Mkuu The bump
Tunaomba utoe ufafanuzi wa vifuatavyo
SSD ni nini, faida yake ni nini na kazi yake ni nini?
Cloud storage ni nini, faida yake ni nini na kazi yake ni nini?
Virtual storage ni...
TCRA kupitia kitengo chao cha ulinzi wa kompyuta wa dharura, TZ-CERT imeleta shindano kwa wanavyuo wachukuao masomo ya teknolojia ambalo litawafanya wanafunzi kuweza kudukua taarifa na kujilinda...
GIL ilikua ina tulimit sama ku apply parallelism bila ya msaada wa third-part library.
Asubuhi hii nimekua na furaha kuskia sasa ni rasmi cpython core developers wameamua rasmi kuachana/kuwa...
Kampuni ya Honor kwenye toleo jipya la simu aina ya magic 6 ambayo inatajiwa kuachiwa mwakani ndani yake kuna mambo mengi ya kushangaza ambayo ukifanikiwa kuipata hiyo simu utaweza ku enjoy...
Naandika kwa uchungu sana. Nilipewa instructions ya kutafuta kampuni ya IT hapa Tz kudisign app na web kwa ajili ya masuala fulani fulani. Nikawacheck jamaa fulani ni IT wazuri tu (kwa mjibu wao...
Habarini.
Nahitaj msaada wa haraka kwa yeyote anayefahamu jinsi ya kulipia bidhaa alibaba hatua na taratibu na kujiridhisha kuwa pesa yang itakuwa salama pasipo utapeli.ahsanteni
Nimewasha computer yangu yangu ni desktop aina ya dell Lakini inaniletea ujumbe huu shida Nini hapa wadau na nasolve aje ?
Maana kisukari kishapanda hapa
Habarini wanaJf
Ni simu hizi za Vodafone sikU nne zilizopita iliflashiwa baada ya kuflashiwa ukiiwasha Tu inadosplay ujaze google account na haiendelei zaidi ya hapo na ukihaza google account...
MATAPELI WANAOJIFANYA WAZUNGU
Naeza toa Elimu kidogo kuhusu hizi mambo jinsi utakavyo lizwa na hawa wazungu wa Nigeria Kenya na UDSM &UDOM Wameingia sahivi😂😂😂😂
Hawa matapeli wanakuingiza chaka...
Kampuni ya apple kwenye vifaa vyao huwq hawatoi warranty kwenye bidhaa zao ikitokea imemwagiwa na maji au kimiminika chochote kwenye vifaa vyao vya iphone, ipad,Air pods, apple watch nk japo hivyo...
Sources:
https://www.youtube.com/watch?v=a4aboTbQZ5Y&pp=ygUSbWNodW5nYWppIG1hZ2hlbWJl
https://www.space.com/pluto-atmosphere-may-be-disappearing
Pluto's atmosphere is starting to disappear...
TENGENEZA BACK-UP YAKO YA UMEME WEWE MWENYEWE NYUMBANI
KWA KUUNDA INVERTER.
Jambo la msingi katika uundaji wa inveter ni kubadili voltage kidogo ya umeme wa battery (Umeme wa battery...
Wengi wa wanaoshiriki ni wahindi nilijoin kwa kuwa tulitakiwa kuunda vikundi vya watu watano baada ya kuanza hatua za kwanza baadae tuliungwa kwenye group la what'sapp wote lakini huko walikuja na...
𝗦𝗶𝗺𝘂 𝘇𝗮 𝗚𝗼𝗼𝗴𝗹𝗲 𝗸𝘂𝘁𝗲𝗻𝗴𝗲𝗻𝗲𝘇𝘄𝗮 𝗜𝗻𝗱𝗶𝗮
Makamu raisi wa kampuni ya Google Mr Rick Osterloh amesema kampuni yao ya Google muda sio mrefu wataweza kufungua kampuni ya kutengeneza simu na vifaa mbalimbali...
Hongereni kwa kazi! ndugu wajumbe ninakero ambayo imeendelea kunikera siku hadi siku.
Ni mtumiaji wa simu ya samsung na kwa kipindi hiki cha hivi karibuni kumejitokeza hali ya kuzuka kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.