𝗚𝗼𝗼𝗴𝗹𝗲 𝗘𝗮𝗿𝗽𝗵𝗼𝗻𝗲𝘀 𝗸𝘂𝗱𝗵𝗶𝗯𝗶𝘁𝗶 𝗺𝗮𝗽𝗶𝗴𝗼 𝘆𝗮 𝗺𝗼𝘆𝗼
Google kupitia utafiti waliofanya kuhusu audioplethysmography (APG) wameweza kuongeza feature Kwenye Earbuds na headphones uwezo kuzuia kelele na...
Habari Wakuu
Aisee Mimi nimekuwa nikifanya biashara Instagram kwa kutumia hizi Instagram sponsored ad na kuzifanyia malipo lkn kutokana na changamoto za maisha nmeyumba nakuja kucheki nina deni...
Habari.
Nina mwezi wa tatu sàsa natumia tecno yaani hadi nakoma.Yaani ni stress tupu nashindwa kuizoea mara inepeleke kule mara huko nikirudi huku inanitoa nje mara iminimize yenyewe nikibonyeza...
Katika ulimwengu huu wa teknolojia ya simu za mkononi zenye muundo wa kupangusa zinazobadilika kila wakati kulingana na utandawazi, TECNO Spark 10 pekee ndio simu iliyopiga hatua mbele katika...
GPS ni mfumo wezeshi ulioanzishwa kwa lengo la kupata urahisi wa ufanyaji Navigation ya eneo fulani la kitu fulani kilicholengwa na utambuzi wa muda uelekeo wa mahala fulani ambapo mtumiaji...
Hii, December Xiaomi wameachilia chombo kipya tena, Xiaomi 13 pro. Simu hii inapatikana kwa shilingi za kitanzania kama 2,821,000/= hivi kule AliExpress
Hii ni picha ya Xiaomi 13 pro
Simu hii...
Web Developments Training and Mentorship
I can teach and train people who are getting started to websites for both client-side and server-side and game development
with modern technologies...
Habarini za kila mmoja mwenye kusoma uzi huu
Kama ilivyo katika kichwa cha habari hapo juu, ni kwamba inahitajika mashine(hapa mafundi simu tu ndo watanielewa zaidi nikisema mashine) ya google...
Tatizo la hawa ndugu zetu kina tecno hawatumii Soc (System on chip) mpya, soc huwa zinashikilia Ram, camera, modem za kunasa mtandao, wifi na vifaa vingine, soc ni kama roho ya simu.
Yani wao...
Wakuu popote mlipo habari zenu, wakubwa shikamooni
Katika pitapita zangu za online nimekutana na changamoto ya kushindwa kupakua playlist kutoka youtube yaani kuihifadhi kwenye laptop yangu ya...
Wakuu naandika haraka nipate majibu maana nimeletewa simu Mpya infinix hot 30 play Kwa laki Tatu na ishirini. Sasa Ile nimemaliza kuweka information zote maana ni simu Mpya ila ajabu unaweza ukawa...
Habarini wana JF, nimekuwa nikiwaza sana mahali gani nitasoma Programming hasa;
Webdesing, Android, IOS, Mac, Windows, App development, Game na mambo ya Software.
Ni muda gani nitatumia mpaka...
Habari za muda huu wakuu!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, account yangu imepigwa ban sababu kuu ni kutumia WhatsApp mods
Msaada kwa anayejua namna ya kutatua tatizo hilo
Hakuna program ya Linux inayotamba ulimwenguni kama vile Ubuntu Tunaweza sema ni baba wa Linux, ni Brandi kubwa katika ulimwengu wa Linux mpaka sasa.
Unajua Kwanini ??
Threads ni yako...
Kuna mtu nlimpa Bajaj ya mzigo kwa mkataba na amekimbia nayo hajulikani alipo, nikipiga simu hapokei na muda mwingne haipatikani kabisa. Ntawezaje kumpata mtu kama huyu..?
Habariiiiiii wakuu,
Nilileta swali hapa jf kisima cha maarifa Kuhusu tatizo la PC yangu kuzima ghafla na (kuwasha taa then kuzima bila kuwasha screen) nime note vitu vifuatavyo::
Baada ya...
Nimepita pita madukani kuuliza Samsung nakutana na Samsung made in Vietnam jee hizi ni Samsung original au ni Copy?
Maana kwa mawazo yangu Samsung zinatoka Korea
Hivi kwanini watu hawapendi kutumia Microsoft edge kuliko google chrome??
[emoji44][emoji44]Unajua wanachokifanya Microsoft edge Sasa [emoji116][emoji116]
Kampuni ya Microsoft kupitia program...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.