangaza Tanzania kwa njia ya vitabu, kwamba vitabu vinavyohusu hadithi na matukio ya kitalii, vivutio, wanyama pekee, picha za maeneo ya kitalii vitakuwa katika simulizi...
TANZANIA TUITAKAYO KUTANGAZA UTALII KWA NJIA YA KADI.
Huu ni ubunifu wangu kwenda sekta ya utalii Tanzania kwa kutumia kadi ya mwaliko, Je kadi mwaliko ni nini? Ni kadi maalum itayotolewa au...
Toka mtandaoni
UTANGULIZI
Nchini Tanzania, Swala sio kutoa elimu juu ya umuhimu wa elimu, wala kutumia nguvu kubwa katka kunadi sera za elimu pekee bali tunahitaji kufanya mchunganuo na...
UTANGULIZI.
Ubinifu wa teknolojia umeendelea kushika kasi dunia huku gunduzi za teknojia mbalimbali zikigunduliwa kwenye nyanja mbalimbali ikiwemo mawasiliano, elimu, afya, usafiri za uzalishaji...
HALI ILIVYO NA MAMBO YA KUANGAZIA:
Bado kuna ombwe kubwa la kutofautiana katika ujuzi na maarifa miongoni mwa baadhi ya wahitimu wa vyuo tofauti waliosomea shahada zinazoshabihiana.
Aidha...
TANZANIA TUITAKAYO
Niingie katika lengo la andiko langu moja kwa moja;
Katika jamii yetu na Taifa kwa Ujumla, kumekuwepo Malalamiko mengi juu ya Akina Mama Wajawazito pindi waendapo kujifungua...
MIPANGO MINNE YA MAENDELEO YA KIUCHUMI TANZANIA.
Je! Uchumi wa Tanzania wa sasa unafanana na ule wa Tanzania ya mwaka 2015? Jibu ni HAPANA! Hivi sasa ni mwaka 2024, kwenye kalenda ya serikali...
Uongozi wa Edeni
Rushwa kama upepo wa kusi, inavuma kwa kasi,
Inakita mizizi kila kona, inaibomoa Edeni,
Kila mtaa kila kijiji, maendeleo yanabuma,
Watu wanasaga meno na kulia, haki haipatikani...
Hivi karibuni (Mwezi Juni 2024) wakati Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano waTanzania, Tulia Ackson akitangaza maamuziya kumsimamisha Mbunge Luhaga Mbinakushiriki vikao 15 vya Bunge pamoja...
UTANGULIZI
Kumekuwa na changamoto nyingi zinazo wakabili vinaja wabunifu nchi nifurahi kuleta wazo hili kwa mara ya kwanza kama mtu ninayependa kushauriana nawe katika maana ya kuleta maendeleo...
Kupata kazi ni haki ya kila raia mwenye sifa STAHIKI kwa miongozo ya kitaifa na kimataifa. Sifa kubwa ni kuhitimu katika fani inayotakiwa sokoni kutoka kwenye vyuo vinavyotambulika na mamlaka za...