Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
nimejitaidi wadau ila napata warning ila nia yangu ni idisplay jumla ya laptop zilizopo kwenye database yangu au mtu akitaka kununua saa aangalie jumla ya bidds za saa msaada nimejaribu count...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii cm nikiopen kamera inafungua ya mbele tuu so picha ni kujiselfie tuu. Msaada wenu, mi nimeirestore lakini bilabila je niiflash kabisa kwa pc au kuna njia nyingine?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba msaada nataka kutengeneza system ya matokeo kwa kutumia html, css, php na mysql ambayo itakuwa na vitu vifuatavyo. 1.mwanafunzi aweze kujisajili online 2. mwanafunzi aweze kuona matokeo...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Salaam kwa wote. Naomba kujua kama kuna kifaa unachoweza kuweka kwenye screen ya smartphone ili kupunguza ukali wa mwanga unavyoakisi.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna mpenzi Wangu amekuwa mwongo mwongo huwahataki kuniambia kaenda wapi!!au ananidanganya alipo EB nisaidien kama kuna program ya Kutrace location ya MTU aliye na sm alipo Nimeptapta play store...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Mtaa wa tatu kuna bar. Wanaweka habari ya saa mbili kwa sauti. Na hapa tumeweka. Nikikaa nje nasikia TV ya kwenye bar inawahi kuliko ya hapa nilipo, Wakati habari ni live. Kwanini? Au...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari za saiz wanajamvi? Leo nimekuja hapa nahitaji msaada wenu. Nimejaribu kuroot simu yangu kutumia kingroot, lakini ikifika 70% Ina fail kama inavyoonyesha kwenye picha hapo chini. Tafadhari...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu habari ya tarehe ya 7/4/16. Kama kichwa cha somo kinavyosema hapo juu natafuta ushauri mzuri wa kompyuta ambayo itakuwa very powerful katika kufanya HD video editing na graphics....I prefer...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
database hairetrieve data za mtu anayetaka kuona vitu alivyonunua kutoka table ya manunuzi lakini nikiedit hapo "where username='john'" inaretrieve data zote za john napata but now napata...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
1. Google: Larry Page & Sergey Brin 2. Facebook: Mark Zuckerberg 3. Yahoo: David Filo & Jerry Yang 4. Twitter: Jack Dorsey & Dick Costolo 5. Internet: Tim Berners Lee 6. Linkdin: Reid Hoffman...
0 Reactions
0 Replies
838 Views
Naomba nifahamu jinsi ya kubadili android version yangu 4.4.2 kitkat to Lollipop 5.0+ simu yangu ni HTC ONE M7.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani wale wenye uwezo wa kugundua tatizo hili linasabishwa na nini mnipe maujanja kuna pc hapa kila uki chagua programu na ku click inasema this program not responding nimetest kuiscan no virus...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nikidownload app inadai imejaa wakat space ipo wakuu msaada nifanyeje?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu msaada nataka kudownload clips lakini nashindwa kudownload
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Naombeni mwenye kujua key za hii application anisaidie maana najaribu kuinstall ila inadai key na baadae ukiweka key inadai authentication code Msaada tafadhali.[emoji120]
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana jukwaa msaada kidogo hapa kila nikitaka kupakuwa app kutoka play store napata ujumbe huu. Niliyo yafanya kabla sijaja hapa kuomba msaada nime -clear cache -Clear data Lakini bado tatizo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natumia galaxy J 1 ace nataka kuroot mwenyekujuaa anisaidieeeee
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Smart phones are fast becoming an opium for the general population in Dar es salaam, infact it is a criterion upon which individuals are judged; to be plain, the more expensive your smart phone...
3 Reactions
126 Replies
29K Views
Kama kilivyo kichwa cha habari lengo ni kutaka kufahamu juu ya maswali hayo mawili Nawasilisha. """"""""""""""""""""""""""
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani ninahitaji kuangalia videos na picha zilizopakuliwa na bluestak huku bluesatk ikiwa off nifanyaje please!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom