Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Samahani, mi nataka kujua mzigo ukitumwa kwa DHL ni lazima utatozwa gharama za ushuru hata kama ni laptop na ilikuwa labeled as a gift? Maana niliwahi sikia vitu vya kujifunzia kama laptop huwa...
0 Reactions
30 Replies
17K Views
Kwa wanamaomalizia masomo ya uhandisi kada za Electrical, Electronics , Telecom & computer kama kawaida mwaka wa mwisho mna rungu la project ili kukamilisha masomo yenu ya uhandisi, baadhi...
3 Reactions
28 Replies
10K Views
Part I inapatikana HAPA JINSI YA KUPATA VOLTAGE INAYO BADILIKA Huku pia tunatumia voltage divider;Tofauti na ile ya mwanzo ni kwamba Voltage divider ya huku haitumii fixed resistors,Hivyo...
2 Reactions
2 Replies
5K Views
Wakuu naomba kuwakumbusha kwamba Android 13 ilishatoka toka mwaka Jana August na kwa Samsung imeanza kutoka October 22. Simu yangu ilipata updates October 22, hivyo natumia Android 13 toka...
13 Reactions
93 Replies
6K Views
Kampuni ya utengenezaji simu aina ya Iphone ya Apple yakubali yaishe, inatarajia kutangaza simu mpya wiki ijayo zenye charger za type C. Apple imekubali kufuata masharti ya umoja wa ulaya ambayo...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuna yeyote anaweza kunisaidia kupata software yoyote ya kurecover deleted data kutoka kwenye computer?
0 Reactions
6 Replies
722 Views
Kila nik retweet na ku replay twits kwenye gage na followers wangu inakataa na kuandika can not retweet, mwenye kujua shida nini, naomba msaada
1 Reactions
3 Replies
474 Views
Naombeni tofauti kati ya hometeck tv na ailyons ipi ni imara na bora kwenye picha?
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Tcra na makampuni mbalimbali ya simu nchini Tanzania wameleta mfumo wa watu kufungiwa line zao ikiwa hawajazitumia kwa muda. Kumekua na tabia ya watu kusajili line mbalimbali Kisha kuziacha na...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
𝗦𝗶𝗺𝘂 𝘇𝗶𝘁𝗮𝗸𝗮𝘇𝗼 𝗳𝘂𝗻𝗴𝗶𝘄𝗮 𝗸𝘂𝘁𝘂𝗺𝗶𝗮 𝗪𝗵𝗮𝘁𝘀𝗮𝗽𝗽 𝗺𝘄𝗮𝗸𝗮 𝗵𝘂𝘂[emoji116] Whatsapp imetoa taarifa Kuna baadhi ya simu hazitaweza tena kupata au kutumia Whatsapp kuanzia octoba mwaka huu. Watumiaji kuanzia...
2 Reactions
2 Replies
851 Views
2 Reactions
2 Replies
286 Views
Habari wakuu, Simu yangu ni google pixel 5 kuanzia Jana mtu akinipigia inakata naomba msaada tafadhali maana nimeshaizima na kuiwasha pamoja na kuirestart bila mafanikio yoyote. Je hili tatizo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nataman kujifunza mambo ya animation.. Kma vile kutengeneza movie za kawaida za animation, au story-animation. Nmeinstall application ya Blender kwenye computer Naweza pata mtu wa kunishauri...
2 Reactions
2 Replies
489 Views
Msaada mwenye maujuzi ya kupata iyo software na keys zake
0 Reactions
4 Replies
637 Views
Nimeona sehemu mtu ameweka windows 10 lite toka torrent. Got me thinking of doing the same in my pc. Kuna mtu ameshawahi fanya hivyo? Kwa wataalamu kuna shida yeyote mtu akifanya hivyo...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari ya muda huu wadau, Naomba kuuliza jambo. Kuna muda fulani TCRA walikuja na mpango wa one network kama nitakuwa sahihi na kumbukumbu zangu ziko sahihi ya kwamba namba yako ya simu ya sasa...
1 Reactions
6 Replies
328 Views
Wakuu habari, nisiwapotezee muda, nimekuja kuomba msaada nikijua fika humu ndani kuna wajuvi wengi wa mambo. Kwanza kabisa nimekosa kiswahili sahihi cha kutumia kwenye heading hapo juu hivyo...
0 Reactions
4 Replies
638 Views
Wezi sio watu wazuri, wamekata dirisha (grill) na kuondoka na Tv yangu, Kabla sijanunua nyingine nataka kujiridhisha ni kwa njia gani naweza kuiprotect TV yangu? kwenye hizi smart TV kuna jinsi...
2 Reactions
28 Replies
5K Views
Naombeni msaada natumia hp notebook 15 generation ya 6 je na weza kujua kama laptop yangu ina sim card slot au haina?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wakuu kwa anaejua tushare ni software ipi ambayo inaweza ku unlock password katika simu za batan (itel, tecno)
1 Reactions
4 Replies
10K Views
Back
Top Bottom