Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wataalamu wa computer naombeni ushauri kuhusu Hilo suala Nmefungiwa ghafla na WhatsApp
0 Reactions
12 Replies
720 Views
Kwa muda Sasa I've been trying ku log in lakini kila nikiweka namba ya simu inaload tu nlikuwa nadownload then nagive up nafuta ila leo nikawasha VPN...boom....Nape na TCRA wanahusika
1 Reactions
1 Replies
368 Views
Husika na mada tajwa hapo juu nataka mwenye swali lolote kuhusu wi-fi niulize tu nikupe majibu chap kwa ambao hamjui chochote
1 Reactions
58 Replies
43K Views
Haya macoder Fursa hiyo changamkieni
1 Reactions
1 Replies
307 Views
Huduma ya mtandao ya Starlink imeanza kupatikana nchini kenya kwa taarifa iliyotolewa na Bilionea Elon Musk. Tanzania Nape alisema Musk hajatimiza vigezo.
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Hapa nafanyaje wana IT inanisumbua sana
1 Reactions
4 Replies
414 Views
Ni kawaida yangu kufanya doria kwenye mifumo ya ndani na nje nikijifua kwenye suala zima la penetration, Mwezi huu nimekua nikideal na mufumo ya vyuo hasa upande wa matokeo na sekta nyingine ...
0 Reactions
2 Replies
329 Views
Mengi na wengi wameshazungumza sana na kuandika sana kuhusu umuhimu wa huduma ya Paypal kwa nchi yetu. Ajabu, kila kampuni mpya ya Fintech inakuja almost inafanya kama yule mwenzake hakuna...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa wateja wa hii huduma he mnakumbana na tatizo la transactions kulipia huduma za mtandao . Mimi kwangu Ina goma kila wakati haiwezi lipo tatizo sijui ni nini? na Voda wamekaa kimya Nilifuta...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Nina laptop yangu ni core i5 - 7th gen, Ram ni 8 gb - ddr4, storage ni 1 TB - Hdd. laptop yangu ina vyumba viwili vya ram, chumba kimoja kwa sasa hakifanyi kazi kwahio natumia ram moja tu yenye...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
KITUNZA UMEME (POWER BANK) Wanajamvi habari? Wakati tunasubiri kuhudhuria mafunzo yetu ya electronics mwezi huu,karibuni katika ubunifu huu mwingine bila shaka waweza kuwa na tija kwa...
5 Reactions
43 Replies
11K Views
Moja ya sababu iliyo nifanya kutojifunza flutter ni matumizi ya Dart. Mostly tukiwa tunafanya project mpya tunafanya programming languages evaluation hii process inatupa muongozo wa kuchagua...
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Apple imetoa simu ya iPhone 14 ambayo sio Pro (iPhone 14 ya kawaida). Mwaka huu iPhone ya kawaida itakuwa na iPhone 14 Plus ambayo ina ukubwa sawa na iPhone 14 Pro Max. iPhone 14 inafanana na...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Arduino uno zipo mbili zimebaki bei sawa na bure, njoo inbox kwa wateja serious. 28,000. Free delivery au unaweza kufata mwenyewe.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Jana nikiwa kwenye mwendokasi nikitokea morocco,nikapokea simu ya client mmoja anamiliki duka la simu na computer hapo posta. Anazo pesa kwelikweli. Simu ilikuwa ya wito wa kazi ya kudesign na...
29 Reactions
78 Replies
4K Views
The South Korean government announced on Wednesday that it plans to invest over 1.2 trillion won ($900 million) in artificial intelligence development in 2024. The investment is part of the...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
''GB WhatsApp'' ni toleo la WhatsApp lililoboreshwa kutoka WhatsApp halisia na kuongezewa vitu vya ziada kama vile Kuficha kitiki pale ujumbe unapofika, kuona ujumbe uliofutwa, kuona status...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Elfu 5, Yes! wala sijakosea ni 5,000. Nimeenda sehemu namkuta graduate wa computer science anapiga window kwa elf 5, like seriously guys? Mtu kasoma chuo kwa mamilioni halafu atoe huduma kwa...
1 Reactions
23 Replies
984 Views
Kwa mujibu wa Apple imetangaza kuwa mfumo wa uendeshaji wa iOS 17 utapatikana kwenye simu za iPhone XS na kuendelea kumaanisha kwamba usaidizi umeondolewa kwa iPhone 8, iPhone 8 Plus, na iPhone X...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nilikuwa Naomba mnifundishe jinsi ya kutengeneza hat file
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom