Mimi siyo mhubiri, ni mtafiti. Lakini naijua kanuni, na kanuni hiyo rafiki yangu, ni Neno la Mungu.
Bwana MUNGU aiambia mifupa hivi; Tazama, nitatia pumzi ndani yenu, nanyi mtaishi. (1)
"Mwenyezi...
You find an idiot complaining about how its life is broken by the society/government/religion/lack of connection etc while they themself can not even do the least like breathing well for oneself...
I am well aware about the story of change in 2024 which has tailored my enthusiasm to write this story focused on cultivating our own development. This tittle seeks to leverage the idea of...
Ni siku kama siku nyingine bodaboda zimejazana mtaani, jua limewaka, upepo unapuliza kwa kasi inayotimua mchanga na vumbi kiasi. Kiangazi kichanga kabisa. Kwa mbali wanaonekana watu kadhaa...
Kuongeza mapato ya taifa na kuboresha maisha ya wananchi wa hali ya chini ni malengo muhimu kwa maendeleo endelevu. Serikali inapaswa kutumia mbinu zinazozingatia haki na usawa katika ukusanyaji...
Utangulizi
Tanzania imekuwa ikishuhudia maendeleo ya kiteknolojia kwa kasi katika miaka ya hivi karibuni. Katika miaka 10 hadi 20 ijayo, nchi inaweza kuwa imefikia kiwango kikubwa cha maendeleo ya...
Njia Tano Bora za Ukusanyaji Mapato Bila Unyonyaji kwa Mwananchi
1. Matumizi ya Teknolojia na Mfumo wa Kielektroniki:
-Ushuru wa Dijitali: Kutumia mifumo ya kielektroniki katika ukusanyaji wa...
Matumizi ya mitandao ya kijamii sasa yanaongezeka kwa kasi Duniani na kufanya kila mtu kuwa rahisi kuwasilina na kujua vitu vinavyoendelea Duniani.
Takwimu zinaonesha kuwa watu bilioni 4.7 kote...
Utangulizi
Tanzania imekua miongoni mwa nchi ambazo imekua ikukumbwa na janga la ukosefu wa ajira kwa wahitimu wa vyuo, vijana na wananchi wengi kiujumla, na tatizo ni kwamba wasomi wamekua ni...
Dibaji.
Sekta ya utalii ni sekta inayoongoza kwa kuingiza mapato nchini kwa miaka mingi sasa,na ni moja ya Sekta zinazokua kwa kasi.Kutokana na utajiri wa vivutio vya utalii tulivyonavyo nchini...
Tanzania tumekuwa tukipata wakati mgumu namna ya kuimarisha uchumi wa taifa ambo ndio dira ya Taifa kwa jamii nzima Katika kukua kwa uchumi na kuachana na umasikini;
Naitwa Raphael Edson mkazi wa...
Wizara ya maendeleo ya jamii, jinsia, wanawake na makundi maalum.
Ningependa Tanzania niitakayo kupitia
wizara hii ikajitathmini na kufanya maboresho katika maeneo kadhaa kutoka katika sera zake...
Na hii ndiyo Tanzania tuitakayo hapo baadae juu ya nyanja ya elimu hapa nchini Tanzania
Elimu sahihi na bora itafanya kuinua na kuchochea mambo mbalimbali hapa nchini kwani nchi itazalisha wasomi...
Miaka 63 ya uhuru wa Tanzania kumekua na juhudi mbali mbali kama nchi na wadau mbali mbali kufikisha huduma za afya mijini na vijijini. ikiwa ni pamoja kuongeza idadi ya vituo vya kutolea huduma...
Kuongeza Uwajibikaji katika Ripoti za CAG kwa Miaka 5-25 Ijayo na Kuijenga "Tanzania Tuitakayo"
Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) zina umuhimu mkubwa katika...
Tanzania inazo sehemu nyingi za kutupa taka zinazo oza na zisizo oza sehemu hizi zinajulikana kwa jina maarufu kama dampo (jalala). Kuna namna ambavyo taka hizi zinaweza zikaleta mageuzi makubwa...
Kulingana na report ya CAG hapa nchini kwa miaka hii miwili imeonekana kuwa na mapungufu mengi kwani imeandamwa na hasara nyingi na baadhi ya vitengo kutokutoa report zao kwa muda sahihi
Jambo...
Juhudi zinazofanya za kushusha vifurushi na kuondoa baadhi ya huduma kwenye bima ya NHIF hayo ni matunda tu yaliyooza ila mzizi wake ni wimbi kubwa la wagonjwa wa magonjwa yasiyo ya kuambukiza...
UTANGULIZI
Demokrasia ya kweli ni uwezo mkubwa wa taifa katika uwasilishaji wa mawazo utakao ruhusu kupokea mitazamo kwa kila mwananchi. Katika kuzingatia hilo uwakilishi wa maamuzi kitaifa...
Utangulizi
Kufuatilia matumizi ya fedha za miradi ya serikali ni muhimu ili kuhakikisha uwazi, uwajibikaji, na matumizi sahihi ya rasilimali za umma. TAKUKURU jama taasisi inayosimamia kuzuia na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.