Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu vpn gani naweza kuipata kwenye ipad nayoweza kuitumia free?
1 Reactions
2 Replies
862 Views
Tech sasa hivi ndio industry yenye pesa Duniani kuliko industry yoyote, zamani visima vya mafuta ndio ilikuwa habari ila kwa sasa tech ndio kisima cha mafuta na DATA ndio mafuta, ukitaka...
9 Reactions
25 Replies
4K Views
Habarini wakuu, poleni na majukumu. Moja kwa moja kwenye mada. Ni hivi, Shida yangu ni hii nna imani tuna ma IT gurus wengi kwenye haya maswala humu. Mimi niko mkoa wa X wilayani Y, huku niliko...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari zenu Wana jukwaa. Msaada tafadhali. Laptop yangu (LENOVO YOGA 11e THINKPAD). Inakataa ku-log in, japo password ni sahihi kabisa na Caps nazingatia. Nikiweka password inasema Welcome...
1 Reactions
5 Replies
499 Views
Naomba msaada kwenye tuta ni muhimu sana kwangu naomba ufafanuzi wa hicho kialama cha call hapo nimezungushia kina maana gani wanajamvi?
1 Reactions
11 Replies
631 Views
Kwa mujibu wa takwimu kutoka shirika la kitafiti la marekani ya maswala ya TEHAMA Gartner zinaonyesha simu za windows zimeshuka kwenye soko na kufikia 0.4% mwaka huu kutoka 3.3% mwaka 2013 na...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Asalaam aleykum Jamiyah, hapo awali kidogo ukinnunua simu dukani ilikuwa ni simu ambayo endapo ni Samsung, Nokia, tecno na kadhalika, wakati wa kuiwasha ilikuwa inakuja nembo halisi ya simu husika...
0 Reactions
5 Replies
424 Views
kama kuna mtaalamu wa sola,naomba anifahamisja ninunue sola gani kwa ajili ya fensi ya nyumba ya kuishi
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwezi mmoja na nusu ago, tulikuwa na speed nzuri mtu unashusha ma series na movies kibao tu kwa siku. Mimi ilikuwa inanimotisha nachapa kazi sana na sioni shida kutoka usiku saa 2 au 3 bila hata...
1 Reactions
3 Replies
623 Views
Habari wakuu, Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu ninaomba kwa wataalam wa ujenzi mtu aweze nisaidia michoro ya design mbalimbali za fence for residential area. Nimejaribu kuangalia Pinterest...
0 Reactions
0 Replies
246 Views
Naomba kuuliza kwa yeyote anaye fahamu chuo kinacho toa mafunzo ya muda mfupi wa namna ya kutengeneza na kufanya marekebisho ya pampu.
0 Reactions
1 Replies
908 Views
Habari wakuu Kwa watumiaji wa Kali Linux hii ni bab kubwa, hapa nawaza nianze kuifanya kama biashara najua vijana watakao hitaji kumiliki simu za wapenzi wao ni wengi. Ipo hivi. Kuna tool...
16 Reactions
31 Replies
3K Views
Simu za Android ni simu zenye mfumo rahisi kutumika lakini simu za Android pia ni rahisi Sana kuzifanyia makosa upelekea simu kualibika au kufa kabisa. Kuna makosa mengi watumiaji wa simu za...
7 Reactions
5 Replies
1K Views
Kibongo bongo kozi za kompyuta tushazoea kuziita kozi za IT ikiwemo computer science, computer engineering, IT, n.k. Maisha ya sasa teknolojia ipo mbali sana na tunatembea, smartphones, internet...
8 Reactions
112 Replies
5K Views
Moja kwa moja kwenye mada. Whatsap wamekuwa na tabia ya kupiga accounts zangu za Whatsapp ban pasinakuwa na sababu za msingi. Zamani nilikua nmezoea kutumia GB WhatsApp na FM Whatsapp kwa sababu...
2 Reactions
22 Replies
5K Views
Motorola miaka ya nyuma walikua wanakimbiza sana Kwenye soko la kuuza simu ulimwenguni Kuna kipindi upepo ukakata na kushuka Kwenye soko siku ya Jana Motorola wamerudi tena ulimwenguni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kampuni Bora ya simu inayokuja kwa kasi afrika transsion holding wametoa toleo jipya la Infinix aina ya Note 30 VIP kwa kushirikiana na kampuni Bora ya magari ulimwenguni Bmw. Muundo wake uko poa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Salam kwenu wakuu Je ni kweli kilowatt zinazoandikwa kwenye mafrige ni za kweli kuanzia ni nunue kifrige changu tena kipya matumizi ya umeme ya mepaa sana Kimeandikwa kwh113 kwa mwaka am ago...
1 Reactions
26 Replies
1K Views
Naomba mwenye access ya vitabu vinavo husu namna ya kusuku umeme wa majumbani
0 Reactions
0 Replies
601 Views
Za mishe mishe ndugu zangu Nilitaka kununua tv mpya dukani kwa hapa Dsm nataka ninunue flat screen mimi kipato changu ni cha kati na nataka Tv ya nchi 32 na budget yangu ni kati ya 270k hadi 330k...
9 Reactions
90 Replies
17K Views
Back
Top Bottom