Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Sabakheri Wanasayans; Ningependa Kufahamisha Ule Uchunguz Walioufanya Kwa Kuutoa Ubongo Wa Albert Einstein!! Ulikuwa Na Faida Au Ulileta Maendeleo Gan Katika Sayansi Na Teknolojia!??
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Siku hizi wizi wa vifaa vya kuhifadhia kumbumbu muhimu huwa vinaibiwa sana haswa komputa , komputa nyingi tumeshuhudiwa zikiibiwa na wengine wakitangaza katika mtandao kuhusu hizo computer zao au...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Is your computer one of those computers that boots forever???!!like,you can even make a sandwich and still that welcome sign yet to come or still non responsive??anyways..,if your boot up takes...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kujulishwa settings za internet za Halotel. Natanguliza shukrani.
2 Reactions
11 Replies
29K Views
HABARI JF. NAOMBENI MNIELEKEZE JINSI YA KUTUMA DOCUMENTS/TAARIFA KWA NJIA YA E-MAIL WANAFANYAJE? NAWASILISHA
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nahitaji kudownload adobe cs5,adobe photoshop cs5, ila sijui link itakayonipeleka moja kwa moja,pia ambayo ni free kama kuna mtu anafahamu undani wa hili au website ya kudownload software free ila...
0 Reactions
2 Replies
931 Views
Humanity has been lost already, now we replace our own data in place of our lost brotherhood and sisters. Early before San bernadino attack a lot of mistrusted reports from different forums...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Katika Pita pita zangu nimegundua nina mitandao ya kijamii ambayo inahitaji Finishing Up ambayo ipo tu kwenye external HD yangu. kama kuna Developer ambae anapenda kuanzisha Mtandao wa kijamii...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu,naomba kama kuna mtu mwenye uzoefu na camera hasa kwa upande wa video....graphics,quality.Ipi ni bora na bei ikoje na wapi naweza pata
0 Reactions
0 Replies
561 Views
Jamani hivi kwa wale waliofuatilia uzimwaji wa simu kwa kurejea mfano wa nchi jirani ya Kenya je tecno zimesalimika???????
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nina simu aina ya Huawei G 730, nikitaka kuinstall program yoyote inaniandikia the Space is not enough, delete some programs. Nifanyeje wakati nina Memory card ya GB 8!
0 Reactions
8 Replies
896 Views
Nimekua nikifuatilia hili swala Kwa mda mrefu juu ya hili sa kata la simu iliopatikana katika eneo la tukio huko San Bernadine marekani na jinsi FBI wanavo haha kufungua simu ambayo ilikutwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Unamiliki simu aina hii? Au uliwahi kuimiliki au mtu unayemfahamu anaimiliki? Katika kuivinjari maeneo mbalimbali ulishawahi pita setting category ya easy of access, ukaturn on narrator? Nini...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Mbona kila nikiingiza Activation code katika SMARTTZ APP naambiwa nimekosea?....nini tatizo?....naombeni ushauri mnaoelewa mfumo huu.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari yenu wakuu nimejikongoja na kupata Lumia 535 used kwa muonekano wangu iko poa. Sasa kuna baadhi ya mambo yananishinda mfano kudownload wasap kila nikijaribu inafeli na inakomandi nitumie...
0 Reactions
7 Replies
790 Views
Kawaida app zinakuwa exit au quit button ya kuifunga app baada ya kutumia. Sababu ipi msingi inapelekea chrome browser kutokuwa na quit button?
0 Reactions
2 Replies
727 Views
Kuna alama flani hivi zipo sehemu mbalimbali, ila mfano mzuri ni katika vitambulisho vya kura. Ni ile alama nyeusi ina viboksi na mikunjo mingimingi, nasikia kuna simu zi a uwezo wa kusoma alama...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu wa jukwaa poleni na majukumu..Nataka ninunue tablet kwa ajili ya matumizi yangu binafsi,nimegoogle current best tablet in market nikakutana na hii hapa Galaxy tab s 10.5 naomba maoni yenu...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
STEP UP PLAYER FROM CLOUDS TV wakishirikiana na HOUSE OF GAMERS COMPANY LIMITED wanaletea kwenu STEP UP PLAYER FIFA 16 PLAYSTATION MASTER - washiriki 1000 - makundi 10 - mashindano yatafanyika...
0 Reactions
31 Replies
7K Views
Back
Top Bottom