wakuu, heri ya pasaka.
nilinunua simu aina ya Iphone 4s ila siku delete icloud account iliyokuwepo, nimerestore simu sasa inahitaji apple ID na password. Tatizo simu ni second hand na aliyeniuzia...
habari za pasaka wanajamii forum
nilikuwa naombeni msaada wenu kwa wale wanaofahamu program yoyote ya computer ili niweze kubadilisha picha zang kutoka INVALIDI IMAGE KUWA PICHA ZA KAWAIDA maana...
Last month nimepoteza simu-Sumsung, sasa niliifnyia tracking system. Leo kitu kimejibu nimetumiwa namba ya simu anayotumia na IMEI namba yake.(Nilivyosearch nikaona na jina lake anaitwa SALEHE...
Wakuu habarini
Wiki iliyopita watssap yangu iliexpry
Nimejaribu kudownload kupitia playstore lakini imeishia njiani
Nikadawnload kupitia browser nyingine opera mini nikadownload watssap kupitia...
<iframe width="560" height="315" src="" frameborder="0" allowfullscreen></iframe>
Inaitwa iphone se. Wenyewe wanasema big change for small. nimeipenda sana hii kwani sim ni ndogo usawa wa iphone...
It doesnt really matter what you use to do it typing is just about the same on all devices. Oh, sure, its bigger on some devices and smaller on others, but the letters and the keys are pretty...
Google will display a full-page warning if state-backed attackers attempt to access a user’s Gmail account or computer, the company announced. The move comes after Google backed Apple in fighting...
Habari za siku wakuu, leo hii nilikuwa katika pita pita zangu kwenye mtandao nikakutana na hii
Sasa watumiaji wa huu mtandao naomba maelezo kidogo.
Je;
Kweli ni unlimited au ni unlimited zetu...
Wana JF ambao wametumia simu za android katika matumizi ambayo sio ya kupiga, kutuma sms na kuchati Whatsapp na FB tu, aliye tumia simu katika kazi mbalimbali kama kucheza game aina yoyote...
habari za mapumziko ya wiki wanajukwaa. Nina betri ya solar ya volt 12,kwa kuwa pia laptop zinatumia mfumo wa dc ,nawezaje kutumia bila ya inverter?msaada tafadhali
Jamni naombeni msaada ya namna yakuroot simu yangu maana nimejaribu njia nying zimegoma.
Simu inanisumbua coz ina internal space ndogo sana. Its android version 2.3.6 Gingerbread.
Nilishajaribu...
IDENTIFICATION OF WORKS I DO.
NAME: ANZURUNI SHEMU.
PROFESSIONAL: ELECTRICAL ENGINEERING.
INSTRUMENT: 1 PERSONAL COMPUTER(LAPTOP).
PHONE NO: +255753970366 or +255 789254607.
EMAIL...
Habari wana jamvi.. Simu yangu ni Samsung galaxy note2 . nataka kuitumia kama modem katika computer cha ajabu inaniletea "mobile data is not available or invalid SIM" hiyo invalid somu inakuja...
Jamani mimi ni .wanafunzi wa mwaka wa kwanza Bsc.informatics sokoine univeristy natamani niwe software programmer au software engneer naombeni mnisaidie kujua msingi wa hii programme ikiwezekana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.