Habari wakuu kwa kipindi cha wiki 2 zilizo pita nilitangaza kununua Idea ya mtu Kuhusiana na Technology (website) kuwa nanunua wazo kuhusiana na Website kwa mfano, mtu aliye tengeneza facebook...
Habari wadau wa jukwaa la teknolojia.
Naomba kufahamishwa namna ya kushare internet iliyo katika laptop
kwenda katika simu kwa njia ya Wi-Fi. Utaalamu wangu unaishia kutoa Net katika simu kupeleka...
Je! ninawezaje kutoa pattern kwenye cm ambayo uki press volume & power button hailet option zile za ku restore? au cm za namna hiyo pattern haziwez kutoka mpaka computer?
Nahitaji msaada kufahamu online community hapa Tanzania ambayo inakutanisha Game Designer, programmers, Video animator, modeling Artist, and other of the same consideration.
Heshima kwenu.
Kama mada husika inavyosema wakuu, naomba kujuzwa App au Software ambayo naweza ku-convert videos kwa urahisi na kwa haraka kiasi toka kwenye format tajwa hapo juu (mp4 na mkv)...
Kuna baadhi ya music files za ku-download mfano wimbo Wa Mr II Sugu Motochini nimeu-download. Umeandikwa "Sugu - Motochini" lakini nikiucheza kwenye simu player inaandika "superdee" kama ndio...
habarini za saa hizi wadau, nina project yangu nimetumia php 5.5.15 na ikiwa kwenye localhost inafanya kazi vizuri, nimeiupload kwnye free hosting service kutoka hostinger, wao wanatumia php...
nimekuwa nikijiuliza hili swali toka zamani kwamba kipi ni kizuri zaidi......being a web developer as a carrier or develeoping your own web and earn from it .help me to elaborate
heshima kwenu, naomba kujuzwa nawezaje ku fetch data kutoka sqlite database na kudisplay information by issueing python command? Nimetengeneza data base separate kwa kutumia sqlite sasa nimejaribu...
Ni technology inayotumia mwanga kusoma vitu mbali mbali ni kirefu cha light amplification stimulated by emmision of radiation, Laser ni mwanga wa rangi ya aina moja,Mwanga huu hausambai kama...
habari zenu wanajamii,
tatizo langu ni siwezi kucheza ps4 online kwa sababu nat type yangu ni 3 na sio 2 au 1.
natumia router ya tigo 4g.
nilijaribu na airtel na smart napata nat type 2...
Katika utafiti wangu ambao si mkubwa sana nimegundua kuwa back-end nyingi za website zinafanya kwa PHP hapa Nchini kwetu, ningependa kujua website zingine hapa nchini ambazo zimefanywa kwa other...
Kwa wapenzi wa Games .
Naomba kufahamishwa ni kwa namna gani naweza para hilo Game .
Nimejaribu angalia youtube kuoata maelezo sijaelewa kabisa.
Please kwa anaejua .
Pia NBA 15 or 16 even 14.
Habari wana jf nahitaji msaada wenu PC ang aina ya Toshiba ililikua inatumia user AC mbili aana moja kama admiatrator Na nyingine kama guest user
Tatizo liko apa admistrator user password zake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.