Tanzania tuitakayo Ofisi ya CAG ipewe mamlaka kamili Kama chombo kinachojitegemea na kujitosheleza Kama ilivyo TAKUKURU. Yaani wawe na mamlaka ya kumfikisha mahakamani na kumfungulia mashitaka...
UTANGULIZI
Kwa kipindi kirefu kumekuwa na ubadhirifu wa fedha za umma katika serikali kupitia miradi mbalimbali kitu kinachopelekea serikali kupoteza fedha nyingi pasipo kuwa na ulazima na mara...
Moja Kati mambo yanayoongeza ufanisi wa maendeleo ni kuongezeka kwa vijana wasioathirika na mpenzi katika kazi zao za kiuchumi,, hivyo inasemekana kufikia miaka kumi tangu 2024 vijana wengi...
Nini maana ya UBADHIRIFU? Ubadhirifu ni hali ya kukosa uwezo wa kujizuia au kujidhibiti, katika matumizi ya Fedha au Rasilimali mbalimbali, na hii hutokea kwa wale waliopewa mamlaka za kuongoza...
Utangulizi
Tanzania tuitakayo ni ile ambayo imejenga sekta za kisasa za maendeleo na sekta mojawapo kuu ikiwa ni viwanda; ambayo itachangia hali ya maisha ya watu wake kuwa bora kwa kuongeza pato...
Tanzania pamekuwa na ubadhilifu wa mali za Umma Kila siku lakini hakuna uwajibishwaji wa wale wanaohusika hadi inapelekea kuwa KAWAIDA na wengine hutamani kuiba!
Hii ni Kwa sababu
1. Hakuna...
KESHO YA TANZANIA INATEGEMEA MAENDELEO YA TEKNOLOJIA.
1.0. Utangulizi.
Teknolojia, kulingana na ensaiklopedia ya Britannica inaamanisha utumiaji wa maarifa ya kisayansi kwa vitendo kwaajili ya...
Jina la Andiko: Kuimarisha Upatikanaji wa Elimu kwa Wanafunzi Wanaoishi Mbali na Shule: Hatua za Kusaidia na Kupunguza Athari za Usafiri wa Jumuiya
Elimu ni moja ya nguzo kuu za maendeleo ya...
TANZANIA TUITATAKAYO
MABADILIKO KATIKA MFUMO WA ELIMU.
MUDA WA ELIMU. Kupunguza MUDA unaotumika kwenye mfumo wa elimu wa sasa wa Darasa la kwanza hadi Kidato cha Sita. Miaka saba (7) ya elimu ya...
SOKO LA AJIRA KWA VIJANA WENYE ELIMU YA KIDATO CHA NNE NA KIDATO CHA SITA.
TUJIULIZE MASWALI YAFUATAYO.
Je vijana wenye elimu ya kidato cha nne na sita wanasaidiwaje katika soko la ajira?
Je...
Suala la rushwa na kudhibiti kwake bado kuna ugumu na changamoto kubwa licha ya jitihada zinazofanywa na taasisi ya kupambana na kuzuia rushwa hapa nchini. Suala la rushwa ni moja ya kikwazo...
CHANGAMOTO.
1: Ukosefu wa taarifa za mngonjwa pale anapona tibiwa hospital mbili tofauti kwa wakati tofauti.
2: Kutokea kwa makosa ya kimatibabu kutokana na ukosefu wa taarifa za mngonjwa.
3...
Kwa miaka mingi hadi Sasa Tanzania imeendelea kukabiliwa na changamoto katika utoaji huduma ya maji Kwa wananchi pamoja na ubovu wa miundo mbinu hasa ya Barabara nchini. Changamoto katika maswala...
Tanzania imekuwa na sera na mipango mbalimbali ya miaka kadha mbele na imepiga hatua katika hilo.
Mifano ya sera na mipango iliyofanikiwa ni
Sera ya uwepo wa shule za sekandari kata ,
Sera ya...
Tanzania faces significant nutritional challenges, including high rates of malnutrition, micronutrient deficiencies, and diet-related non-communicable diseases. Rural areas, in particular, suffer...
Tanzania ni nchi yenye wasomi wengi sana wenye maarifa ya hali ya juu,uwezo mkubwa katika proffesional zao na vyeti ambavyo vina watambulisha kuwa wamefuzu katika fani zao walizo somea kama...
Kukwama na kusuasua kwa maendeleo ya Tanzania yanaweza yakawa yameshikiliwa na mambo machache ambayo kama yakibadilishwa yanaweza kuchochea mabadiliko ya kimaendeleo ya kasi sana.Nchi ni mali ya...
UTANGULIZI
Siasa ni sera ya kufanya maamuzi katika ngazi mbalimbali za jamii, kama vile mji,taifa au hata kujumuisha dunia kwa ujumla. Kuna sababu kazaa za kulazimisha kwa nini ushiriki wa...
Tanzania's ApiRevolution: A Sweet Symphony of Economic Transformation and Ecological Harmony
In the heart of East Africa, a symphony of change is buzzing into existence. Tanzania, a nation...
Mimi mtazamo wangu, Tanzania tuitakayo kuweza kuifikia:
1. Kufanya Kazi Kwa bidii shambani na viwandani.
2. Kuwatafutia wakulima masoko ya nje ILI kuweza kuuza bidhaa zao.
3. Kusimamia vzr mapato...