Tanzania Tuitakayo inahitaji ulinzi imara ili kuimarisha usalama WA wananchi na mali zao.
Kwa sasa kumekuwa na uhitaji wa mkubwa wa Polisi Jamii kwenye kata mbali nchini, Hali hii inatupa taswira...
Habari za muda huu ndugu zangu watanzania, nimewaza sana na kutafakari ni wapi kama taifa tunaelekea maana ukweli usiopingika kuwa tunazama huku tukijifariji kuwa tupo katika njia sahihi...
Katika jamii ya watanzania kuna makundi mbalimbali ya watu wenye mahitaji mbalimbali yanayotofautiana, hata hivyo zipo njia mbalimbali za kuwafikishia mahitaji watu hao katika makundi yao...
chanzo ni; yotube
Hata sasa kwa Nchi ya Tanzania , Huduma ya upatikanaji wa namba za nida au vitambulisho vya nida bado imekuwa changamoto na mfumo huo kusumbua. Ofisi inayohusika na namba za...
MAMBO 15 YA MSINGI SANA KUYAJUA ILI UISHI NA WENZIO VIZURI
Thread 🧵 👏
1. Epuka hasira za hovyo na kila mtu, kuwa msikivu kabla ya kukimbilia maamuzi (elewa kuwa ukiwa na hasira huwezi kupata...
UTANGULIZI
Wizara ya elimu imezindua mtaala mpya wa elimu karibuni wenye maboresho mbalimbali ambayo binafsi naona bado hayakidhi matakwa ya kasi ya sasa ya ulimwengu kisayansi na kiteknolojia...
Taifa lolote lile Ili liweze kuendelea halina budi kuimarisha sekta ya Elimu Kwani ndiyo ukombozi wa binadamu na uchumi kwa ujumla.
Tunaposema kuimarisha sekta ya Elimu inatakiwa kupata na...
"Tanzania Innovation Hub for Education (TIHE)" ni mradi wa kipekee unaolenga kuimarisha sekta ya elimu nchini Tanzania kwa njia ya ubunifu na teknolojia. TIHE itakuwa kitovu cha ubunifu ambacho...
Kama inavyoaminika katika Taifa lolote lolote misingi ya maendeleo hutokana na uwepo wa rasilimali zilizopo kwenye Taifa hilo,Taifa misingi yake ni Jamii zinazolizunguka taifa hilo, hivyo Uimara...
Tanzania ni miongoni mwa nchi chache duniani iliyojaliwa rasilimali nyingi ambazo ni fursa kwa Taifa na watu wake.
Miongoni mwao ni uoto wa asili, milima, vyanzo vya maji sanjari na ardhi yenye...
Kwa kipindi kirefu sasa kumekuwa na propaganda inayoenezwa na wanasiasa, wafanya biashara na viongozi wengine wa serikali inayowakandamiza na kuwajaza hofu vijana wengi wa taifa hili ambazo kwa...
Image: "Madini Yetu, Ustawi Wetu?" (Our Minerals, Our Prosperity?)
I. Introduction: A Nation's Treasure, A People's Future
Tanzania, a land of breathtaking beauty, possesses a treasure trove of...
TANZANIA TUITAKAYO
Our country TANZANIA is blessed, and in order to preserve and grow what we are blessed with we need to improvise both socially, economically and politically. The following are...
UTANGULIZI
Kuelekea Tanzania tuitakayo,
Sekta ya Kilimo nchini Tanzania ni fursa kubwa ya kukuza Uchumi wa nchi, kupunguza umasikini kwa kuboresha maisha ya watu. Sekta hii inachangia kwa 23%...
Tanzania ni miongoni mwa nchi kutoka Afrika ambayo ina uchumi wa kati, kulingana na Benki ya Dunia (WB). Vilevile, pato la nchi linakua toka lishuke kipindi cha UVIKO-19, limeongezeka hadi TSH...
Kijana: "Nimechoka na huu mfumo dume unaopendelea mitihani kuliko stadi halisi za maisha. Hakuna uhusiano kati ya kufaulu mitihani na kuwa na mafanikio."
Elimu: "Naelewa hisia zako, kijana...
Kila Kona ya nchi yetu kumejaa madimbwi, Machozi kila Kona kila chozi linalotoka linaashiria machungu na maumivu, ni nani aliyetayari kukausha madimbwi haya?, ni nani wa kumfuta machozi huyu...
Ukweli usio pingika taifa letu limekuwa likizalisha wataalamu wengi kila mwaka kutoka vyuo mbali mbali ndani na nje ya nchi.
Lakini wengi wao hawapati nafasi ya kuonyesha uwezo wao kwenye soko la...
Utangulizi
VUTV ni mpango unaolenga kubadilisha mbinu nan njia tunazotumia Tanzania kufanya shughuli zetu hasa kwa maeneo ya vijijini ambapo ndipo uzalishaji wa bidhaa kama mazao na malighafi...
UTANGULIZI
Tanzania, kama nchi nyingi zinazoendelea, inakabiliwa na changamoto nyingi katika kilimo, ikiwa ni pamoja na uzalishaji mdogo, upotevu mkubwa wa mazao baada ya mavuno, na utegemezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.