Naombeni msaada tafadhali namna ya kusearch na kuinstall frequency za radio kwenye television ili niweze kusikiliza radio kwa kutumia satelite dish
kupitia TV.
Natumia dekoda ya star times...
Hellow wakuu!
Nimekwama mahala kidogo kuna kitu najaribu kujifunza katika serialPort programming na GSM hacking!
I can arleady communicate na Modem vizuri tu na naweza ku send some AT Commands...
Habari zenu waungwana!
Kichwa cha habari hapo juu chahusika sana.
Ninatumia TECNO L6, MediaTeck (MT6582), Android 4.4.2.
Nahitaji kubadilisha ROM kutoka Stock kwenda Custom ROM zenye higher...
Habar zenu waungwana?
Kama kichwa hapo juu shida yangu ni juu ya camera ya laptop yangu nnapotaka kuitumia inanletea ujumbe huu (screenshot attachment)
Nini tatizo na ufumbuzi wake?
Wadau nauza Router (Mi-Fi/Wi-Fi) sharing yake ni Up to 10 people pia ni 3G bei ni 80,000 Ni Universal (Line yoyote Unaweka)
Wasiliana nami Kupitia 0719358764.
Habari zenu wakuu?
Kadiri siku zinavyokwenda na teknolojia nayo inakuwa kwa kasi kubwa sana so nimeona nitumie uwanja huu kupata na kujuzwa kwa kina kidogo kwa hili linalonitatiza
nalo kabla...
Microsoft is reaching out to Linux developers in a way that the company never has before. "The Bash shell is coming to Windows. Yes, the real Bash is coming to Windows," said Microsoft's Kevin...
Samsung note 2 nikipiga simu (voice call)simsikii mtu wala yeye anisikii ila nikipiga video call tunasikilizana vizuri kabisa!! What is the problem hapo???
Kuna simu mpya naziona madukani ni za tecno c 8. Vipi ubora wake? Nilichovutiwa zaidi ni uwezo wa camera 13 Mega pixel. Na bei nimezunguka naambiwa hata 280,000 napata. Naomba wanayoijua vizuri...
Heshima yenu wakuu.
Laptop yangu ina shida ya connection ya internet (Cable connection). Nimeuliza nikaambiwa haina drivers na nikaelezwa namna ya kuzidownload. Lakini nimejaribu zaidi ya mwezi...
Nina simu yangu huawei y 540 ambapo mesagge zimekuwa zikijirudia rudia yaan mfano nimezima simu nikiiwasha messge hata nilizotumiwa cku za nyuma zinarudi hata kama nimeshazifuta je nn...
Wanajf nina swali ndugu zangu, mnisaidie, swali nililonalo hapa ni je kuna aina gani ya metal, au jiwe la aina yoyote ambalo huweza kufanya maajabu ya waziwazi kama mfano wa Sumaku na maajabu yake...
Wadau nimejaribu ku execute "AT commands" chache kama vile AT (on HyperText Terminal) kwenye GSM modem (Huawei) za hapa home tz naona zinagoma kabisa. Nikitumia modem za nchi nyingine zinapiga...
Kutokana na tatizo la kutoa mistari na rangirangi zinazofifisha muonekano wa display. Kwa anayejua duka au Karakana nitakayoweza kupata display husika tajwa hapo juu. Naomba anisaidie maana maduka...
Nmekuwa member since 2012 ,nlikiwa mdau mkubwa wa hili jukwaa la tech pamoja na wakuu wengine, jukwaa kwa sasa naona linazidi kukosa post hata wachangiaji.
kadri muda unavyozidi kusonga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.