Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
mfanya biashara marekani kagundua silaha mpya ambayo ni bastola lakini smartphone tena Iphone...hii unaweza ukaibeba na kuificha kwa urahisi bila mtu kujua, itaanza kuuzwa soon mwishoni mwa mwaka...
0 Reactions
5 Replies
955 Views
Channel ten wamebadilisha freq na ambao hawajapata ni kama ifuatavyo freq: 4065.505 Sr 2848 fec 2/3 pls ni vertical kule kule Cband kazi kwenu
3 Reactions
70 Replies
38K Views
Hi wadau!,natafuta smartphone ya laki 6,kwa ushauri wenu ninunue aina gani?
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu,poleni na shughuri za hapa na pale za kila siku katika maisha. Ndugu zangu mi ninashida moja ninayoipata ninapokua naitumia simu yangu,simu yenyewe ni Lumia 430 window 10 mobile...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Hii hapaa Hapa mbili za juu ni HALOTEL baabkubwa...na za pili ni VODACOMU khapa kass tuuu SENKIYUUU....:);):D
1 Reactions
44 Replies
5K Views
Wakuu heshima kwenu. Nimenunua laptop Acer Aspire R 11 ikiwa na window 10 installed. Tatizo nimeshindwa kuunganisha internet kwa kutumia simu yangu (hotspot) lakini nikiunga kwa wireless...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
wakuu nimedownload game ya gta but haina sauti yani pale pa audio setup hapa function je nifanyaje kuliwezesha game hili kuwa na sauti
0 Reactions
5 Replies
644 Views
Habari wakuu. 1. nina Samsung galaxy Trend Lite nikipigiwa simu naambiwa sipatikani na wakati mwingine napatikana. issue ikoje hapo 2. hii hii simu nikiingia internet muda fulani ina disconnected...
0 Reactions
8 Replies
855 Views
Ipi simu nzuri yenye bei kuanzia laki tatu na nusu had nne?
0 Reactions
28 Replies
3K Views
mkuu msaada kuunlock hizi simu mbili 1. imei; 3570530670428** SVN; 110HYG1 2. imei; 3570530670480** SVN; 110HYG1
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Kwa taarifa nilizo zipata jana kutoka blog ya Maswayetu blogger ni kwamba kwa mhitimu yoyote ili aombe mkopo inapaswa awe na ufaulu wa GPA YA 3.5 kwa o`diploma je kweli wadau wa elimu ya juu kwa...
0 Reactions
0 Replies
734 Views
nimehangaika sana kutafuta setup ya gta vice city msaada pls wa link ya kulidownload direct mana nimehangaika sana net
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Naomba msaada wenu jinsi ya kufanya partition kwwnye pc. Mwenye ujuzi.hebu share na mimi basi. Asanten wakuu
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Msaada laptop yangu sina ya dell inazingua kidogo kwenye net ipo slow na music ina play tatizo lipo kwenye video iwe video ya YouTube au ambayo saved kwenye computer ikiplay baada ya dakika 3 tu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini!!!! Am on the way to mombasa sina budi kulala ARUSHA ndo safari iendelee!!!! tumefika jioni hii ila ilipofika mda wa kuangalia taarifa ya habari walipo washa TV chanel zikawa empty kumbe...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mimi ni freelancer nauza line line za simu sana ila wateja wangu wengi wanapenda mtandao wa VODACOM. Huwa wanashindwa kunielewa pale wanapohitaji huduma ya SIM SWAP na hapa ni kijijini inakosa...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wadau naomba kujua kuna uwezekano wa kuangalia TV bila king'amuzi kwa channels zote (azam TV, continental TV ,zuku TV n star times TV n TV za nje ) kwa kutumia flat screen TV , Kama kweli utumika...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Niaje Wakuu niende moja kwa moja kwenye point Kuna Spread sheet nataka kutengeneza ambayo inakuwa na Expenses, Derbit, Credit na Cash Flow kwenye Bank Acc mfano nimenunua sukari 200tsh hii...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Believe it or not, even today, it’s possible to make a website TODAY, that will someday compete with Facebook, YouTube, etc. As you have probably have heard multiple times, there is no secret...
0 Reactions
0 Replies
644 Views
Heshima kwenu wakuu ! Kwa anayejua jinsi ya kufanya partion kwnye drives za computer naomba msaada ni kwamba pc yangu ina memory kubwa sn kweny drive D' wakati drive C' ina kiasi kidogo...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Back
Top Bottom