Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Sasa watu wataweza kupokea utabiri wa Hali ya hewa kupitia akili bandia imekuja kuchukua taarifa ya masuala ya anga kwa kukupa taarifa kamili kuhusu Hali ya hewa. Kampuni ya deepmind ambayo...
0 Reactions
1 Replies
418 Views
Wakuu salama? Naomba kujua chimbo gani zuri naweza kupata pikipiki aina ya YAMAHA mkoa wa Mwanza. Nijue pia bei ya Pikipiki mpya na used. Nikipata mawasiliano ya muuzaji nitashukuru zaidi...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wadau Zuku wamekuja ofisin leo wametuambia tulipie 69000 ili watuunge na fiber ya 10MB/S vp speedd yao nzur au utopolo Nasubiri ushauri wenu wadau
3 Reactions
127 Replies
15K Views
Habari wakuu....simu yangu mbona kila nikichomeka airphone inaongea kotekote yaani kwenye simu inaongea na airphone inaongea na haisomi kwamba nimechomeka airphone shida ni nini hapo. Natumia...
1 Reactions
6 Replies
386 Views
Habari za leo wakuu, Nimenunua pedrollo 0.5 hp water pump kwa ajili ya matumizi ya kujaza maji kwenye matenki ya matumizi madogomadogo hapa nyumbani lakini kila nikiwasha na nikifanya...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Najaribu kulogin inanikatalia hawa jamaa wanapita madukan wanasema service levy ni kila baada ya miezi 3, yan jinsi unavotoa risiti wanapiga hayo mauzo yako ya miezi 3 mara 0.03 inakuja pesa ndogo...
0 Reactions
0 Replies
225 Views
Kampuni ya Huawei imeunda gari jipya la kuchaji kwa umeme (electric vehicle) ambalo limeletwa ili kuleta ushindani na kampuni ya Tesla. Gari hiyo imetengenezwa na kampuni ya kichina inaitwa...
0 Reactions
1 Replies
527 Views
Ni mwaka wa sita huu natumia windows 10, najikuta kwenye mazingira ya kushawishika kuweka windows 11 maana ndio windows toleo jipya zaidi, ila nimeona kwanza nipate ushauri wenu mnaotumia ama...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari, Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, nilinunua router ya halotel kipindi wanaanza huduma zao, mtandao ulikua na speed na package zao zilikua poa sana. Kwa sasa nao wamekua slow sana...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Nenda google play kisha tafuta "Matokeo ya darasa la 7" Na furahia teknologia hii
-1 Reactions
24 Replies
2K Views
Msaada wakuu. Nina wav. kadhaa nahitaji kuzitengenezea Cover Audio kwa lengo la kuzipakia YouTube baada ya kukamilisha matayarisho Nimetoka kununua PC, sielewi chochote na sijawahi fanya hii...
0 Reactions
2 Replies
707 Views
Habari, wale wanaotaka kujifunza Video Subtitles nafundisha mafunzo hayo kwenye group la Telegram maelekezo yote nimeweka humo. Video Subtitling inasaidia kupata kazi za onliy Kama Upwork, kupata...
1 Reactions
2 Replies
290 Views
Habari wadau, Naombeni kupata muongozo wa kufanya coding from scratch/beginner. Niko na nia ya kuwa programmer na anzia wapi ndugu zangu, umri 35yrs self taught ama chuo. Nipeni maoni kuhusu...
0 Reactions
16 Replies
589 Views
Register Start to Click Ads Earn Withdrawal https://ptctz.ukupesa.com/
2 Reactions
7 Replies
611 Views
Jinsi ya Kujenga Blogu Inayofanikiwa na Kupata Pesa Mtandaoni 💨 Chagua mada unayopenda na inayoweza kuwa na hadhira inayoweza. Fanya utafiti kuhusu mada na mwenendo wa sasa ili kupata niche...
0 Reactions
0 Replies
474 Views
Je umechoka Kila mara kuweka password kwenye iphone yako pale unapotumia kwenye app store ?? Yani Kila unapotaka kupakua kitu app store inakudai password [emoji360] kuweka. Okay kampuni ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wandugu Kichwa cha habari cha husika Kuna changamoto gani katika kutumia king'amuzi cha Azam cha malawi? Asante.
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwenye paa langu kuna maeneo linavujisha maji je ni njia ipi mzuri ya kuweka mambo sawa. Mafundi mnisaidie tafadhali na sina uwezo wa kubadili bati kwasasa hata kipande kimoja. Je nini nifanye...
0 Reactions
0 Replies
513 Views
Habari za jioni wakuu, Nimenunua simu kwa MTU kwa bahati mbaya nmejaribu kuaccess internet imegoma kabisa vile vimishale vya internet vinaonekana lakin akuna kitu simu ni Nokia G10. Naombeni...
0 Reactions
2 Replies
313 Views
Wakuu poleni na majukumu! Moja kwa moja naomba msaada kuunganishwa na mafundi wanaodeal na Simu na Computer jijini Mwanza, ili niweze kujishikiza maana life limenikaba au kama kuna mtu anaweza...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Back
Top Bottom