Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Simu yangu ni samsung gallaxy SIII Mini version 4.2.2 nataka kwenda ktk version ya juu zaidi naombeni msaada wenu wa hali na mali..... Simu nmeshai-root kwa #kingroot na imekuwa verified kwa...
1 Reactions
4 Replies
905 Views
Hbr nimebonyeza button za kuswitch lakini inasema, broken wire/ wire plug out, je kuna kitu chochote cha kuchomeka ili wireless yangu ifanye kazi. Na tumia ACER INSPIRE 4333. mwenye msaada...
0 Reactions
1 Replies
892 Views
kama inasuport......inakonectiwa vipi??
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu naombeni msaada, Nina Television yangu Sumsung flat screen in in usb port ila sasa nikiweka flash disk ikiwa na mvoies hazionekani kabisa lakin ikiwa na nyimbo audio zinaplay bila matatzo...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Wadau poleni kwa uchovu wa weekend Nina rafiki ana techno j8 (boom) Bluetooth yake haina nguvu ya kukonet umbali wa haya mita mbili Tatizo nnn? Na nn afanye? Nategemea kutoka kwenu wadau
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nina sony xperia tatizo lake ukiiwasha inawaka inaonyesha logo ya sony,baada ya hapo haiendelei inakua inajiwasha na kujizima, nini tatizo au nifanye njia ipi niweze kutatua? Msaada wakuu.
0 Reactions
9 Replies
859 Views
Naomba kuuliza hii issue ya ku-root simu na TCRA imekaaje? Ukiroot wanakumind au ni kuflasha tu. Asanteni,
0 Reactions
7 Replies
963 Views
Habar wana JamiiForums Najua kuna walioitumia simu aina ya tecno camon c5 Lte. Swali langu ni kwamba hii simu ina ubora kiasi gani? Kwa aliye wahi itumia anaweza kuniambia kuhusiana na aina ya...
1 Reactions
64 Replies
7K Views
Naomba msaada kwa anaejua namba ya kuifanya simu ya Boom j7 iwe na Mass Storage maana ina MTT na PPT tu so nashindwa kuiunganisha na Tv yangu
0 Reactions
5 Replies
1K Views
PC yangu aina ya HP co i5 window 10 inapo waka inatoa sauti isio ya kawaida yaani kile kifeni kinatoa saut ad kero
0 Reactions
1 Replies
596 Views
Salaaam wakuu, Wakuu mtu mwenye Cd key za win xp tablet edition tafadhari anisaidie nimekwama ndugu yenu
0 Reactions
5 Replies
10K Views
Habari wana JF.... Msaada jinsi ya kupata app ya mobile cheater spy na vipi kuhusu jamaa anayejiita zahoro kuuza hii App kwa 25,000 ni kweli? Nawasilisha asante
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama umeli-download hili game, ukalicheza na unaendelea kulicheza utakubaliana na mimi hili siyo game, ila ni game zuri na tamu balaa!!
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari wakuu! App gan niwe nayo ili niweze kuinstall apps nyingi za android kwenye PC (laptop) yangu. Tusaidiane...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wandugu Kama kuna mwenye uelewa na hili naomba anisaidie. Hua natumia internet kustream live football match, lakini mara nyingi internet inakua slow sana. Natumia 4G ya TTCL na hua nikitest...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Tv yang ni lg model 42px4mvh-ta,nakosa raha kabisa ukizingatia nilinunua zanzbar alfu mimi naishi mkoan,kuirudisha tena naona. Ni kazi ya ziada,ilianza kama mchezo iv,ilikua ukiiwasha inakua black...
0 Reactions
25 Replies
11K Views
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, zamani nilikuwa natumia window 7 na ilikuwa inafanya kazi poa tu iwe kwenye chaji au haipo kwenye chaji. Sasa jana nime update kwenda window 10, cha ajabu...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
salaam jf. Pirate bay link ya magnet haifanyikazi mwenye mbadala anijuze.
0 Reactions
1 Replies
602 Views
Nataka nimepeleke kijana akapigwe msasa kwenye hii (HAPA) shule, vp wako vizuri? Tupeni maoni yenu kwa anayewajua.
0 Reactions
0 Replies
640 Views
Wakuu naombeni msaada ninatumia laptop vaio yenye kutumia window 8.1 sasa nına modem ya halotel ambayo nimeanza kuitumia kama wiki hivi. Kila ninapoitumia baadaya ya muda inafreeze laptop ambapo...
0 Reactions
7 Replies
893 Views
Back
Top Bottom