Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Naomba msaada wenu njia za kufuataa ilo kujua simu feki na original.
0 Reactions
3 Replies
15K Views
Ninatumia whatsapp version 2.16.13, najaribu kutuma picha katika group but napata mesege kuwa some member wanatumia version nyingine kwa hiyo picha haiwezi kwenda.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau msaada ghafla Tv yangu sasa inaonyesha black and white badala ya kuwa ya rangi kama kawaida yake nimejaribu kwenda kwenye tv mode ili niweze kujaribu kubadili lakini haiendi inaenda tu...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Hello Wakuu, simu ya Samsung Galaxy Note 2, imeanza tatizo la kuji-reboot kila wakati, inasihia kwanye logo tu, nahitaji msaada wenu tafadhali.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani kuna kitu nilikua nakiwaza sana baada ya mm kulipia kitu kupitia paypal. Na mm ninafanya biashara hapa kwetu tanzania na wateja wangu wengi wako mikoani nataka niwe napokea malipo kupitia...
0 Reactions
3 Replies
956 Views
Wadau, Kwa mlioko TZ nisaidieni juu ya hili. Je umewahi kutumia hiyo Nduki Gold ya TTCL? Je speed yake ikoje? Kuna sehemu nyingi TZ kwa mfano Kyela, internet kwa kutumia hizi modems za mobile...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Nilikua online kusoma huku na kule kujua kama naweza kupata software ya kubadili maandishi yawe sauti, hatimaye nimefanikiwa. Kuna namna tatu kuu unaweza kubadili maandishi kuwa sauti. 1. Online...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
At our F8 conference this morning I laid out Facebook's 10 year roadmap and everything we're building to make the world more open and connected. We announced new technology like Messenger bots...
2 Reactions
0 Replies
839 Views
Toka jana nimekuwa nikiingiza voucher ya University inakataa sijajua kuna tatizo gani , maana nlidhan tatizo ni sehemu nliyopo kwa kuwa ni mtaani labda kuna mabadiliko. lakini leo nipo chuo tena...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Ndugu wana jf , naomba mnisaidie Mwenye kujua niliwahi kuuliza humu application nzuri ya kudownlod video hadi za kwenye YouTube nikaambiwa ni vidmate na videoder Sasa nikifungua kwenye play store...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Samahani wakuu kuna bidhaa nimenunua ebay na nimeilipia. Jana ebay wamenitumia email. Kuwa bidhaa iko shipped to ....wakaweka namba yangu ya simu. Ila sijajua jinsi ya kuitrack na wala sijapata...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Wadau kama kuna mwenye kujua software ninayoweza kutumia kubadili sauti kwenda kwenye maandishi
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Inanini cha zaid??
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Habarini natumia HTC M9 sasa inatumia Android version 5.1 nahisi ndo inaitwa Lollipop sasa nataka ku update kwenda marshMallow ambayo 6.0,Je offical update imetoka? Na ninaomba maelezo Namna ya Ku...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naombeni msaada kuhusu bluestack kila nikiistall kwenye pc inadai 2gb ya physical memory.kwa mwenye ujuzi msaada unahitajika.
0 Reactions
5 Replies
883 Views
Wadau habari za muda huu? Nina galaxy note 3 ina tatizo la sensor yake, nijuavyo mimi ni kwamba ukiwa unapiga simu ukiweka sikion mwanga wa simu huwa unazima kutokana na kuiziba ile sensor ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
imeandika Anti inadvertently mode, alafu ikafwatiwa na Do not cover the top of the screen wakati haijawa covered, naomba kama kuna mwelewa na hizi antivirus anisaidie, natanguliza shukrani.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna maelezo yamejiandika, Anti inadvertently mode. Kwenye top, alafu yakafwata tena maneno; Do not cover the top of the screen, wakati screen haijawa covered, msaada kwa wajuzi wa viruses wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom