Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habarini wana jamvi.. kumekuwepo kwa habari na visa vingi vya kusisimua juu ya namna gani vitu mbalimbali vya kisayansi viliundwa na mpaka vikaanza kufanya kazi.. kwa mfano simu, umeme, ndege...
3 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari! Katika harakati za installation ya ArchiCad 17 software nimekutana na tatizo la software kudai kukosekana kwa GSRoot.dll sasa nimetafta suluhu sijafamikiwa licha ya kugoogle na kuweka...
0 Reactions
0 Replies
961 Views
naombeni mnisaidie jinsi ya unlock moderm ya Huawei EC122
0 Reactions
12 Replies
3K Views
With the launch of BlackPanther seemed to overcome all the difficulties of flashing and unlocking huawei modems. ::. Valuable product that can always be a sense of place in a workshop. ...
4 Reactions
44 Replies
5K Views
Habari za kazi wakuu, natafuta mtu wa kudesign website coz nmefanya design kwenye wix but nmeshindwa kuhost kwa hapa bongo... yaani Anayeweza kufanya hiyo kazi anicheki 0714 044 048
0 Reactions
1 Replies
807 Views
Guyz nime install Backtrack kwenye pc yangu nataka kujifunza namna ya kuitumia kama kuna mtu anafahamu link ambayo inaweza kunipa muongozo mzuri ili niweze kujifunza naomba ani2mie
0 Reactions
1 Replies
919 Views
Habarini....Naombeni msaada najua kupitia hili langu nawengine watajifunza,pia najua halipo lisilo wezekana! Nilikuwa nataka kudelete baadhi ya files katika simu yangu inayo tumia android system...
1 Reactions
58 Replies
6K Views
Naomba msaada, Nimejaribu bila mafanikio, Ila naweza kutoa vitu kwenye compyuta kwenda simu, but viceveser imeshindikana, Simu yangu Sony Xperia Z ultra 9629
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Nisaidieni namna gani kuitumia USB flash kuongeza ukubwa wa RAM kwenye kompyuta plz!
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Jamani wapi huku moshi naweza kupata ps4?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani, nombeni msaada wa housing ya PC aina ya DELL, LATITUDE E 6410, kama inapatikana tuwasiliane kwa nambari 0759947397
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Niko na lg g2 ina tatizo ambalo hutokea mara mojamoja yan hujibonyeza wenyewe frequently na hili tatizo likitokea hukaa kwa masaa kadhaa then huacha likiacha simu hua fresh mpaka litakapokuja...
0 Reactions
0 Replies
617 Views
Hellow guys, habari zenu wana JF, Jamani nimekuwa interested sana kujifunza masuala ya video editing na masuala mengine yanahusiana na designing, So naomba kufahamu kama kuna short course yeyote...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Nahitaji kuflash simu aina ya huawei y330-u11. Nifanyeje?????
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nombeni mnisaidie nikiwasha haiwaki hadi mwisho inaishia kuandika (www.apple.com/support/ipod) Imeanza ghafla tu
0 Reactions
1 Replies
723 Views
Habari wadau! Nina flat screen yangu sijaitumia kwa muda wa miezi sita hivi nilikuwa nimesafari. Sasa jana nimerudi getto kuwasha hivi naona ukungu kwa ndani na picha wala haionekani vizuri...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Naomba msaada wa ku unlock vodafone modem model k3570-z
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Naomba kujua modem za tigo 4G zinapatikana kwa bei gani??
0 Reactions
1 Replies
991 Views
Wanajanvi Naombeni kuwauliza n program ipo nzuri kwa kutengeneza Animation/ cartoon, naombeni ushauri ahsanten
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Haifungui picha whatsapp wala kudownload video naomba msaada nifanyeje ili ipige kazi?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom