Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wadau dish langu limepoteza frequency kabisa kwasababu ya upepo na mvua za jana,yeyote mwenye ujuz huo! Maana mafund wa DSTV cku hiz wanataka sana pesa!
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Nina Samsung galaxy s4,gt-i 9500,IPO slow sana kwenye kutumia internet na ninapojaribu kudownload videos au application inashindikana. natumia mtandao wa air tel naweza kupata msaada was jinsi ya...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
msaada wanajamvi smartphone yangu ya samsung nikiwasha inaanza proccess zote za kuwaka ikifika kwenye hatua ambayo screen inaonyesha neno sangsung basi ina baki hivyohivyo aizimi wala kuendelea...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Simu yangu tecno m9 imegoma kuwaka inaishia kwenye logo ya tecno tu imeflashiwa lakini tatizo lipo pale pale, naombeni msaada wa kiufundi ili iweze kutengenezeka.
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Nmezoea kushusha series kupitia www.kickass.to sasa nmeingia nikakuta domain imefungwa sasa naombeni msaada Wa plan B. Shukrani
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Msaada wanajamvi smartphone yangu ya samsung nikiwasha inaanza proccess zote za kuwaka ikifika kwenye hatua ambayo screen inaonyesha neno sangsung basi ina baki hivyohivyo haizimi wala kuendelea...
0 Reactions
3 Replies
771 Views
Asante sana Whatsapp kwa kusikiliza vilio vyetu kwa wale wanaopenda Privacy maana TCRA walikuwa wanataka kufika mbali.
4 Reactions
24 Replies
5K Views
Habarini wana JF? Ni hv dogo kachezea cm yang ya Huawei ascend na bahati nbaya kaweka pattern ambazo hakumbuki namna ya kuzitoa,wengne wamenishauri nikafrash lakn inakuwa ngumu maana nimeulizia...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Hello JF fans....! Are you the owner of a smart phone? Yes Android users.....! I have great news for you fellows. If you didn't know am going to tell you and if you knew you'll tell me am on...
0 Reactions
0 Replies
665 Views
habar,naomba msaada wa tofauti kat ya network engineer na telecomunication engineer.
0 Reactions
2 Replies
512 Views
Nadili na matatizo ya computer kurudisha data zilizopotea, kushughulikia software nahardware problem nicheck 0768936317 napatikana mwanza bugando B karibuusisite
0 Reactions
0 Replies
450 Views
Sony Telecommunications walipo ruhusu simu zao hasa uzao wa Xperia kusonga mbele kwenye OS ya Adroid hasa kuna baadhi ya OS Version kama Marshmallows ilizingua kwenye kutunza Chaji tofauti na...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, Ningependa kufahamishwa chuo/kituo kinachotoa huduma za mitihani ya 1. CISCO ( CCNA, CCNP na hata CCIE) 2. Linux (LPI exams) Haswa sehemu wanaporuhusu kufanya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu wana jamvi bila shaka mpo vizuri naomba watumiaji wa cm tanjwa hapo tukutane humu ili tubadilishane uzoefu wa matumizi yake. Kiufupi kwangu nimesha jaribu ku update cm yangu kwenda lollipop...
0 Reactions
2 Replies
907 Views
Jamani computer yangu aina ya HP inanipa pressure sana mwanzo program zilikuwa zinafanya kazi vizuri tu, akaja mtu nikachomeka EXTERNAL nilipoitoa tu program zote zikawa stopped work kila...
0 Reactions
2 Replies
733 Views
Naomben msaada jinsi ya kujailbreak ps3 yangu.
0 Reactions
0 Replies
645 Views
Natumia simu aina Sumsung Tablet 3, NATUMIA ANDROID OS, NATAKA KUHAMIA CYANO..msaada wakuu nafanya vipi msaada tutani
0 Reactions
2 Replies
760 Views
Heshima kwenu wakuu,samahani nahitaji maelekezo namna ya ku Update Blackberry 9800, Shukrani kwenu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari ya asubuhi, pole na kazi. Juzi nimenunua simu ya BlackBerry. Naona setting zake ni tofauti na simu nyingine, nahitaji kuinstall baadhi ya app lakini naona ipo tofauti nikiingia BlackBerry...
0 Reactions
3 Replies
957 Views
Wadau ninasimu tecno boom j7 unapoiwasha baada ya dk3 inajizima na kujiwasha tena na nimejaribu kuifanyia head reset lakini tatizo liko palepale tatizo ni nini! Wadau.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom