Habari za saa hii wakuu.
Nimepata changamoto kwenye swala la speed ya internet, natumia simu (4G) speed ni ndogo sana.
Minara inaishia bars 3 kama inavyoonekana kwenye picha. Nipo maeneo ya...
Naomba msaada ni vpn ipi ambayo ni compatible na IOS 9.3.6? maana kila.vpn nayojaribu kudownload inaniambia version yangu ya ipad haiko-compartible na niki-upgrade inasema iko up to date...
Wakuu ni hivi baada yakuona miaka flani niliwahi soma engineering drawing Nikaona si vibaya nikanunua application ya CAD iitwayo Gnacad lakini wakuu tangu tu nilivyo nunua purchase Ili cancelled...
Leo nimetumia headphones QC45 za bose kusikiliza wimbo fulani wa bongo, yaani, kwa jinsi zilivyo clear kwenye kila chombo cha muziki kilichotumika, nimesikia jinsi baadhi ya vipande vya wimbo huo...
Wakubwaa eh
Msaada tutani hiyo imekaa vipi nilimtumia mtu message ya wasap jana lkn ameisoma leo lkn bado mpokea ujumbe last seen anaonekana muda wa jana
Wakuu, Mimi ni software developer. Natengeneza App kwa ajili ya kutumika kwenye simu za Apple(iphones).
Nafanya research nipate kujua ios version gani inatumika na watu wengi hapa Tanzania ili...
Wengi wetu tuko vyema tukisubiria Mama arudi kutoka Doha na ndizi mkate mkononi.
Ni hivi, baada ya Whatsap kutuletea mfumo wa Chanel ili kuturahisishia Biashara na mengineyo.
Basi uzi huu uwe wa...
Kwa kitambo kirefu sikuwepo hapa jukwaani lakini nimerejea sasa na nitakuwepo hadi atakapopenda Mwenyezi, sasa nimewawekea application bora kwa streaming za channel za hapa nyumbani Tanzania...
Habari, bila shaka Wote tunajua changamoto tuliyonayo watanzania kwa sasa hasa katika suala la mgao wa umeme , ambao umegeuka mwiba kwa wajasiliamali wengi.
Changamoto niliyonayo ni matumizi...
Wakuu za asubuhi
Nimejaribu bila mafanikio kujitoa kwenye hii app. Nimewasiliana na wao sipati msaada. Hawana majibu. Benki niliyojisajilia wanasema solution ni.kubadili kadi ya benki. Hivi kweli...
Habari wana tech?
Mimi ni miongoni mwa youtuber chipukizi. Nilifungua account kwa ajili ya mipango yangu tu ya kufundishia watu mambo mbalimbali.Japo bado haijakidhi vigezo vya Youtube ili...
Habari Wanajamiiforum ni kwamba Kuna smart nimenunua na katika matumizi yangu nilihtaji kuingiza document fulan kutoka kwenye kompyuta na nilipochomeka USB ikaja option ya kuchagua kama picha...
Ndugu wataalam, nawasalimia sana.
Nimeformat SD CARD Ya CAMERA ambayo ilikuwa na picha nyingi muhimu na ningependa nizirejeshe. Nimepambana na recovery softwares nyingi za mtandaoni lkn zote...
Wadau naomba msaada nimeupdate kodi kutoka play store lakini kila baada ya muda kuna huu ujumbe unatokea,unfortunately,kodi has stopped tatizo ni mini!
From chief mkwawa
"Computer nyingi tunazonunua huwa zinatumia processor za intel au amd, lakini ni intel ambaye ametawala sana kushinda amd kwenye computer zetu. Leo nimeamua niandike uzi huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.