Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
WhatsApp ndio App inayotumika sana katika kutuma na kusoma meseji. Uzuri wa App hii ni kwamba ni rafiki kwa watu kwani ni rahisi sana kuitumia. Kwa hili watu wanaipenda lakini vipi kama ukiwa...
1 Reactions
1 Replies
39K Views
Dunia inabadilika jamani! Chuo cha Georgia Tech kilichopo Atlanta Marekani sasa kinatoa Masters ya Computer Science kupitia mtandao kwa takribana $7,000 tu, bei ya kaiwaida ("campus") ya Degree...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimewavulia Kofia China kudadadek aisee nais baada ya miaka 10 kama hii mambo ya Copy generation Itaendelea nais itaua soko la hizi kampuni kubwa.China wametoa Simu aina ya Meizu Pro 6 (Copy ya...
2 Reactions
20 Replies
6K Views
Hii canon IR2018 photocopy/printer/sccaner ni mpya ila ushamba kazi! Nimenunua na cartridge ambayo kwenye manual ina jina la "drum unit" ila baada ya kusoma vizuri manual na kuangalia machine...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Naombeni kujua namna ya ku upgrade window 7 kwenda 10 for free. Mahitaji yake ilinifanikiwe. Mwaka jana nilikuwa naona alert ya preparation ya PC yangu kuja kuwa window 10 siku hizi hata sioni ile...
0 Reactions
1 Replies
767 Views
ni mtandao gani wenye gharama nafuu zaidi zaidi hapa nchi Tanzania na wenye kasi inayo ridhisha kwa matumizi ya kupiga simu na kuperuzi na kupakua vitu mbalimbali kutoka mtandaoni?
2 Reactions
46 Replies
7K Views
Kwa wale wajuzi wa hizi issue naombeni.mnisaidie kama kuna mtu anaweza kunisaidia kuhack akaunti ya mtu anayenisumbua nipate tu namba ya muhusika ya simu naomba anisaidie Hata ikiwezekana mnipe...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mtoto amechezea simu app ya meseji siioni hivyo siwezi kutuma wala kupokea sms. nimejaribu ku download app nyingine ila hazifanyi kazi vizuri. Naomba kujua namna ya ku recover ya zamani.
0 Reactions
18 Replies
5K Views
juzi nilinunua vocha ya elfu 3 ya halotel moja nikajiunga kifurushi cha chuo na 1500 nikajiunga unlimited bundle cha usiku pack nikaja kuangalia salio kwenye unlimited bundle wakanambia ndugu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Simu feki zinapingwa duniani kote Kila mtu anafahamu kwamba mwezi wa 6 mwaka huu, wametangaza kuzizima simu zote feki Tanzania, imeleta utata sana ukizingatia kwamba asilimia kubwa ya watanzania...
4 Reactions
17 Replies
4K Views
Wakuu habari zenu nijuzeni nivjibsi gani naweza unlock Vodafone mobile broadband yaani kuiruhusu itumie mitandao yote wakuu.. Natanguliza Shukrani
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa yeyote mwenye keys za Lightroom 5 naomba anisaidie kwa kuziweka hapa asanteni
0 Reactions
0 Replies
656 Views
wataalam kati ya note4 na tab s 10.1 nimepata zote kwa sawa,hapa nipo njia panda je mnanishauri ninunue ipi
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu je kuna apps ya kuniwezesha kuandaa Curriculum vitae CV kwa njia ya simu? Natumia android hiyo cv nataka iwe katika format ya pdf
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Je niandae GB ngapi za data kufanya hii tukio..?
1 Reactions
6 Replies
848 Views
Extracted From the recent news alert from TCRA (March 19, 2016) Kuhusu maendeleo ya sekta, (Dr. Simba) alisema hadi Desemba 2015, idadi ya laini za simu za mkononi ilikuwa 39,808,419 ukilinganisha...
1 Reactions
35 Replies
17K Views
Habari wakuu? Ningependa kujua juu ya hii whatsapp encryption na utendaji wake wa kazi na unaweza itumiaje?
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Habarini wakuu:-katika zungukazunguka yangu leo kariakoo kwa ajili ya kununua tv,nimekutana na majina ya tv tofautitofauti(sumsung,TCL,singsung,ZEC,sony nk)naomba kujua vp kuhusu hizi zec,na tcl...
0 Reactions
48 Replies
19K Views
Hiyo ni application gani ya editing au ni uwezo wa Simu?
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom