I learnt some new keyboard shortcuts as I was browsing the net today. Here are some of them, guys any one who knows any more shortcuts he /she can comment here. This is for the better of every one...
𝗧𝗲𝗸𝗻𝗼𝗹𝗶𝗷𝗶𝗮 𝗵𝗶𝗶 𝗶𝗻𝗮𝘁𝗶𝘀𝗵𝗮 𝗔𝗶𝘀𝗲𝗲𝗲!
Umeshawahi kuiona simu ambayo unaweza kutumia bila kuishika ?? Teknolijia inakwenda Kasi sana kuna kitu kinaitwa Humane Ai pin unakijua ?? Niazime dakika moja tu...
wataalam wa IT, hivi naweza weka window 11 kwenye hp elitebook g3 i7 touch screen 256ssd 8Ram kwa ku bypass na nikaweza pata updates pale itakapo leta new update?
(Nb. TPM 1.2)
Google kufuta Gmail yako desemba
Google imesema rasmi kuanzia desemba Moja mwaka huu 2023 itaanza kufuta email ambazo haziko active kwa Muda mrefu ikiwa hujaitumia email yako ndani ya Miaka...
Teknolojia inazidi kukimbia na kila siku teknolojia mpya inatokea na kubadilika.
Wiki hii katika kongamano la Mobile World Congress (MWC) 2023; teknolojia mpya ya iSIM ilitambulishwa rasmi na...
Kampuni ya meta inayomiliki mitandao ya Whatsapp, Instagram, Facebook wametoa taarifa kuwa ujio wa watu kulipia ushuru kupitia matangazo ya Facebook.
Meta imesema kuanzia tarehe 1 desemba 2023...
Nina Altonator ya gari. Kwenye hii Altonator Kuna haya maandishi. NISANI 23100 70N 12 V.
Sasa, Nikaichukua Altonator Kisha nikafunga waya kutoka Kwenye bolt na Kisha nikafunga waya kutoka Kwenye...
Yani google ni majasusi waliokubuhu, Sina tatizo kwa google kutunza baadhi ya taarifa zangu kama cintacts zangu lakini kuna muda wanavuka mipaka kuchungulia hata visivyowahusu.
Google chrome...
Habari za hapa ndugu zanguni...
Naomba kuuliza kwa anaefahamu namna ya kupata link ya image unapotaka kupost katika forum (natarajia wengi humu wanafahamu).
Hasa kama picha ikiwa katika computer...
Mazee habarini
kama kichwa cha habari kinavyo sema hapo.
Laptop yangu nikiwasha inawak vizuri naingiza password fresh.. kisha nikitaka kuanza kufanya kazi tu ina jizima yenyewe alafu ndani ya...
Habari Wakuu
Najaribu kuInstall Adobe kama Premiere, Audition, Photoshop na zingine lakini
inakataa na kunipa ujumbe (Angalia picha hapo chini) na nimejitahidi kupata maelekezo kupitia google na...
Tambua stadi zako na maslahi yako. Hatua ya kwanza ya kupata pesa mkondoni ni kugundua uwezo wako na kile unachopendezwa nacho. Hii itakusaidia kupata fursa sahihi na kuhakikisha unafurahia kazi...
Habari wakuu.
Nimekuwa nikipata tatizo siku za hivi karibuni(ambalo limekuwa ni geni kwangu).
Nikiinstall MS Office,napata message hii :"Microsoft Setup Bootstrapper has stopped working". Wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.