Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Kuna mchezo unafanywa na makampuni ya simu wa kuwaibia watu! Simu yangu ilikuwa haipandishi mnara/inapoteza network. Nikaenda kampuni moja (siitaji kwa sasa). Nikawaeleza tatizo wakasema hiyo...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Salaam wanajamvi, Kuna dogo anatamani kusoma programming languages zitakazomwezesha kutegeneza programs zitakazoweza kutumika kwenye simu zinazotumia android na nyingenezo. Elimu yake ni kidato...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ni mara nyingi sana nyimbo yaweza kusikika iwe kwenye radio, club au daladala na ukaipenda sana ila hujui jina la msanii wala jina la wimbo huo na hua inakera sana,, NJIA YANGU YA KWANZA...
0 Reactions
8 Replies
10K Views
Msaada wakuu, computer inazingua, haitaki kuwaka, inaniletea maandishi, ATTEMPTING BOOT FRON CD- ROM ATTEMPTING BOOT FROM HARD DRIVE BOOTMRG IS MISSING PRESS CTRL * ALT* DEL to restart...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Now alkoholism is not the number one cause of car accidents among youths. The number one cause of accidents and even deaths is the usage of phones while driving. Car designer are required to...
0 Reactions
1 Replies
591 Views
Wakuu, naombeni msaada wenu wa kitaalamu. Nilinunua Photocopy Machine mpya Canon IR 2520, nimeweka Drum na Toner lakini kila nikijaribu kutoa copy inatoka Plain yaani bila maandishi. Naombeni...
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Jamani wakuu, Naombeni msaada juu ya kusolve ilo tatizo litatokea pale ninapo piga picha kwa simu yangu.. Nikienda kufungua kwa gallery inaonyesha giza na huo ujumbe hapo juu. Sasa hata picha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimesikia leo polisi wanafungua call center, hivi hii system iko vp?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu habari za mchana.. Ninatatizo kidogo na samsung note 2,,inapandisha G na iko slow sana kwenye internet,,ni vipi naweza kufix hili tatizo ili isome H+... Kwenye network mode ipo kwenye WCDMA/GSM
0 Reactions
4 Replies
880 Views
Leo kipindi naangalia salio kwenye akaunti ya voda nikaona kuna ujumbe unaosema ....."pata hadi GB 80 kwa Tsh 200! tu piga *149*01# sasa" ukienda huko sioni chochote mwenye uelewa wa hili tafadhari.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hbr!wakuu ningependa jua utofauti wa kucrack window 10 kwa kms pico or other crack na mtu alinunua kabisa o alieweka product key!?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wataalam SOry nina ipad 1, nimeapgrade hadi IOS 5.1 but now najaribu kuload app zinanataka IOS 7, nikijaribu kuapdate inasema version ya zamani haiwezi upgrade, mnanisaidiaje wataalam waa...
0 Reactions
2 Replies
715 Views
Naombeni msaada wa kupata mkanda wa Hard disk SONY VAIO VGN-SR26
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Websites au apps zipi ni nzur za simu kwa ajil ya kudownload episodes za series kwa haraka bila longo longo wadau
0 Reactions
7 Replies
946 Views
Wakuu, leo wakati nachek salio nikakutana na hii.. Vip kuna yoyote aliewahi kuitumia au kujua unajiungaje
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Apple iPhone 7 to reportedly retain the 3.5mm headphone jack and boast dual-SIM functionality. “New leaked images suggest that the iPhone 7 will be the first from Apple to sport dual-SIM slots”...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Natumia HTC d820 sasa toka sa tano haina netwk hadi sasa shida nini
0 Reactions
4 Replies
994 Views
Ndugu naomba ambae anaweza kunisaidia nawezaje kufanya online shopping na mzigo wangu kufika nilipo salama bila tatizo ndani ya tz?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimenunua aina hiyo ya photocopy ikiwa mpya mwaka jana tu, ila sasahivi ukiiwasha inalema message hii UPDATE FIRMWARE *BIOS MODE* 2010/10/28 VOL .01 Na haiwaki wala huwezi kufanya chochote...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom