Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
App ya Google kamera ambayo ilikua inatumika kwa Ajili ya vifaa vya google pixel Sasa rasmi vimebadilishwa jina na kuitwa Pixel camera. Ukingia play store ukitaka kupata app ya kamera Kali kwa...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari Naitaji Full Stack Javascript Developer Or ( Front end na back end mkafanya team ) Pamoja Na Mob Developer ( Flutter or React Nqtive Dev ) Call: 0678650509 NB: Lazima muwe based on...
0 Reactions
4 Replies
434 Views
Ndugu zangu naomba kujua mengi kuhusu hii simu. 1. Ubora wake 2. Upatikanaji wake 3 bei yake. 4. Wapi niipate NB: mimi ni muumini wa simu zenye vioo vikubwa.
0 Reactions
3 Replies
545 Views
Wapendwa ndg zangu habari! Jamani mmi naomba kama kuna njia ingine mbadala nisaidieni, Nina account ya fb niliokuwa natumia wakati fulan, ilikuwa kila nikitaka kuingia lazima niingie kwa...
4 Reactions
12 Replies
534 Views
Wakuu wataalamu mlobobea mambo ya simu, Naomba kufahamu namba ya kuroot simu natumia REDMI A2+ Nimejaribu kutumia root master ila imeshindikana.
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Kama somo inavyosomeka hapo juu wakuu, anahitajika mwalimu wa compyuta kufundisha namna ya kuandaa na kutuma taarifa za ofisi.
2 Reactions
3 Replies
429 Views
Baada ya watumiaji wengi kupata toleo jipya la android Version 14 Operating system yake, Kuna baadhi ya watu ambao wanatumia simu za Google pixel 6 wamekumbana na hii changamoto. Ime ripotiwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wapendwa habari za muda huu, Simu yangu ilipata changamoto nika restore sasa baadhi ya vitu vimefutika. Nilikuwa nimehifadhi baadhi ya doc kupitia account ya samsung ila pasword nilisahau...
0 Reactions
1 Replies
301 Views
Kuna ambaye amewahi itumia au anaitumia? Je, kama upo unaionaje? Is it as powerful as bootstrap? Maana nilianza nayo nikaona iko poa lakini niliitupa kule baada ya jamaa fulani kuniambia kuwa sio...
1 Reactions
5 Replies
286 Views
Unajua hata wewe unaweza kumiliki [emoji116] Kampuni ya Infinix imetoa toleo jipya la laptop aina ya Infinix Inbook slim X3 nchini India bei yake ni rafiki kila mtu anaweza kumiliki Je nini...
0 Reactions
5 Replies
674 Views
Ina web ya E-commerce kutoka shopify ila nataka kutengeneza Apps kwa ajili ya wateja wangu kununua bidhaa kupitia Apps. Wenye uzoefu na mambo haya DM iko wazi tuwasiliane zaidi.
1 Reactions
1 Replies
279 Views
Jana niliangusha simu yangu wakati nipo kwenye bodaboda nilichokifanya baada ya kuangusha niombe simu ya mtu na kuingia kwenye find my mobile na kui secure ambapo niliandika ujumbe mfupi wenye...
0 Reactions
1 Replies
472 Views
Habari Wana-jamii nilikua nashida nahitaji kununua laptop aina ya MacBook m1 air yenye RAM 8 GB na SSD 512 GB kwa ajili ya software development tasks as naingia college course ya CS kwa mdau...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Kampuni ya Google imeleta njia rahisi ya watu kuweza kutumia mfumo wa passkey kuweza ku sign in Kwenye app mbalimbali kwa urahisi kupitia simu au kompyuta. Rasmi mfumo wa passkey unapatikana...
0 Reactions
2 Replies
658 Views
I have these accounts for Sale...!!✨ ✨ Turnitin Account ✨ Grammarly Account ✨ QuillBot Account ✨ Chegg Account ✨ Course Hero ✨ Bartleby Account ✨ Netflix Screens ✅ _ I am Plagiarism...
1 Reactions
1 Replies
578 Views
Printer yenyewe ni hii hapa chini ni Hp Laserjet Pro 400 MFP colour 475dn pia na ku-refill uwino.Fundi huyo awe ni kutoka Mbeya
0 Reactions
1 Replies
393 Views
Simu gani nzuri hapo wazee wa Google pixel
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Hello wanajamii forum Computer yangu aina ya Lenovo IdeaPad 110 imepatq changamoto hivi.... Ukiiwasha inawaka lakini ndan ya sekinde 5 inazima yenyewe na tatizo hili limeanza Jana tuu ila week...
0 Reactions
5 Replies
527 Views
Moja Kati ya mambo yanayowasumbua sana watu ni kuweza kupakua video pamoja na audio kutoka kwenye YouTube na kuweka kwenye simu? Teknolojia Tamu bhana[emoji38] unajua akuna kusumbuana Yani Ikiwa...
3 Reactions
11 Replies
11K Views
Back
Top Bottom