Na Da Vinci XV
Chanzo: Forbes
Wasalaam
Wahenga walisema wakati ni ukuta.
Sasa wakati huo ambao mimi nikihangaika kumpigia kelele mbunge wangu nilie mchagua miaka 4 iliyopita anijengee daraja...
Kama nchi, ili tuendelee tunahitaji kufanya maboresho ya mara kwa mara ya sera za nchi ili kuendana na mabadiliko makubwa yanayotokea kila mara kadri wakati unavyoenda.
Kuna sera zilionekana kuwa...
This project is the initiative that aim at providing education to the community basing most to the youths, about various diseases but with more focus on HIV/AIDS and Sexual Transmitted Diseases...
Katika karne tuliopo, teknolojia inatumika kwa kiwango kikubwa katika sekta mbalimbali ikiwemo sekta ya biashara. Teknolojia imekuza sekta hii kwa kutoa huduma kwa haraka, ufanisi na kwa gharama...
Ukosefu wa ajira ni miongoni mwa changamoto sugu ulimwenguni kama taifa yatupaswa kuwa na mikakati mipya na endelevu kupunguza ukosefu wa ajira nchini.
Bendera ya Tanzania.
Kila mwaka mamia ya...
TANZANIA TUITAKAYO: Maendeleo ya Sayansi na Teknolojia kwa Miaka 5-25 Ijayo
Hatua kuelekea Mustakabali wenye Sayansi na Teknolojia Bora
Tanzania, nchi iliyobarikiwa na rasilimali nyingi na...
Habari yako ndugu msomaji wa chapisho hili,
Ninapenda kushirikisha maono yangu juu ya nini cha kufanya kwako kijana au mzee mtu mwenye umri wowote inakuhusu hii. Kuna baadhi mtaona kuwa miaka 10...
Mifuko ya pensheni ina jukumu muhimu katika kuhakikisha usalama wa kifedha wa watu kwa kutoa pensheni ya uzee, ulemavu na warithi, na mafao ya ugonjwa, kukosa ajira na uzazi. Tarehe 20 Oktoba...
Utangulizi
Kipindi cha ukoloni, watawala wakishirikiana na wamisionari (waliokuwa wanaeneza dini tofauti na zile za asili), walifanya kazi kubwa sana kuwaaminisha wenyeji kwamba matumizi ya Tiba...
Kuni na mkaa ni vyanzo muhimu vya nishati kwa kupikia na kupasha joto, ambapo inakadiriwa kuwa 90% ya watanzania wanategemea kuni na mkaa kwa mahitaji ya nishati (HBS 2020 report). Pamoja na...
Sekta ya kilimo nchini Tanzania ni nguzo kuu ya uchumi wa taifa, ikiwa ni chanzo kikuu cha ajira. Kwa mujibu wa taarifa ya hotuba ya bajeti ya wizara ya kilimo 2023/2024, zaidi ya watanzania...
Introduction:
Tanzania stands at a pivotal moment in its history, poised to shape its future for generations to come. As we embark on this journey, it is imperative to envision a Tanzania that...
Introduction:
The field of Information and Communication Technology (ICT) demands that graduates not only possess theoretical knowledge but also practical experience to navigate the dynamic...
The oldest he could be is seven, yet his hands seem to have known more work than mine. Stone by stone, he piles his quota as we fulfill the latest installment of this encounter. My pace, as...
Kumekuwa na utiriri wa pesa nyingi za bandia mtaani noti pamoja na sarafu za mia tano serikali inatakiwa kufanya yafuatayo ili kuondokana hali hii
I) KUELIMISHA UMMA
Uhamasishaji unatakiwa...
Mifugo na mazao kulipia bima ya NHIF na mikakati ya Tanzania kufikia lengo la bima ya afya kwa wote
Imeandikwa na Bonge La Afya
UTANGULIZI
Njia rahisi na nafuu za kulipia huduma za afya ni nguzo...
Kutokana na ukuaji wa miji na majiji, wafanyakazi wengi wanaishi (kujenga makazi au kupanga) maeneo ya mbali kidogo (zaidi ya kilomita kumi) kutoka maeneo wanayofanyia kazi hali inayowalazimu...
Utangulizi
Asanteni sana kwa kupata fursa hii kuandika maoni yangu kwa kulenga maendeleo ya Tanzania miaka 5 mpaka 25 ijayo
KILIMO NA UFUGAJI.
Mradi wa Ushauri wa Kuendeleza Kilimo Tanzania kwa...
Michezo, Sanaa na utamaduni ni ajira, burudani, biashara na utambulisho wa Taifa. Sekta ya michezo, sanaa na utamaduni ni sekta muhimu kiuchumi katika nchi zilizoendelea kwa mfano nchini...
Jambo hili huweza kusaidia Kwa namba moja au nyingine katika kujikwamua kimaisha mara baada ya masomo hivyo Kwa Tanzania tuitakayo Kwa kipindi Cha miaka 5 Hadi 25 jambo hili linaweza kuwa chachu...