Kuna baadhi yetu tunapenda kujaribu operating system tofauti kwenye android zetu, si kila mtu mwenye uwezo wa kumiliki iphone, au kupata kila model ya simu, mfano mtu ana android version...
Yani toleo jipya la iphone lilozinduliwa usiku wa Afrika Mashariki tarehe 12 mwezi wa 9 sijaona la maana zaidi ya kueleza ubora wa kamera tu.
Simu nyingi zinapoteza soko zikidili na kamera tu
Solar panel ya 100watts yenye cells 36 huwa inakuwa na voltage ya 18volts(Vmp) na current ya 5.55Amps (Imp).ila formula ya power ni sawa na kuchukua Vmp × Imp ambapo 18v × 5.55=100watts.
Kwahiyo...
Nilinunua flash drive Ali express ya 64 GB iliandkwa usb 2.0
Alafu Nika nunua tena
flash drive ya Lenovo 256 GB hii iliandkwa usb 3.0
Pia nilinunua OTG ambayo ilikua na sehemu ya
(adapter...
Ukiachana na hizi social network za kimataifa za FB, IG na Twitter hakuna social network local,
Ukiachana na jamii forum ambayo ni forum, hakuna nyingine yenye hata kujikongoja,
Licha ya...
Ni vijana wa chuoni waliofunga vyuo na kwa sasa tupo nao,
Wapo wanaosoma computer engineering, computer science, IT, ICT , n.k
Ni vijana ambao mdomoni wapo vema sana kwa kujaa misamiati ila kwa...
Habari za leo wakuu.
Nimejaribu kutafuta hiyo television kwenye maduka mbalimbali kwa Dar es Salaam na sijafanikiwa.
Nyingi ambazo nimeziona ni LG QNED80, ila ninahitaji model ya namba 85...
Wanasema Dunia na maajabu yake hivi unajua Kuna watu wanauza maeneo mwezini. Baada ya mafanikio ya chombo Cha chandryaan 3 kufika mwezini Sasa zamu ya mwanadamu.
[emoji189] Kuna ripoti inasamba...
Wakuu kwema?
Tatizo la subwoofer kuvibrate na kutikisa nyuma linasoviwaje?
Unaweza kuta unasikiliza vizuri tu, baada ya muda inatokea bass Fulani,ambayo inatikisa nyumba
Hivi karibuni, kampuni kubwa ya mawasiliano na teknolojia ya China, Huawei, ilifanya mauzo ya awali ya simu yake mpya ya kisasa (smartphone) aina ya Huawei Mate 60 Pro, hatua iliyozusha mjadala...
Jana Apple wamezindua next generation ya iPhone na Apple Watches. Moja ya vitu nilivyopenda zaidi ni kuona wamefikia kwenye kutengeneza Carbon Neutral devices. Na kutumia material imara zaidi...
Wadau kati ya hizi simu ipi bora zaidi, nataka kununua moja.
Tecno R7 LTE vs Itel T20 LTE zote zinauzwa TIGO shop.
NB: Napenda ambayo haitokuwa inanibana napotaka apps mbalimbali ziwe zinakubali...
Yaani siku hizi ukienda madukani simu nyingi sana za kisasa (smartphones) huwa ni kubwa kwa umbo, yani urefu tu ni kama mkebe na hii ni kero kwangu, binafsi napendelea zaidi simu ambazo zinakaa...
Wadau,naombeni msaada kujuzwa namna ya ku-add mziki uupendao instagram pindi unapotaka kupost insta feed au story.miziki niitakayo mfano ya kibongo kwenye search box yao haipo,natanguliza shukran
Wakuu poleni na majukumu ya wiki nzima. Nijikite kwenye mada mojakwamoja bila kuchelewa. nimepata changamoto kwenye hii computer ya utoaji wa sauti.
Nilimpa fundi anifanyie installation ya...
WASOMI WA MAMBO YA UMEME NAOMBENI MNISAIDIE:
Ninataka kuweka umeme wa solar nyumbani kijijini, fundi wangu amenishauri kuwa niweke Solar pannel mbili za watt 100 kila moja jumla ziwe watt 200 na...
Habari wana JF, Nawezaje kuiset simu pixel 3xl iweze kutumia laini mbili zote ziwe active at the same time msaada tafadhali. Tayari nimeshajisajili na airtel e_sim ila shida ndio hio.
Umoja wa nchi za ulaya umekuja na sheria mpya kwa makampuni makubwa ya Teknolojia ulimwenguni.
kuwapa uwezo watumiaji mbalimbali wa mitandao kama vile signal, telegram, Whatsapp nk kuweza...
Sasa kuna hii inaitwa PI AI, yenyewe ni tofauti na bots nyingine kwa sababu imetengenezwa kukustudy na kujua tabia zako ili iendane na wewe.
Mfano ukiandika lugha ya mitaani itakujibu kwa lugha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.