Wasalaam,
Naamini hapa ni kila kitu na ninaweza kupata msaada ili kuweza kutatua tatizo lililopo.
Ni nyumba ya kuishi, familia yenye jumla ya watu sita (6) - watu wazima wa nne (4) watoto wawili...
Wadau wote wa humu naomba msaada kwa yeyote mwenye url. ya chaneli za hapa tz aniwekee hapa nami nifurahie tv za hapa kwetu tz. Natanguliza shukurani kwenu.
Here is how you can become a good programmer according to experts
How do I become a good coder and what should the ideal characteristics of a good coder?
Programming is one of the better career...
habari zenu waungwana!naomba kupata mawazo yenu juu ya swala la ufundi umeme ninao fanya kwani sijawahi somea chuo chochote ila nimewahi fanya kazi za wiring za nyumba mara mbili tu na fundi...
Wakuu huwa napata wakati mgumu kutafsiri hii equation ya Mkulu Albert Einstein je alimaanisha nini kusema energy ni sawa sawa na uzito yani mass kuzidisha Speed ya mwanga iliyo squared?
Kama ulizoea kupakua mafaili yako tofauti tofauti kutoka katika mtandao huo kupitia katika browser za Google Chrome na Mozila Firefox kwa sasa mbinu zako zitagonga mwamba.
Mtandao huo umefutwa na...
habari wwana JF,
hivi majuzi nimekuja na wazo la kutengeneza website ya movie ambazo nitakuwa napost movie zilizo tafasiliwa kiswahili na ambazo hazija tafasiliwa kweli nimefanikiwa nanimeona ili...
Wakuu..moja kwa Moja bila kumumunya maneno. Nilinunua hii LG Yangu wameniambia ni hizi digital yaan zina king'amuzi kwa ndani kwa hiyo mi nikuweka antenna tu. Na kupata hizi local Chanel free.. na...
Natumai ni wazima ndugu zangu. Leo ningependa kufahamu kama ni kweli kwamba unaweza ukatumia,smatphone yako ukaunganisha na tv yako ya flat screen ukatumia?
Kwa mfano una video kwenye simu yako ya...
Habar wakuu: cm yangu ni Tecno P-5 inashidwa instal apps, inaanza kwa kudownload kisha kuinstal ktk cm inakataa kama picha inavyoonesha, cjui tatizo ni nn? Wenye ujuz mnijuze pls;
Hi,
Nilikuwa natumia window na sasa nimehamia android, nina shida namna ya kuback up sms nilizokuwa na chat.
Kabla sijabadili simu nili backup kila kitu kwenye memory card.
Hello wadau, naomba kujua kama kuishi kwenye nyumba iliyochini au karibu na mnara wa simu kuna madhara mtu anaweza kupata? Na kama kuna madhara kwa nini serikali inaruhusu mitandao ya simu...
Wakuu mwenye hii programu Ms Project yakuanzia 2007 na kuendelea naomba anisaidie,nimehangaika sana kuidownload lakini nimeshindwa,mbali na Softonic ua CNet labda ni website gani naweza kuipata...
Habari zenu wanajf
Naomba msaada kwa mafundi wa tv hususani Lg tv yenye sifa hizi
1. Model no 32LC2D-AA
2. Product code 32LC2D-AA.AAULLBD
3. Power AC 100-240V~50/60Hz 1.5A
4. Serial no...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.