Kuanzia mwaka 2025 hadi 2030, Tanzania imekuwa shuhuda wa mabadiliko makubwa na mafanikio katika nyanja mbalimbali za maendeleo. Hapa chini ni muhtasari wa story changes ambazo zimejitokeza katika...
Chanzo: Adobe Stock
UTANGULIZI:
Maono yangu ni kuiona Tanzania katika nyanja ya elimu inapiga hatua kwa kutumia njia mbalimbali ikiwemo ufugaji. Napendekeza serikali ifatilie na kuchambua mawazo...
Kuelekea miaka 5 ijayo tz ijipange kuboresha huduma ya mtandao ili kuzuia uhalifu na matumizi mabaya ya mtandao hivyo serikali ichukue hatua kuboresha sekta ya mawasiliano ili kupata tija nzuri...
Asante kwa wewe ulieingia kwenye huu uzi,ili kufahamu ni jambo gani hasa lililobeba maono ya Tanzania ijayo. Kwanini ni jambo ambalo nimelipa jina la hisia basi karibu na tiririka mpaka mwisho...
MUDA ni sehemu muhimu sana katika mpangilio wa mambo mengi duniani, na hii ni tangu kwa kuumbwa kwake, kutokana na maandiko ya vitabu vya dini, vimeandikwa kwamba hata Mungu aliutumia muda katika...
Serikali imekua ikiwekeza nguvu katika tafiti za madhara ya vinywaji vya kuongeza nguvu (Energy drink), Tiba asilia na Matumizi ya pombe katika afya ya Figo, Ini na Moyo. Matumizi mabaya ya Dawa...
UTANGULIZI
Nitumie fursa hii kuwasalimu wapenda soka wote mlioko humu ndani jamiiforum pia wapenda maendeleo kwa ujumla.Mafanikio ya mpira wa miguu ni matamu sana lakini yanahitaji maandalizi ya...
MALEZI YENYE MISINGI YA KUMCHA MUNGU, UWAJIBIKAJI NA KURIDHIKA.
Katika miaka ya sasa hivi wazazi wengi wamekua wakijikita sana katika shuguli za utafutaji kiuchumi ili kukidhi mahitaji ya familia...
Kwa kuwa maendeleo ni mchakato wa pamoja kati ya serikali na wananchi, hapa kuna hoja kadhaa ambazo zinaweza kuchangia maendeleo makubwa Tanzania ndani ya miaka 5 hadi 25
Ila katika kila point...
Serikali itoe fursa kwa vijana wenye vipaji na uwezo
Serikali tungeomba iwape fursa vijana wenye uwezo na taaluma mbalimbali tanzania tumejaliwa kuwa na vijana wengi wenye uwezo mbalimbali...
UTANGULIZI
Miundombinu ni moja ya nyenzo kubwa inayo tumika kuleta maendeleo nchini kwasababu inachangia kwa kiwango kikubwa maendeleo ya sekta nyingine kama vile sekta ya elimu, afya, biashara...
UTANGULIZI
Dunia iliumbwa kwa misingi ambayo ni sawia kabisa. Nikiwa na maana ya kwamba kila pande ya dunia kuna namna ilipewa rasimali ambazo zitawasaidia wakazi wa eneo hilo, kuweza kuendesha...
Kuwepo kwa shule za vipaji nchini tanziania ili tuwe na nchi yenye uchumi wa juu zaidi inabidi tuboreshe mfumo wa elimu.
Tanzania tunabidi tuanzishe shule za vipaji kwa kuanzia watoto wadogo...
Taifa moja
Tanzania ikiwaza, ikiongea na kusikama kama mtu mmoja nani awezaye kutuzuia?
Tuanze kupiga picha Taifa hilo litaonekanaje, na ungejisikiaje kuwa raia wa Tanzania hiyo, majukumu yako na...
ᴍᴏᴅᴇʀᴀᴛᴏʀ ᴇɴᴛᴇʀꜱ ᴀ ᴍᴇᴇᴛɪɴɢ ʀᴏᴏᴍ , ᴇᴠᴇʀyᴏɴᴇ ɪꜱ ʀᴇᴀᴅy ;ᴀɴᴅ ᴛʜᴇ ᴍᴇᴇᴛɪɴɢ ʙᴇɢɪɴꜱ
Moderator: Welcome, everyone, to this discussion on Transforming Tanzania through ICT. Let's start with the government...
Utangulizi,
Tanzania, nchi yenye utajiri mkubwa wa rasilimali, utamaduni na watu wenye bidii, inahitaji mabadiliko ya kimkakati ili kufikia mustakabali bora kwa vizazi vijavyo. Ni wakati wa...
Katika nyanja ya elimu, hadithi zina jukumu muhimu katika kuleta mabadiliko chanya na kuchagiza maendeleo ya nchi. kwa kuzingatia mbinu bunifu, desturi-jumuishi, na uwezeshaji katika sekta ya...
Kwa Tanzania ijayo Kuna marekebisho mengi ambayo yanaweza kufanyika katika sekta mama ya ya elimu hapa nchini Tanzania na ili kuboresha mfumo wa elimu na kuhakikisha kuwa wanafunzi wanapata...
Tanzania, nchi yenye utajiri wa rasilimali na utamaduni, imekuwa ikipiga hatua kubwa katika nyanja mbalimbali za maendeleo. Hata hivyo, ili kufikia ndoto ya Tanzania tunayoitaka, kuna mambo kadhaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.