Ili kutokomeza rushwa na kujenga TANZANIA TUITAKAYO ni lazima tuzingatie sekta zote katika nchi yetu zinatoa huduma bora na stahiki kwa usawa pasipo rushwa kwa wananchi wote.
Zifuatazo ni njia za...
Utangulizi.
Katika kipindi cha robo karne ijayo, Tanzania inaweza kuwa taifa lenye uwezo mkubwa zaidi wa kiteknolojia barani Afrika kwa kuwekeza katika teknolojia ambazo zinaweza kuleta mageuzi...
TANZANIA TUITAKAYO 💪🏽.
Tanzania ya VIJANA wenye uelewa wa shughuli KUU za kiuchumi zilizo katika maeneo yao wanayoishi au kuzaliwa ambazo zina wawezesha kujiajiri au kuajiriwa katika makampuni au...
Ili kutokomeza Rushwa ni vyema serikali kufanya utoaji wa ajira zote 'nje na zile za uteuzi' upitie kwenye mfumo mmoja (TAMISEMI) pia wafanyakazi wa TAKUKURU ni wachache wako maofisini na rushwa...
Rushwa ni kitu chochote Cha thamani kinachotolewa Kwa lengo la kumshawishi mtu afanye au asifanye jambo fulani kinyume na taratibu na Sheria. Aidha kwa mujibu wa benki ya Dunia rushwa ni matumizi...
In the heart of East Africa lies Tanzania, a nation brimming with potential and vibrant dreams. It is the year 2024, and the country stands on the brink of a transformative journey that will...
Katika jamii yetu ya Watanzania, suala la kuzuiliwa kwa miili ya marehemu hospitalini kutokana na madeni ni tatizo ambalo limekua likijirudiarudia mara kwa mara na kuzua mijadala mikali.
Wengi...
Tanzania yetu tunayoitamani ni nchi yenye ustawi, yenye umoja, na yenye uvumbuzi, ambapo kila raia ana fursa sawa za kutimiza uwezo wake kamili. Maono haya yanaweza kutekelezeka kupitia mkakati wa...
Bima ya afya ni nyenzo muhimu inayomweesha mtu kuweza kupata huduma za afya katika vituo vya kutolea huduma za afya kama vile zahanati, vituo vya afya, hospitali za wilaya, mikoa na kadhalika...
Mapambano Dhidi ya Rushwa na Ufisadi: Njia ya Kuelekea ‘Tanzania Tuitakayo’
Utangulizi
Rushwa na ufisadi ni matatizo makubwa yanayokwamisha maendeleo ya kiuchumi, kijamii, na kisiasa nchini...
UTANGULIZI
Kwa miaka mingi toka nchi ipate uhuru walimu wamekua ndio kiwanda cha kuzalisha maarifa kwa ajili ya uendeshaji wa nchi kwa kuwatoa watu ujinga na kuzalisha Wataalamu ila maslahi yao...
Kwa miongo kadhaa tangu tumepata uhuru maendeleo ya Taifa letu yamekuwa yakitegemea ilani ya chama kinachotawa na maono ya kiongozi aliyepo madarakani. Hata hivyo muda mwingine utekelezaji wa...
Andiko la Mabadiliko kwa Miaka 5-25 Ijayo kwenye Mapambano Dhidi ya Rushwa na Ufisadi kwa Ajili ya 'Tanzania Tuitakayo'
Utangulizi
Rushwa na ufisadi ni matatizo makubwa yanayozorotesha maendeleo...
Kwa kutumia mali asili zetu tunaweza fanya mabadiliko kiuchumi na kuimalisha jamii zetu,Pamoja na kujisimamia kiuchumi na kupunguza utegemezi kutoka nje ya nchi.
Bahari:
Utalii wa Pwani...
Tanzania na nchi za afrika kwa ujumla wake tumekuwa na uduni katika kukuza SEKTA ya UJENZI kwa MAENDELEO ENDELEVU pamoja na usalama wa nnchi zetu
1. SEKTA YA UJENZI ni nyenzo muhimu katika...
Kwa wahitimu wa Elimu ya juu mtakubaliana na mimi kuwa changamoto ya ajira imekuwa tatizo kubwa sana, Serikali, taasisi binafsi wamekuwa wakitafuta njia za kuondosha tatizo ili la ajira.Watu wengi...
Improving health services in Tanzania, a country with a population of over 60 million people, requires a multifaceted approach. Here are ten strategies to enhance health services in Tanzania, each...
Improving the education system in village areas of Tanzania requires a multifaceted approach, addressing both infrastructure and the quality of education. Here are ten strategies:
1...
Improving technology and communication in Tanzania is essential for fostering economic growth, enhancing education, improving healthcare, and promoting social development. Below are ten strategies...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.