Katika kipindi cha miaka 5 hadi 25 ijayo, Tanzania inahitaji kuchukua hatua thabiti na bunifu ili kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu. Miongoni mwa sekta muhimu zinazohitaji maboresho...
Tanzania is striving to create an economic environment that fosters a happy and prosperous life for its citizens. Achieving this goal requires effective management of the existing tax bases...
“Watizamwe kwa jicho la huruma”
Katika hao wapo wengi walio na utayari wa kuanza maisha mapya, ni sisi kama jamii kuamini.
Tusisahau juu ya wale wengi wanaowatumia kama chanzo cha mapato, “tuna...
Tunapaswa kukabiliana na athari za Ubebaji Mabegi Mazito kwa Wanafunzi Wadogo
Utangulizi
Moja kati ya mambo muhimu ya kuzingatia kwa wanafunzi ili kuwa na utimamu ni pamoja na afya zao, ikiwa ni...
Tanzania tuitakayo lazima iwe na raia walio wengi Kwa ulimwengu wa sasa ambao angalau wawe na uwezo wa kutumia lugha za kimataifa angalau hata lugha moja ambayo itawawezesha kujiimarisha...
Kukua kwa sekta ya michezo nchini Hadi kufikia viwango Bora na vya kiushindani kimataifa inawezekana na hadi timu yetu ya taifa (Taifa stars) kushiriki kombe la dunia haitakuwa ndoto Bali itakuwa...
Nchini Tanzania, Sekta ya Kilimo ni muhimili wa maendeleo ya uchumi. Sekta hii inachangia kiasi cha nusu ya pato la Taifa, robo tatu ya bidhaa zinazouzwa nje ya nchi na chanzo cha chakula pamoja...
Teknolojia: ni fulsa Kwa nchi na watu watakayo itumia vizuri Kwa maendeleo
Teknolojia ni kitu muhimu kwenye nyanja mbalimbali za kidunia yetu hii ya Leo teknolojia Kwa matumizi mazuri ni nyezo...
Utangulizi
Kwenye ukuaji wa taifa lolote lile duniani, linahitaji kuwa na viongozi wenye maono mapana kwa taifa lao. Pia kuwa na sera dhabiti kwa taifa lao ni muhimu, mfano kwenye elimu, afya na...
Elimu ya sheria imekua ikiipuuzwa sana katika sekta ya elimu Tanzania ama imekua haipewi kipaumbele sana hivyo imepelekea kuwepo kwa matukio ambayo yanarudisha nyuma maendeleo ya taifa, maadili...
Tanzania iko katika wakati muhimu sana katika historia yake, iliyojaliwa kuwa na uwezo mkubwa wa kuwa kinara wa ustawi wa kiuchumi barani Afrika. Ili kutimiza dira hii, ni lazima tukumbatie sera...
Wakati Tanzania inapotazama katika robo karne ijayo, mkakati wa kiuchumi ulioandaliwa vyema unaoungwa mkono na sera za kimkakati za fedha-(Kiserikali) na fedha-(Kibenki) unaibuka kama msingi wa...
I. Tanzania's Agricultural Crisis: A Call for Transformation
Each year, Tanzanian farmers lose an estimated 30% of their harvest due to inadequate storage facilities and limited access to...
UTANGULIZI.
Dodoma ulitangazwa kuwa mji mkuu wa Tanzania na mwasisi wa taifa hili mwalimu JK Nyerere mwaka 1973 na Rais JP Magufuli alitoa amri ya serikali kuhamia Dodoma mwezi Julai 2016 wakati...
Serikali ya Tanzania,
Lini tutaweka nia
Kuhakikisha tunachodhamilia, kinatokea?!
Rushwa ni adui wa maendeleo
Anaitesa Tanzania mawio mpk machweo
Waulize mama ntilie wakujibu kwa kilio,
Halafu...
Nimuhimu sana kuwezesha wanawake katika sayansi na teknolojia kwa miaka ijayo kuanzia 5 hadi 25,hii itahakikisha mwanamke haachwi nyuma katika sayansi na teknolojia.
Pia sayansi na teknolojia...
MRADI WA KUANZISHA VITUO VYA UTAFITI NA MAENDELEO YA KILIMO NCHINI TANZANIA.
kulingana na changamoto zilizopo katika sekta ya kilimo Nchini. nikaona si vibaya kufikiria juu ya sekta hii muhimu...
I. Introduction
The air hangs heavy with the dust of a thousand pickaxes, a gritty reminder of the toil that fuels Tanzania's mineral wealth. Beneath the sun-baked earth, where diamonds gleam...
Utangulizi
Nchi yetu Tanzania, kama ilivyo katika mataifa mengi, vita dhidi ya uraibu wa kamari na vilevi vyenye kemikali maarufu kama "Visungura" imekuwa changamoto kubwa. Tatizo hili limekua...
Utangulizi
Tanzania, nchi yenye maliasili tele, hata hivyo bado ipo katika hatua muhimu ya mabadiliko ya kiuchumi. Lengo ni kuwa miongoni mwa nchi zinazojitafutia maendeleo ya kiuchumi. Ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.