Nataka nifungue blog ya confession ( kutubu)
Watu wawe wanasign annonimous kwa ajili ya kutubutu au kukiri jambo fulani ambalo alifanya siri!!…
Watu wengi miaka ya leo wanaugua pressure na...
Ule mpango wa binadamu wa kuweza kuishi nje ya sayari yake asili unaonekana uko mbioni kukamilika.
Kampuni binafsi ya Space X inayojihusisha na masuala ya anga(ambayo kwa sasa ina tender ya...
Simu ni LG G8 thinq
Ipo locked na mtandao wa China Unicom.
Ukiweka line za Bongo inashika tu 4G muda wote(Hivyo huwezi kupiga simu wala kupokea message). Except kwenye airtel ambapo ukiweka...
Juzi tu hapa tulishuhudia Apple wakirelease brand mpya tofauti ikiweko na simu iphone 15 series. Iphone 15 haijapata mapokeo makubwa kama miaka ya nyuma kwa matoleo mengine, wengi wameonekana...
Naomba kujua waliofanikiwa ku update whatsapp ikaja na feature mpya ya ku edit meseji uliyotuma ikiwa na makosa atusaidie tusipata hiyo kitu ikiwa inafanya kazi
Bainisha madhumuni na maudhui ya tovuti yako. Fikiria hadhira lengwa na muundo na mpangilio wa jumla ambao ungependa kufikia.
Chagua jina la kikoa: Chagua jina la kipekee na la kukumbukwa la...
Habari wakuu naombeni msaada katika hili, nina Smart tv aina ya Toshiba fire TV na huku nilipo kuna Cable zile za mtaani unalipia unaunganisha.
Changamoto ninayokutana nayo nikichomeka ile Coax...
Msaada wenu tafadhari. Hivi hao views, followers na subscribers wanakuwa ni real people au ni marobot?
Kawaida ya channel ya YouTube yenye subscribers zaidi ya 1000, videos zinazokuwa uploaded...
Wakuu nimepata changamoto katika Google pixel 6 yangu kama ifuatavyo; simu yangu baada ya kuifayia factory reset imeleta hio error.
Nimejaribu kuwa contact google kwenye email yao kama...
COMPERATORS (VILINGANISHI)
Comparator ni nini?
Kama jina lake linavyo jieleza comparators(vilinganishi) ni tendo la ulinganish linalofanywa na vifaa vya vya kielectronic...
Naomba kufahamu kama naweza kusoma maneno yaliyozibwa na sticker au rangi mfano bluu nyeusi nk katika picha za whastapp au zozote zile.. Mfano picho hiyo hapo chini nataka nione kulichozibwa
Umeshawahi kutumia Ikawa slow mpaka unakereka aisee unatamani kuitupa au kununua nyingine relax Leo nakupa sababu zinazofanya kompyuta kuwa nzito [emoji108]
Kompyuta kuwa nzito usababishwq na...
COMMISSION TO EXPOSE EVIL
So do not be afraid of them, for there is nothing concealed that will not be disclosed or hidden that will not be made known. What I tell you in the dark, speak in the...
Nina tatizo na external yangu ya Toshiba 1 Tb.
Ukiconnect kwenye laptop unasoma ila ukitaka ku transfer files zinagoma kuingia.
Nimejaribu kuitoa ktk case yake wapi, pia nmechange ule wire pia...
Wakuu nimepata changamoto katika Google Pixel 6 yangu kama ifuatavyo; simu yangu baada ya kuifayia factory reset imeleta hiyo error.
Nimejaribu kuwa contact google kwenye email yao kama...
Umeshawahi kujiuliza unafanyaje kutengeneza Cable za Ethernet Leo nakujuza kwa kuwa Teknolojia ni Yetu sote.
Najua unaweza kwenda kununua Cable ya Ethernet ambayo imeshatengezwa complete...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.