Naomba Msaada wa kitaalam ninunue simu gani yenye Camera Bora inayotoa picha za viwango Vya hali ya juu na isiyopoteza ubora wa picha haraka.
Lengo kuu ni shughuli za kibiashara ambazo asilimia...
Kama unatumia android au Google pixel kuna app ya Akili bandia kwa Ajili ya wallpaper Kwenye simu Yako tayari imeshaachiwa kwa watumiaji wote.
Ingia soko la play store Kwenye simu Yako tafuta app...
Dear members,
I am using Tecno camon 17. This phone is a bit crazy. It downloads many apps by it self. Even when you uninstall the app it install it again. There is an app called SCOOPER NEWS...
Kwa siku za hivi karibuni mambo naona yanaenda ndivyo sivyo kwa upande SEO yaani unachokitafuta hukipati mpaka uzungukie google uandike jina la bidhaa halafu ndo link ikupeleke kupatana. Bila...
Habari za muda huu wana jamii naomba kwa anae fahamu namna ya kutumia internet bure bila kutumia bundle anipatie na mimi ni seleleke kama wenzangu natumia airtel....
Duniani kuna mambo mengi ya ajabu ambayo watu wengi hawayajui na ikitokea umeyajua unaweza sema hauko dunia hii!
Dark web ni ulimwengu wa tovuti ambao huwezi kupata au kuingia kwa kawaida...
Yes napanga kubadlisha simu, natamani nipate simu Kali ya android, battery iwe sio chini ya 5000mah, Qualcomm snapdragon, RAM kuanzia 8, 5G, Dual sim, 128GB
Nimepita AliExpress nimeangalia baadhi...
Habari za muda huu Wanajamvi, Nauliza je kuna authorized dealer wa simu za Google pixel natamani kuchukua Pixel 6a brand new je zinapatikana mpya kabisa?
Kuna mtu kanitumia hela kutoka mpesa kuja Halotel,lakini haikuingia kwenye halopesa ,isipokuwa imekuja kama sms ya kawaida,kiasi na namba ya siri nitembelee kwa wakala kupata Pesa taslim,hela ni...
Xiaomi wameachilia chombo cha Xiaomi 12S Ultra ilipofika July, 09, 2022
Simu hii imeipita uwezo hata Samsung Galaxy S22 Ultra na bado kuna mtu humu nilimsikia anasema eti kwa Android simu ni...
𝗪𝗮𝘁𝘂 𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝗳𝘂𝗿𝗮𝗵𝗮 𝗻𝗮 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝘇𝗮𝗼
Kupitia mtandao wa 91mobile umetoa orodha ya watu mbalimbali ambao Wana furaha na vifaa vyao wanavyovimiliki kwa mwaka 2023.
Kupitia swali walilouliza Je una...
Nipo natumia huduma hii tangu mwaka jana na msukumo wa kuja huku ilikuwa ni baada ya mitandao kupandisha bei za mabando, nadhani wote mnakumbuka mabando yalikuwa bei chee ila kuna wabongo...
Dah nimesikitika sana kukutana na taarifa kwenye ukurasa wa Netnaija kuwa haitakuwa inajihusisha na Kuweka movie zidownlodiwe bila wao kutaja sababu.
Dah Inauma sana maana imekuwa website ambayo...
Wakuu,
Naomba ushauri ni simu gani nzuri(Smartphone) ambayo ni Mid range pamoja na bei yake(Tanzania) kutoka kampuni yoyote kubwa isipokuwa Tecno na Infinix kwa vigezo vifuatavyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.