Stories of Change 2024

Awamu ya Nne. Tanzania Tuitakayo: Maudhui yanayolenga kuibua fikra tunduizi au mawazo mbadala kuelekea miaka 5 hadi 25

JF Prefixes:

6 Votes
Maisha ni ya thamani kubwa sana. Hata hivyo maisha huambatana na changamoto moja kubwa. Watu hupata maisha(kuzaliwa) wakati wakiwa hawayahitaji na wala hawajui thamani yake, na huyapoteza wakati...
1 Reactions
1 Replies
164 Views
Upvote 6
5 Votes
Asilimia kubwa ya wafungwa wanaomaliza vifungo vyao hasa wafungwa wa vifungo vya zaidi ya miaka miwili wamekuwa wakipata changamoto kuyaanza tena maisha ya uraiani kutokana na kukosa ajira na...
0 Reactions
1 Replies
194 Views
Upvote 5
6 Votes
Tanzania ni moja ya nchi zenye fursa kubwa za maendeleo barani Afrika kutokana na rasilimali zake za asili, utajiri wa ardhi, na idadi kubwa ya watu wenye vipaji na uwezo. Hata hivyo, ili nchi hii...
0 Reactions
1 Replies
267 Views
Upvote 6
4 Votes
Ni kama ndoto ya usiku wa manane, nazishuhudia zile siku nzito zisizosahaulika za kampeni za wabunge na urais mwaka 2015 , namshuhudia Hayati Dkt John Pombe Magufuli, akimwaga sera zake za kuomba...
1 Reactions
2 Replies
181 Views
Upvote 4
1 Vote
From Grub to Grain: Tanzania's Insect Farming Revolution and its Global Impact on Food Security In a world grappling with the looming specter of food insecurity, an unlikely hero emerges from the...
1 Reactions
0 Replies
245 Views
Upvote 1
3 Votes
Tunapofikiria mustakabali wa Tanzania, moja ya malengo yetu makubwa ni kuinua Kiswahili hadi hadhi ya lugha ya kimataifa. Mpango huu wa kina unaainisha mipango ya kimkakati itakayotekelezwa katika...
0 Reactions
0 Replies
193 Views
Upvote 3
4 Votes
Lugha ya Kiswahili, pamoja na historia yake tajiri na umuhimu wake wa kitamaduni, ina uwezo wa kuwa lingua “franca” ya kimataifa. Kwa kuwa Tanzania inatazamia mustakabali wake, kukitangaza...
0 Reactions
0 Replies
213 Views
Upvote 4
2 Votes
Serikali ni muhimili mkuu unao jitegemea katika katika nchi ambao upo kwa ajili kuongoza ,kutawala na kusaidia watu wake . Serikali inahusika katika kufanya kazi zifuatazo , Kukusanya mapato ...
0 Reactions
0 Replies
196 Views
Upvote 2
2 Votes
From Waste to Wealth: Revolutionizing Mine Closure in Tanzania As global mining activities intensify, the challenge of responsible mine closure has become increasingly urgent. Tanzania, with its...
0 Reactions
0 Replies
147 Views
Upvote 2
2 Votes
Utangulizi Ripoti za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) zimekuwa zikionyesha matukio mbalimbali ya ubadhirifu wa fedha za umma na utawala mbovu katika taasisi za serikali. Hali...
1 Reactions
2 Replies
311 Views
Upvote 2
2 Votes
In Tanzania, accessing quality healthcare is a fundamental right, yet it remains a significant challenge for many. The crux of this issue lies in the accessibility and availability of medical...
0 Reactions
1 Replies
224 Views
Upvote 2
1 Vote
Mfumo wa Elimu Tanzania umejengwa Kwa namna ambayo inahitaji mwanafunzi kupitia ngazi mbalimbali Kwa muda mrefu kabla ya kuhitim na kuanza maisha ya kikazi.tukiangalia Kwa undani tunaweza kuelewa...
0 Reactions
0 Replies
247 Views
Upvote 1
3 Votes
UTANGULIZI Ukuaji wa taifa kimaendeleo inategemea zaidi kujitegemea wa taifa kiuchumi na uzalishaji. Tanzania bado inategemea mataifa makubwa kimsaada na kukopa kama njia ya kujipatia fedha, hali...
0 Reactions
0 Replies
190 Views
Upvote 3
4 Votes
As they say "trust the path you choose it will protect you" small semi processing industries(SSPIs) as small and many industries that are specialized to convert intermidiate product in usefull...
1 Reactions
4 Replies
230 Views
Upvote 4
2 Votes
Teknolojia ni matumizi sahihi ya maarifa na zana za kisayansi katika kurahisisha na kuboresha kazi. Haya ni maboresho ya Teknologia Katika kipindi cha miaka 25 ijayo, katika nchi ya Tanzania ili...
1 Reactions
0 Replies
209 Views
Upvote 2
2 Votes
Utangulizi: Tanzania inakabiliwa na fursa kubwa ya kuboresha biashara na uwekezaji, hususan katika sekta za madini na miundombinu. Makampuni makubwa ya kimataifa kama vile Rio Tinto, BHP, na Vale...
0 Reactions
0 Replies
230 Views
Upvote 2
2 Votes
1. Kukuza thamani ya pesa ya Tanzania 2. Kubadisha mfumo wa elimu ya Tanzania 3. Kulipa madeni yote ambayo Tanzania inadaiwa Kivipi haya yote yatawezekana serikali ya Tanzania inatakiwa kujenga...
1 Reactions
1 Replies
226 Views
Upvote 2
3 Votes
Duniani kote nchi zilizoendelea zinategemea uwepo wa nishati bora katika kufanya shughuli zake, nchi maka Marekani, Urusi, china na nyinginezo zimeendelea kwa sababu ya ubora wa nishati...
1 Reactions
0 Replies
146 Views
Upvote 3
3 Votes
Nchi yoyote ile ili iwe na uchumi imara inatakiwa kuwa na miundombinu ya uhakika kwa ajili ya usafirishaji, usambazaji wa bidhaa kutoka eneo moja kwenda jingine. 1: Katika Tanzania tuitakayo...
2 Reactions
0 Replies
163 Views
Upvote 3
28 Votes
Ni wazi unakubaliana na mimi kuwa kwa asilimia kubwa watoto wengi wanaosoma shule za English medium ni watoto wanaojua kusoma na kuandika lugha ya kingereza kuliko wale wanaosoma shule za msingi...
8 Reactions
80 Replies
2K Views
Upvote 28
Back
Top Bottom